The Monk
Platinum Member
- Oct 12, 2012
- 20,242
- 45,930
Safi tichaa vipi umepona kwenda primary?!mi kikwazo maths bwana
Waalimu watu muhimu sana, mnakumbuka Baba wa taifa amefariki na jina lake Mwl. Julius K. Nyerere
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi tichaa vipi umepona kwenda primary?!mi kikwazo maths bwana
FactAcheni kufuatilia maisha ya watu hayawahusu. Pambaneni na hali zenu. Si kila mtu humu ni muongo wa kujikweza. Niliobahatika kuwafahamu humu ni watu bomba sana na wengine wana maisha mazuri sana kwa kuchakarika kwao kwenye elimu na biashara.
Mbona kuna wengi humu wanakuja kuomba misaada ya aina mbali mbali na wanasaidiwa!? Mbona hao hamuwasemi!?
Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. Si kila mtu humu ni muongo au mtu wa kujikweza wengi wako kimya mpaka mpate bahati ya kufahamiana kwa karibu.
Nipitie hapa skonge roadnakuja chief...[emoji124][emoji124]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndo raha ya science hyoo yaani miye na hisabati zangu loooh!!acha najutaaa!!tupo walimu hapa!Hahahaa
Physics &Chemistry hapana chezea...hawagusiii
Hongera sana geniverosUnafikiri this is my life kwa kweli tena ukiniona utafurahia shoo[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2]
Unakula kitimoto ukitoka hapo twende club 71 kibo complexNiko family bar tegeta, upo chimbo gani nikuibukie?
Sawa [emoji4][emoji4]Nipitie hapa skonge road
Hahahahaha napingaaa...... Wewe mzee wa assist huwezi kaa chumba kimoja wewee Chama kubwa . Akina sie hohehahe ndo wa single room humohumo chumbani humohumo sebuleni sometimes jikoni khakhakhaaaaaaaMie nna ka geto kangu ka chumba kimoja kama kale ka mujuni...shuka nabadili baada ya wiki.
hahaaa ndio kwanza nataka kununua baiskeli ..nimeanza kununua kengere na breki zake kwanza ...nadhani mpka mwezi wa 6 ndoto yangu ya kumiliki baiskeli itakuwa imeshatimia mkuu...
Sana tu...sayansi raha. Mi wamenivuta Teachers College now.[emoji2] [emoji2] [emoji2] ndo raha ya science hyoo yaani miye na hisabati zangu loooh!!acha najutaaa!!tupo walimu hapa!
Ahsantee uswahilini huku fridge ni uwekezaji mkubwa haswaa[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] maana wengi hawana na ht km wanayo wengine wanaogopa kuyatumia kwny busnezz kisa linakula umeme haswaa nyumba za kupanga!!Hongera sana geniveros
Hongera sana [emoji2] [emoji2] [emoji2] life linasonga tuSana tu...sayansi raha. Mi wamenivuta Teachers College now.
mi napita tu..teheeeNipitie hapa skonge road
hahaaa kwahiyo leo umeamua kunisema kwa mafumbo sindio ??Kazi kwenu mnaoishi kwa kuigiza ili muonekane mnacho kumbe kapuku
HakikaHiyo nambari 5 (v) inaonekana umgeni humu.kuna waalimu kibao na wala hawajifichi kuna mpaka nyuzi ya waalimu kubadilishana vituo vya kazi.
Cha msingi nakushauri usipoteze muda kuwatafakari na kutaka kuwajua watu.haitakusaidia lolote.we ingia jadili hoja/mada zilizopo ukimaliza kafanye mambo mengine
Kuwa mwalimu ni baraka toshaaaHongera sana [emoji2] [emoji2] [emoji2] life linasonga tu
Sana tuuuuKuwa mwalimu ni baraka toshaaa
HAHAHAA UMENIKUMBUSHA MBALI MNOOO AISEEE KUNA JAMAA MMOJA KWENYE ULE UZI WA ANT FOREX ALIPOST LAPTOP YA DELL ETI ANAJINADI KUWA TANGU AANZE KUTRED AMEKUWA MTU MWENYE MAFANIKIO NA MOJA YA MAFANIKIO ALIYONAYO KAWEZA KUJINUNULIA LAPTOP YAKE MWENYEWE.baada ya hapo .....alichezea mitusi toka kwa the list mpaka alikoma[emoji38] [emoji38] Sina Tv ya chogo mkuu[emoji13] [emoji13]
Hiyo ndio hoja yako niliyoweza kuijibu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] View attachment 710461