Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Maisha ya mwana JamiiForums nje na ndani ya JamiiForums

Sana tu usidharau mtu ...

Maisha hayana formula,wengine tumepitia hali zotee mpk sasa sioni jipya nachukulia km challenge!zitaisha tu!

Haina haja ya kujikweza wala kudharau mtu
kabisaaaaa kabisaaa shida inakuja kwa mtu ambaye hajawahi kushika kitu Fulani kikubwa au akapata mafanikio fulani hapo awali ..na hajawahi kupata uzoefu wakukipoteza ..so siku ambayo atakuja kukipoteza ndio atajua kuwa haya nimambo ya kawaida tu ..na yanawezekana kwa yeyeto yule endapo akiamua kupambana vyema katika utafuataji
 
hahaaa ndio kwanza nataka kununua baiskeli ..nimeanza kununua kengere na breki zake kwanza ...nadhani mpka mwezi wa 6 ndoto yangu ya kumiliki baiskeli itakuwa imeshatimia mkuu...

namuomba Mungu inshaallah

Hahahahaha mungu yumooo rafiki atakusaidiaa .. mimi maisha yangu ya kubustiwa tu nashukuru Smart911 ananisapoti sana namimi naonekanamo.. otherwise ni mchovu tu
 
HAHAHAA UMENIKUMBUSHA MBALI MNOOO AISEEE KUNA JAMAA MMOJA KWENYE ULE UZI WA ANT FOREX ALIPOST LAPTOP YA DELL ETI ANAJINADI KUWA TANGU AANZE KUTRED AMEKUWA MTU MWENYE MAFANIKIO NA MOJA YA MAFANIKIO ALIYONAYO KAWEZA KUJINUNULIA LAPTOP YAKE MWENYEWE.baada ya hapo .....alichezea mitusi toka kwa the list mpaka alikoma

HAHAAAAA. JF BHANAA
Hahahaha laptop ni moja ya achievement sio mchezo
 
Ahsantee uswahilini huku fridge ni uwekezaji mkubwa haswaa[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji2] maana wengi hawana na ht km wanayo wengine wanaogopa kuyatumia kwny busnezz kisa linakula umeme haswaa nyumba za kupanga!!
Yes yes tuliuza sana na sisi askirimu, za ubuyu zilikuwa tamu sana [emoji1][emoji1]
 
Hahahahaha mungu yumooo rafiki atakusaidiaa .. mimi maisha yangu ya kubustiwa tu nashukuru Smart911 ananisapoti sana namimi naonekanamo.. otherwise ni mchovu tu
hahahaaa hatari sana ungeza speed ya kiuno mkuu ..mpka smart akiwaona wanawake wengine ahisi kuwa niwanaume wenzie ...ukishindwa kwa viuno nitafute nikupeleke kwa mganga ...
hahaaaaa mwaka huu mpka akuhonge UFUNGUO wa premio
 
Unataka kumpeleka mtoto wa watu kwenu Kasulu Kigoma akapikwe kwenye mavyungu kama mboga kisa nini?
 
hahahaaa hatari sana ungeza speed ya kiuno mkuu ..mpka smart akiwaona wanawake wengine ahisi kuwa niwanaume wenzie ...ukishindwa kwa viuno nitafute nikupeleke kwa mganga ...
hahaaaaa mwaka huu mpka akuhonge UFUNGUO wa premio

khakhakhaaaaaaa mbavu zanguuuuuu mwenzio

cc Smart911 rafiki aniombea mazuri hukuu lol
 
Kwenye movie Pursuit of HappYness kuna kipande Will Smith anatembea high street anaona kila mtu kapendeza,anafuraha kasoro yeye maisha yake ni magumu sana.
Ghafla akamuona mzee mmoja anaingia kwenye kwenye Ferrari akamfuata akamuuliza, what do u do and how do u do? Jamaa akamwambia I'm a stock broker,if you are good in Math you can do it.
Kuanzia pale Will akaamua kupigana awe stock broker na alifanikiwa akawa millionare. Ni true story inamhusu somebody Gardner.
Kitu cha kujifunza Will didnt hate other people coz they are successful and happy. He was inspired and said to himself I wanna be like them. Sasa wewe endelea kuona kuwa na gari ni kujikweza,kuwa na dstv ni kujionesha,kusoma/kuishi Ulaya/US ni kuringa,kuwa na nyumba ni show off.
Kuna watu humu kwa kuona fulani anaongelea sana vitu fulani wao wanachukulia positive na kumfuata huyo mtu kuomba ushauri kwenye nyanja hio ila wapo wengine wanaosikitisha,wanachukulia negatively ndio hawa wanaoanzisha thread kama hizi.
[HASHTAG]#GetAngry[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BeInspired[/HASHTAG]
[HASHTAG]#KeepHating[/HASHTAG]
 
Back
Top Bottom