Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

HAHAHAA UMENIKUMBUSHA MBALI MNOOO AISEEE KUNA JAMAA MMOJA KWENYE ULE UZI WA ANT FOREX ALIPOST LAPTOP YA DELL ETI ANAJINADI KUWA TANGU AANZE KUTRED AMEKUWA MTU MWENYE MAFANIKIO NA MOJA YA MAFANIKIO ALIYONAYO KAWEZA KUJINUNULIA LAPTOP YAKE MWENYEWE.baada ya hapo .....alichezea mitusi toka kwa the list mpaka alikoma

HAHAAAAA. JF BHANAA
Kila mmoja na level yake ya mafanikio
 
kabisaaaaa kabisaaa shida inakuja kwa mtu ambaye hajawahi kushika kitu Fulani kikubwa au akapata mafanikio fulani hapo awali ..na hajawahi kupata uzoefu wakukipoteza ..so siku ambayo atakuja kukipoteza ndio atajua kuwa haya nimambo ya kawaida tu ..na yanawezekana kwa yeyeto yule endapo akiamua kupambana vyema katika utafuataji
Ni kweli
 
hahahaaa hatari sana ungeza speed ya kiuno mkuu ..mpka smart akiwaona wanawake wengine ahisi kuwa niwanaume wenzie ...ukishindwa kwa viuno nitafute nikupeleke kwa mganga ...
hahaaaaa mwaka huu mpka akuhonge UFUNGUO wa premio
Ombea wafunge ndoa sio aongeze viuno bila ndoa.
 
Kwenye movie Pursuit of HappYness kuna kipande Will Smith anatembea high street anaona kila mtu kapendeza,anafuraha kasoro yeye maisha yake ni magumu sana.
Ghafla akamuona mzee mmoja anaingia kwenye kwenye Ferrari akamfuata akamuuliza, what do u do and how do u do? Jamaa akamwambia I'm a stock broker,if you are good in Math you can do it.
Kuanzia pale Will akaamua kupigana awe stock broker na alifanikiwa akawa millionare. Ni true story inamhusu somebody Gardner.
Kitu cha kujifunza Will didnt hate other people coz they are successful and happy. He was inspired and said to himself I wanna be like them. Sasa wewe endelea kuona kuwa na gari ni kujikweza,kuwa na dstv ni kujionesha,kusoma/kuishi Ulaya/US ni kuringa,kuwa na nyumba ni show off.
Kuna watu humu kwa kuona fulani anaongelea sana vitu fulani wao wanachukulia positive na kumfuata huyo mtu kuomba ushauri kwenye nyanja hio ila wapo wengine wanaosikitisha,wanachukulia negatively ndio hawa wanaoanzisha thread kama hizi.
[HASHTAG]#GetAngry[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BeInspired[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KeepHating[/HASHTAG]
U nailed it
 
Back
Top Bottom