dictator cha pombe
JF-Expert Member
- Mar 5, 2018
- 260
- 259
Mzigua mimi nina kabamia kadogo Lemutuz hanikutiNa wote wana mihogo hamna mwenye kibamia
Kiswahili cha unguja hicho eeh. Basi naacha kujitia ujubaNaona siku hizi unanisokota, unanifanyia tafrani, unaniletea mazonge kwenye siredi...mie nimeamua kuwa mpole tu. Sijajitia ujuba
Hahaaaaaaa haaaaa haaaaa... Daaah!! Hapo kwa wanawake wa JF kibokoAsalaam wanajukwaa!!
Katika kutumia mtandao huu ( jamiiforums) mzuri na ninaoupa kipaumbele sana nimepata uzoefu na maswali mengi yakinizunguka akilini mwangu kuhusu members wa hii familia ya jamiiforum.
Kutokana na maswali hayo yalinipa hitimisho ama uzoefu mpya kabisa!!
Kiukweli namna watu wanavyojipambanua humu, ni tofauti kabisa na hali zao zilivyo, nafafanua kwa kila kundi ama jinsia kama ifuatavyo:-
1 KUNDI LA WANAUME WA JF.
Wanavyojisifu:-
I/wengi kama sio wote wana miliki magari au usafiri mzuri, yaani wengi hawapandi daladala kwenda kazini ama majumbani Kwao
ii/ wengi kama si wote wana kazi nzuri zenye mishahara mizuri, hapa utakuta watu wanabeza hasa wenzao wanaolipwa mfano laki Tatu au mbili kwa mwezi.
iii/ wengi kama sio wote ni watu wa vitengo ( usalama wa taifa na wanajeshi)[emoji23] [emoji23] [emoji23]
iv/ Hakuna asikari polisi hata mmoja humu jamiiforum, huwezi kukuta mtu akijipiga kifua humu kuwa yeye ni polisi ila tuna wajeda karibia wote humu[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
v/ Humu walimu wanadharaulika kwa sababu wanalipwa kidogo. Hivyo hatuna member ambao ni maticha humu labda tupate Leo.
vi/ wanaume wote wa jamiiforum hawatumii TV za chogo majumbani/ maghetoni Kwao, wao wana flat screen TVs ( smart TV) za bei kubwa hivyo yeyote anayetumia TV ya chogo huhesabiwa mlalahoi wa jf.
2.KUNDI LA WANAWAKE.
I/wote ni warembo, yaani vibinti vibichi.
ii/ wote wana K mnato.
iii/ wote ni wahitimu wa kuanzia shahada ( degree). Humu jf hakuna mwanamke mwenye elimu darasa la saba au form four.
iv/ kuwahonga mademu wa humu jamiiforum labda uanzie laki mbili na si chini ya hapo.
v/ wengi kama sio wote wamepanga nyumba nzima yaani apartment.
vi/ vinywaji vyao ni saint Anna, savanna, Grants, na castle lite kwa Mara chache.
vii/ Hakuna majimama humu jamiiforum, wote ni vimwana wazuuri.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
HITIMISHO.
Kijana mwenzangu usijaribu kushindana na mazuri ya jamiiforum, kwani huu ni ulimwengu wa waliofanikiwa ( the world of granted).
Ingia shambani lima, fundisha, cheza italipa zaidi.
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Niko family bar tegeta, upo chimbo gani nikuibukie?Njoo tule mbuzi hapa basihaya
Hahaaa mjomba mie sio hater ni jamaa simple sana mwenye kupenda furaha, tuko pamoja sanaSasa wee jamaa unachoshangaa ni kitu gani? Unataka tutumie ID fake lakini tuwe halisi? Mtaani kunabaki kuwa mtaani na JF yanaishia JF.
Hata hivyo iwe mtaani au JF, usijilinganishe na mtu mwingine. Usimchukie bila sababu anaekuzidi, chukulia kama changamoto ufanye vizuri zaidi yake.
Hali kadhalikabusimdharau unaemzidi, ongeza bidii usirudi huko.
Anaongelea aliokutana nao lazima.Acheni kufuatilia maisha ya watu hayawahusu. Pambaneni na hali zenu. Si kila mtu humu ni muongo wa kujikweza. Niliobahatika kuwafahamu humu ni watu bomba sana na wengine wana maisha mazuri sana kwa kuchakarika kwao kwenye elimu na biashara.
Mbona kuna wengi humu wanakuja kuomba misaada ya aina mbali mbali na wanasaidiwa!? Mbona hao hamuwasemi!?
Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. Si kila mtu humu ni muongo au mtu wa kujikweza wengi wako kimya mpaka mpate bahati ya kufahamiana kwa karibu.
Kweli kabisa mziguaHata Insta Facebook SnapChat mambo ni haya haya. Unakuta mdada anapost kila siku yupo Cape town Fish Market ila hata pa kuishi hana anaishi kwa mashoga. Ukiishi kwa kutegemea maisha wanayoishi wengine kwenye social media unaweza ukawa shoga au punda au malaya. Turidhike na tulipo. Tupiganie maendeleo kwa faida yetu sio kwa sababu ya fulani.
Alichoshindwa kuelewa mtoa mada ni kwamba. Kwenye jamii yoyote hao aliowataja wapo. Wapo watu wana sifa zote humu alizozitaja na kweli ndo maisha yao halisi hawaigizi. Na wapo watu sio maisha yao wanaigiza. Kwenye mitandao yote tunao hao watu. Sio humu tu.Hiyo nambari 5 (v) inaonekana umgeni humu.kuna waalimu kibao na wala hawajifichi kuna mpaka nyuzi ya waalimu kubadilishana vituo vya kazi.
Cha msingi nakushauri usipoteze muda kuwatafakari na kutaka kuwajua watu.haitakusaidia lolote.we ingia jadili hoja/mada zilizopo ukimaliza kafanye mambo mengine
Hata Insta Facebook SnapChat mambo ni haya haya. Unakuta mdada anapost kila siku yupo Cape town Fish Market ila hata pa kuishi hana anaishi kwa mashoga. Ukiishi kwa kutegemea maisha wanayoishi wengine kwenye social media unaweza ukawa shoga au punda au malaya. Turidhike na tulipo. Tupiganie maendeleo kwa faida yetu sio kwa sababu ya fulani.
Hahahaa. We najua unaendaga.Cape Town Fish Market mimi naendaga kweli.
Asipokuelewa kwa ulichoandika basi ana lake jambo.Acheni kufuatilia maisha ya watu hayawahusu. Pambaneni na hali zenu. Si kila mtu humu ni muongo wa kujikweza. Niliobahatika kuwafahamu humu ni watu bomba sana na wengine wana maisha mazuri sana kwa kuchakarika kwao kwenye elimu na biashara.
Mbona kuna wengi humu wanakuja kuomba misaada ya aina mbali mbali na wanasaidiwa!? Mbona hao hamuwasemi!?
Mambo ya Ngoswe mwachieni Ngoswe. Si kila mtu humu ni muongo au mtu wa kujikweza wengi wako kimya mpaka mpate bahati ya kufahamiana kwa karibu.
Anaongelea aliokutana nao lazima.
Hahaaa mjomba mie sio hater ni jamaa simple sana mwenye kupenda furaha, tuko pamoja sana