Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Itoshe kusema kuwa sitamani lifestyle ya MTU na anavyomiliki ila huwa natamani sana kutimiza ndoto zangu, niliyoleta humu ni hoja za kuhusisha baadhi ya members wenye kuguswa na premises above!

Ukisoma na kutumia vizuri akili kunielewa nadhani hautaona tatizo mkuu

Labda ituambie ndoto zako ni zipi?

Hakuna kitu kizuri kama kumtumia mtu aliyefanikiwa kama inspiration kwako,sidhani kama humu JF hamna mtu anayependa kuwa na Bakhresa.
 
Itoshe kusema kuwa sitamani lifestyle ya MTU na anavyomiliki ila huwa natamani sana kutimiza ndoto zangu, niliyoleta humu ni hoja za kuhusisha baadhi ya members wenye kuguswa na premises above!

Ukisoma na kutumia vizuri akili kunielewa nadhani hautaona tatizo mkuu
Maada haina tatizo ila tatizo ni mleta uzi ndo nimejaribu kufikiria kuwa anatembelea jukwaa gani analo kutana na haya majigambo ya watu
 
Labda kwa baadhi ya watu lakini nafikiri wengi wao wanaweka ukweli na uhalisia wao.
Kila mtu utamjua kwa mchango wake humu na sio kila mtu anaonyesha utajiri wake kwenye forbes kama kina Gates wengine wapo hawaongei kabisa lakini utakuta kwenye misaada wanachangia haswa.
Wapo wanaokebehi na kuweka utani ili maisha yaende
 
hahahahahahahaha..............
hahahahahqhahahaja..

nimecheka sana kwenye kundi la kwanza namba 4.
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] warembo wangu wawili wote nawalipia ada ya private nikiwaambia watu hawaamini km sina sapoti ht ya mzazi mwenzangu kumbe zile karanga na askirimu zoote sikosi faida ya elf 30 per day nalipa vicoba yangu yanaenda yaleee !!

Biashara usizolipia kodi zina faida kiasi chetu sisi kwa kweli
Safi sana, askirimu zinafaida nzuri...
 
Back
Top Bottom