Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Hongera fellow tichaSana tu...sayansi raha. Mi wamenivuta Teachers College now.
Hiyo ni sifa ya kijingawote tuna maisha mazuri.
ndo maana kila siku tupo humu.
MTU yuko radhi asile.hela akanunue bando aingie jf.
Na iwe hivyoKuwa mwalimu ni baraka toshaaa
Kila mmoja na level yake ya mafanikioHAHAHAA UMENIKUMBUSHA MBALI MNOOO AISEEE KUNA JAMAA MMOJA KWENYE ULE UZI WA ANT FOREX ALIPOST LAPTOP YA DELL ETI ANAJINADI KUWA TANGU AANZE KUTRED AMEKUWA MTU MWENYE MAFANIKIO NA MOJA YA MAFANIKIO ALIYONAYO KAWEZA KUJINUNULIA LAPTOP YAKE MWENYEWE.baada ya hapo .....alichezea mitusi toka kwa the list mpaka alikoma
HAHAAAAA. JF BHANAA
Ni kwelikabisaaaaa kabisaaa shida inakuja kwa mtu ambaye hajawahi kushika kitu Fulani kikubwa au akapata mafanikio fulani hapo awali ..na hajawahi kupata uzoefu wakukipoteza ..so siku ambayo atakuja kukipoteza ndio atajua kuwa haya nimambo ya kawaida tu ..na yanawezekana kwa yeyeto yule endapo akiamua kupambana vyema katika utafuataji
OneHahahahaha mungu yumooo rafiki atakusaidiaa .. mimi maisha yangu ya kubustiwa tu nashukuru Smart911 ananisapoti sana namimi naonekanamo.. otherwise ni mchovu tu
Mwaka gani mliuzaYes yes tuliuza sana na sisi askirimu, za ubuyu zilikuwa tamu sana [emoji1][emoji1]
Ombea wafunge ndoa sio aongeze viuno bila ndoa.hahahaaa hatari sana ungeza speed ya kiuno mkuu ..mpka smart akiwaona wanawake wengine ahisi kuwa niwanaume wenzie ...ukishindwa kwa viuno nitafute nikupeleke kwa mganga ...
hahaaaaa mwaka huu mpka akuhonge UFUNGUO wa premio
Kubaguana kumeanza awamu hiiNASISI WAUZAJI WA MCHELE WA TANDALE SOKONI MBONA MNATUSAHAU ..KUBAGUANA MMEANZA LINI JAMANI
U nailed itKwenye movie Pursuit of HappYness kuna kipande Will Smith anatembea high street anaona kila mtu kapendeza,anafuraha kasoro yeye maisha yake ni magumu sana.
Ghafla akamuona mzee mmoja anaingia kwenye kwenye Ferrari akamfuata akamuuliza, what do u do and how do u do? Jamaa akamwambia I'm a stock broker,if you are good in Math you can do it.
Kuanzia pale Will akaamua kupigana awe stock broker na alifanikiwa akawa millionare. Ni true story inamhusu somebody Gardner.
Kitu cha kujifunza Will didnt hate other people coz they are successful and happy. He was inspired and said to himself I wanna be like them. Sasa wewe endelea kuona kuwa na gari ni kujikweza,kuwa na dstv ni kujionesha,kusoma/kuishi Ulaya/US ni kuringa,kuwa na nyumba ni show off.
Kuna watu humu kwa kuona fulani anaongelea sana vitu fulani wao wanachukulia positive na kumfuata huyo mtu kuomba ushauri kwenye nyanja hio ila wapo wengine wanaosikitisha,wanachukulia negatively ndio hawa wanaoanzisha thread kama hizi.
[HASHTAG]#GetAngry[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BeInspired[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KeepHating[/HASHTAG]
Ukicheka lipa kodiNamba mbili kwa wanawake imenichekesha sana
Una uhakika wapo wanaotoa?Kwenye wanawake ongezea wote hawatoi mtandao pendwa
early 90'sMwaka gani mliuza
Be inspired mzee alwaysRRONDO hiyo movie hua sichoki kuitazama.
hahaa kwa hiyo mnafuata slogan za bakayoko...!!?Kubaguana kumeanza awamu hii
Dreka likes your lifestyleNinayo OG nilinunua HMV. Nikimaliza kuangaliia Chelsea vs Crystal Palace on DSTV nitaiangalia tena on my SONY DVD player na JVC 42'' flat screen!
[HASHTAG]#LetMePretend[/HASHTAG]
View attachment 710770
SafiSina la kuongezea
Nungwi kumejificha kule...ila kuzuriHahaha i prefer zaidi nungwi kuliko forodhani
Funga nzi wataingia mzeeeMdomo wangu umebaki wazi....[emoji47] [emoji47]