Kwenye movie Pursuit of HappYness kuna kipande Will Smith anatembea high street anaona kila mtu kapendeza,anafuraha kasoro yeye maisha yake ni magumu sana.
Ghafla akamuona mzee mmoja anaingia kwenye kwenye Ferrari akamfuata akamuuliza, what do u do and how do u do? Jamaa akamwambia I'm a stock broker,if you are good in Math you can do it.
Kuanzia pale Will akaamua kupigana awe stock broker na alifanikiwa akawa millionare. Ni true story inamhusu somebody Gardner.
Kitu cha kujifunza Will didnt hate other people coz they are successful and happy. He was inspired and said to himself I wanna be like them. Sasa wewe endelea kuona kuwa na gari ni kujikweza,kuwa na dstv ni kujionesha,kusoma/kuishi Ulaya/US ni kuringa,kuwa na nyumba ni show off.
Kuna watu humu kwa kuona fulani anaongelea sana vitu fulani wao wanachukulia positive na kumfuata huyo mtu kuomba ushauri kwenye nyanja hio ila wapo wengine wanaosikitisha,wanachukulia negatively ndio hawa wanaoanzisha thread kama hizi.
[HASHTAG]#GetAngry[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BeInspired[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KeepHating[/HASHTAG]