Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

[emoji38] [emoji38] Sina Tv ya chogo mkuu[emoji13] [emoji13]

Hiyo ndio hoja yako niliyoweza kuijibu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
1520692418186.jpg
 
Hivi kuna mtu anaweza akaona aibu kutaja ye ni mwalimu? Nahisi kati ya fani ninazo ziheshimu ni fani ya ualimu na afya.

Hata mimi najiuliza...kwani kuwa mwalimu kuna ubaya?

Mtu hata awe kuli, mbeba zege, mpiga debe wa daladala, na kadhalika, madhali anajipatia riziki yake halali, binafsi sioni tatizo kabisa.

Kazi ni kazi tu. Na kazi yoyote iliyo halali haimpunguzii mtu utu wake.

Mtu hawi bora zaidi ya mwenzake kisa tu ana kazi flani.
 
Haihusu kitu kukutana na mtu kisha kuja kumnanga humu. Watanzania tubadilike!!! Kabla hujafa hujaumbika KAMWE tusifanye dharau dhidi ya wale waliopigika kimaisha. Ukijaaliwa basi ni kumshukuru Mwenyezi Mungu badala ya kufanya dhihaka dhidi ya wale wanaotaabika kimaisha.
Sana tu usidharau mtu ...

Maisha hayana formula,wengine tumepitia hali zotee mpk sasa sioni jipya nachukulia km challenge!zitaisha tu!

Haina haja ya kujikweza wala kudharau mtu
 
Sijasema ni hater mkuu..namaanisha mambo ya huku ni ya hukuhuku na mtaani ni ya mtaani. BAK ametoa maelezo mujarab, inategemea na mtu anataka nini JF, kwangu cha kwanza ni kupata burudani, napunguza nyongo za stress zangu, pili elimu na updates za mambo mbalimbali.

Pia kuna watu wenye uzoefu wa kada mbalimbali huku, huwezi kupata hiyo fursa kwingine kwa wakati mmoja.
Angalia jukwaa lenyewe mjombaa
 
Hata mimi najiuliza...kwani kuwa mwalimu kuna ubaya?

Mtu hata awe kuli, mbeba zege, mpiga debe wa daladala, na kadhalika, madhali anajipatia riziki yake halali, binafsi sioni tatizo kabisa.

Kazi ni kazi tu. Na kazi yoyote iliyo halali haimpunguzii mtu utu wake.

Mtu hawi bora zaidi ya mwenzake kisa tu ana kazi flani.
Kazi kazi ilimradi hulali njaa wala kulala nje. Kuna kazi watu tunaziona za ajabu ila zina hela kuliko hizi zetu za kitumwa. Ila tushakariri kazi nzuri ni za kukaa nyuma ya computer. Walimu wana maslahi madogo kuliko wanachokitoa kwenye jamii ila bado ni kazi ya kujivunia sana tena sana.
 
Mleta mada napingana na wewe kidogo kwa sababu tumekuwa tukijieleza tulivyo japo indirect! Mf wengi wanaulizia bei ya magari tena ushauri wanapeana kuhusu magari ya kawaida kabisa na maswali mengine kuhusu magari, maswali kuhusu magari ni mengi kudhihirisha kwamba wengi hatuna magar!

Pia kuna maswali na matangazo mengi kuhusu tv hasa smart! Hii inaonyesha wengi tunatumia chogo au tv za kawaida kabisa, na mengine mengi
 
Hahahahaha lol! Mzima weye!? Vipi weekend unakaangiza nini!? Kama samaki wa kukaanga na ugali nije kudowea.

Ngoja niandae materials ya darasa la namna ya kuandika gazeti. Sawa mrembo!?
Mie sijambo kabisa namshukuru Allah. Usijali kikiiva ntakuita uje tujichane.

Hahahaa. Yaandae tu mie nasubiri. [emoji12] [emoji12]
 
Hivi kuna mtu anaweza akaona aibu kutaja ye ni mwalimu? Nahisi kati ya fani ninazo ziheshimu ni fani ya ualimu na afya.
Kuna watu hawajiamini ujue wana inferiority complex kitu ambacho ni ujinga haswaa!!

Na hivi makonda ametupa vitambulisho vya kupanda gari buree[emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji2] mpk raha silipi nauli miyee!!!
 
Back
Top Bottom