Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Kwenye movie Pursuit of HappYness kuna kipande Will Smith anatembea high street anaona kila mtu kapendeza,anafuraha kasoro yeye maisha yake ni magumu sana.
Ghafla akamuona mzee mmoja anaingia kwenye kwenye Ferrari akamfuata akamuuliza, what do u do and how do u do? Jamaa akamwambia I'm a stock broker,if you are good in Math you can do it.
Kuanzia pale Will akaamua kupigana awe stock broker na alifanikiwa akawa millionare. Ni true story inamhusu somebody Gardner.
Kitu cha kujifunza Will didnt hate other people coz they are successful and happy. He was inspired and said to himself I wanna be like them. Sasa wewe endelea kuona kuwa na gari ni kujikweza,kuwa na dstv ni kujionesha,kusoma/kuishi Ulaya/US ni kuringa,kuwa na nyumba ni show off.
Kuna watu humu kwa kuona fulani anaongelea sana vitu fulani wao wanachukulia positive na kumfuata huyo mtu kuomba ushauri kwenye nyanja hio ila wapo wengine wanaosikitisha,wanachukulia negatively ndio hawa wanaoanzisha thread kama hizi.
[HASHTAG]#GetAngry[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BeInspired[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KeepHating[/HASHTAG]
[emoji122][emoji122][emoji122] well said chief, na mfano malidhawa kabisa....asante sana.
 
Nilikuwa na pita kimya kimya mara paaaap..'! Post ya Prondo ikaniibua.
Mkuu kula like mingi mingi..[emoji106] [emoji106]
 
Jamaa yangu... Home boy, wa kitaa kabisa na wewe unaanza kuleta data cooked ili kufurahisha watu? Wa kitaa unajua kwetu huku hakuna daladala na usafiri mkuu boda boda kama sio anita basi kuna hivi baiskeli za mtumba. Tena hata wengine hatuna baiskel sembuse flat screen? Tunaitolewa wapi aise wa kitaa, magari ndo hayo tunayaona kitaa tu japo washua wa huku kwetu wabahili. Huku vumbi tu mshikaji hivyo umekosea sana kujumuisha wote kwa watu wachache
 
RRONDO hiyo movie hua sichoki kuitazama.
Ninayo OG nilinunua HMV. Nikimaliza kuangaliia Chelsea vs Crystal Palace on DSTV nitaiangalia tena on my SONY DVD player na JVC 42'' flat screen!
[HASHTAG]#LetMePretend[/HASHTAG]

IMG_20180310_215613.jpg
 
Sasa wee jamaa unachoshangaa ni kitu gani? Unataka tutumie ID fake lakini tuwe halisi? Mtaani kunabaki kuwa mtaani na JF yanaishia JF.

Hata hivyo iwe mtaani au JF, usijilinganishe na mtu mwingine. Usimchukie bila sababu anaekuzidi, chukulia kama changamoto ufanye vizuri zaidi yake.

Hali kadhalikabusimdharau unaemzidi, ongeza bidii usirudi huko.
Sina la kuongezea
 
Back
Top Bottom