Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Acheni kufuatilia maisha ya watu hayawahusu. Pambaneni na hali zenu. Si kila mtu humu ni muongo wa kujikweza. Niliobahatika kuwafahamu humu ni watu bomba sana na wengine wana maisha mazuri sana kwa kuchakarika kwao kwenye elimu na biashara.

Mbona kuna wengi humu wanakuja kuomba misaada ya aina mbali mbali na wanasaidiwa!? Mbona hao hamuwasemi!?

Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. Si kila mtu humu ni muongo au mtu wa kujikweza wengi wako kimya mpaka mpate bahati ya kufahamiana kwa karibu.
Fact
 
Hiyo nambari 5 (v) inaonekana umgeni humu.kuna waalimu kibao na wala hawajifichi kuna mpaka nyuzi ya waalimu kubadilishana vituo vya kazi.

Cha msingi nakushauri usipoteze muda kuwatafakari na kutaka kuwajua watu.haitakusaidia lolote.we ingia jadili hoja/mada zilizopo ukimaliza kafanye mambo mengine
Hakika
 
[emoji38] [emoji38] Sina Tv ya chogo mkuu[emoji13] [emoji13]

Hiyo ndio hoja yako niliyoweza kuijibu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] View attachment 710461
HAHAHAA UMENIKUMBUSHA MBALI MNOOO AISEEE KUNA JAMAA MMOJA KWENYE ULE UZI WA ANT FOREX ALIPOST LAPTOP YA DELL ETI ANAJINADI KUWA TANGU AANZE KUTRED AMEKUWA MTU MWENYE MAFANIKIO NA MOJA YA MAFANIKIO ALIYONAYO KAWEZA KUJINUNULIA LAPTOP YAKE MWENYEWE.baada ya hapo .....alichezea mitusi toka kwa the list mpaka alikoma

HAHAAAAA. JF BHANAA
 
Back
Top Bottom