Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

[emoji38] [emoji38] Sina Tv ya chogo mkuu[emoji13] [emoji13]

Hiyo ndio hoja yako niliyoweza kuijibu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] View attachment 710461
Hiyo ni ya lodge mkuu haiwezi kutengua hoja za awali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haihusu kitu kukutana na mtu kisha kuja kumnanga humu. Watanzania tubadilike!!! Kabla hujafa hujaumbika KAMWE tusifanye dharau dhidi ya wale waliopigika kimaisha. Ukijaaliwa basi ni kumshukuru Mwenyezi Mungu badala ya kufanya dhihaka dhidi ya wale wanaotaabika kimaisha.
Mmh. Leo umeamua kumwaga busara zako. Lol

Umeongea sahihi kabisa BAK. [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
...........nadhani vyote vilivyozungumzwa hapa hakuna hata kimoja kinachonihusu japo vingi vina ukweli!
 
Acha kabisa maisha ni habari nyingine kabisa. Nimewaona watu walikuwa wakiishi maisha ya kifahari sana bahati mbaya wakatetereka. Ukijaaliwa ni kushukuru tu na kuomba muumba wetu aendelee kukujalia na si kuwananga wale wanaotaabika kwa namna moja au nyingine. KARMA IS A BITCH.

Sana tu usidharau mtu ...

Maisha hayana formula,wengine tumepitia hali zotee mpk sasa sioni jipya nachukulia km challenge!zitaisha tu!

Haina haja ya kujikweza wala kudharau mtu
 
Hata mimi najiuliza...kwani kuwa mwalimu kuna ubaya?

Mtu hata awe kuli, mbeba zege, mpiga debe wa daladala, na kadhalika, madhali anajipatia riziki yake halali, binafsi sioni tatizo kabisa.

Kazi ni kazi tu. Na kazi yoyote iliyo halali haimpunguzii mtu utu wake.

Mtu hawi bora zaidi ya mwenzake kisa tu ana kazi flani.
Nauza juice,askirimu,karanga na ubuyu daily nikipigaga mahesabu faida yangu kwa siku wala siachi aiseeehhh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asikuambie mtu maisha yanasonga mradi sifanyi dhambi we nichekeee yangu yanasonga
 
Hiyo ni ya lodge mkuu haiwezi kutengua hoja za awali[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angalia vizuri mkuu, hivi kuna lodge gani wanaweka Azamtv, Dstv? Kwahiyo kila siku naishi lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
1520693150181.jpg
 
Hata mimi najiuliza...kwani kuwa mwalimu kuna ubaya?

Mtu hata awe kuli, mbeba zege, mpiga debe wa daladala, na kadhalika, madhali anajipatia riziki yake halali, binafsi sioni tatizo kabisa.

Kazi ni kazi tu. Na kazi yoyote iliyo halali haimpunguzii mtu utu wake.

Mtu hawi bora zaidi ya mwenzake kisa tu ana kazi flani.

Hapo ndio wengi tunakosea, watu wakisimama eneo bila kuwa na sare au majina ya vyeo, na utambulisho wa kazi zao. Hakuna tofauti yeyote inayokufanya utambue kazi ya mtu. Hata hivyo hayo ni mambo ya kupita, hayatakiwi yabadili thamani ya utu.
 
Acha kabisa maisha ni habari nyingine kabisa. Nimewaona watu walikuwa wakiishi maisha ya kifahari sana bahati mbaya wakatetereka. Ukijaaliwa ni kushukuru tu na kuomba muumba wetu aendelee kukujalia na si kuwananga wale wanaotaabika kwa namna moja au nyingine. KARMA IS A BITCH.
Uko sawa kabisaa kakaa!!maisha hayaa!acha tu!wengine mifano ni sisi wenyewee!!!
 
Nauza juice,askirimu,karanga na ubuyu daily nikipigaga mahesabu faida yangu kwa siku wala siachi aiseeehhh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] asikuambie mtu maisha yanasonga mradi sifanyi dhambi we nichekeee yangu yanasonga

Hata mimi nabeba boksi, natawaza vibabu na vibibi, nafua chupi zao, napangusa matapishi, na Kisura wangu anasoma private school.

[emoji1]
 
Hamna lodge ina TV kubwa hivyo. Kidoogo Hotel na bado sio ukubwa huo
Ahsante for the assist, nilishangaa Samsung 32 lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
Rafiki nimekuona umebonyeza dole gumba sema bado nasoma huu uzi pale no. 2 kipengele i na ii
Mie sijambo kabisa namshukuru Allah. Usijali kikiiva ntakuita uje tujichane.

Hahahaa. Yaandae tu mie nasubiri. [emoji12] [emoji12]
 
Angalia vizuri mkuu, hivi kuna lodge gani wanaweka Azamtv, Dstv? Kwahiyo kila siku naishi lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125] View attachment 710481
Okay nimekuelewa mkuu, ni yako, enhee gari liko wapi!? Tuma picha[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ahsante for the assist, nilishangaa Samsung 32 lodge?[emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Labda lodge za nje ila sio hapa Tz. Bora angesema hotel
 
Back
Top Bottom