[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamrithi Faiza eehMwalimu by ‘profession’. Siyo by ‘professional’.
Wapo kweli sio siriKabisa yaani kuna watu wanasifa hizo za kujikweza haswaaa
Hahaha, we ndio umemaliza kbsAnaeamini nae mtoto
Hivi kuna mtu anaweza akaona aibu kutaja ye ni mwalimu? Nahisi kati ya fani ninazo ziheshimu ni fani ya ualimu na afya.
Ahsanteeee kwa marekebisho lugha ya wenyewe hii imekuja na meli ya malkia
Sana tu usidharau mtu ...Haihusu kitu kukutana na mtu kisha kuja kumnanga humu. Watanzania tubadilike!!! Kabla hujafa hujaumbika KAMWE tusifanye dharau dhidi ya wale waliopigika kimaisha. Ukijaaliwa basi ni kumshukuru Mwenyezi Mungu badala ya kufanya dhihaka dhidi ya wale wanaotaabika kimaisha.
Angalia jukwaa lenyewe mjombaaSijasema ni hater mkuu..namaanisha mambo ya huku ni ya hukuhuku na mtaani ni ya mtaani. BAK ametoa maelezo mujarab, inategemea na mtu anataka nini JF, kwangu cha kwanza ni kupata burudani, napunguza nyongo za stress zangu, pili elimu na updates za mambo mbalimbali.
Pia kuna watu wenye uzoefu wa kada mbalimbali huku, huwezi kupata hiyo fursa kwingine kwa wakati mmoja.
Thank uuTo err is human.
Kazi kazi ilimradi hulali njaa wala kulala nje. Kuna kazi watu tunaziona za ajabu ila zina hela kuliko hizi zetu za kitumwa. Ila tushakariri kazi nzuri ni za kukaa nyuma ya computer. Walimu wana maslahi madogo kuliko wanachokitoa kwenye jamii ila bado ni kazi ya kujivunia sana tena sana.Hata mimi najiuliza...kwani kuwa mwalimu kuna ubaya?
Mtu hata awe kuli, mbeba zege, mpiga debe wa daladala, na kadhalika, madhali anajipatia riziki yake halali, binafsi sioni tatizo kabisa.
Kazi ni kazi tu. Na kazi yoyote iliyo halali haimpunguzii mtu utu wake.
Mtu hawi bora zaidi ya mwenzake kisa tu ana kazi flani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamrithi Faiza eeh
[emoji23][emoji23][emoji23]Faiza aliniiga tu huyo.
Kanikuta humu JF.
Mie sijambo kabisa namshukuru Allah. Usijali kikiiva ntakuita uje tujichane.Hahahahaha lol! Mzima weye!? Vipi weekend unakaangiza nini!? Kama samaki wa kukaanga na ugali nije kudowea.
Ngoja niandae materials ya darasa la namna ya kuandika gazeti. Sawa mrembo!?
Kuna watu hawajiamini ujue wana inferiority complex kitu ambacho ni ujinga haswaa!!Hivi kuna mtu anaweza akaona aibu kutaja ye ni mwalimu? Nahisi kati ya fani ninazo ziheshimu ni fani ya ualimu na afya.
WassalaamHaya
[emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji2]Faiza aliniiga tu huyo.
Kanikuta humu JF.