Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 17,306
- 19,885
- Thread starter
- #21
Unaweza tu mkuu...Hatuwez ku reflect kweny siasa mkuu?
Unaweza tu mkuu...Hatuwez ku reflect kweny siasa mkuu?
Hahahaaa wajumbe hawakukuachia hata kidari mkuu?Nilifuga Bata akakua,akaanza kutaga alipofkisha mayai sita Kuna mtoto wa jirani akapiga jiwe mgongo ukavunjika,yani Hadi nnavoandika hapa nasononeka sana,na nyama ile sikula
Sikula tu mwenyewe kwa huzuniHahahaaa wajumbe hawakukuachia hata kidari mkuu?
Chadema kumbuka shabiki anabadilika kutokana na treand but mwanachama ni royalSikula tu mwenyewe kwa huzuni
Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua CCM imepita bila kupingwa.Mimi uvumilivu wa kucheka uliniisha nilipomuona Adam mchomvu anamchota ngwala moja nzito ndugu Emmanuel Mbasha..nikajikuta nacheka mnoo.
Hii umetoa wapi kaka?...Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo mengi wapinzani wamenyanyua mikono
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kimepita bila kupingwa katika vijiji, mitaa na vitongoji 3,905 kati ya 4,032 vilivyopo sawa na asilimia 96.85.Niliwahi kudondosha kitambulisho siku ninaenda kufanya paper ya NECTA miaka hiyoooo wakati wewe bado mtoto sana.
gombea udiwani mkuuCHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Dodoma kimepita bila kupingwa katika vijiji, mitaa na vitongoji 3,905 kati ya 4,032 vilivyopo sawa na asilimia 96.85.
Long live JPM Rais bora africa na dunia kwajumla.kwa kuishinda corona.Panya aliwahi kula gauni la mama yangu wakati bado nipo mdogo na tunakaa kule Kurasini shimo la udongo.
Mama alikasirika sana mpaka huruma ikanijaa.
Poa...Long live JPM Rais bora africa na dunia kwajumla.
Umeandika kama unakimbizwaAisee umenikumbisha kitu,,,Mimi ni mpenzi sana wa samaki yani napenda mno samaki ,sasa Kuna siku moja miaka ming kidogo iliyopita mzee alikuja na samaki ninaowapenda mno na nyumbani walilijua hili,sasa baada ya samaki kukaangwa vizuri na mkaangaji alipomaliza ambaye alikuwa na Dada yangu bana we akajisahau akatoka jikoni akaingia ndani na jiko lilikuwa kwa nje aisee kumbe pembeni ya chumba cha jiko kulikuwa na mbwa yan kama yule mbwa alikuwa anaombea mpikaji atoke tu,,,,bac mbwa yule akapita na sufuria ya samaki waliokaangwa mwanaume kutoka nje mbwa ndo yule anaishia zake porin kwa hasira ata nikashindwa kumfatilia,, miguu iliganda sikuweza ata kutembea roho iliniuma mnooooo afu kilikuwa kitu cha wali na hao samaki waliochukuliwa na mbwa koko aisee si unajua enzi hizo ukipiga wali mtaa unakuwa ni vurugu basi toka siku hiyo nimekuwa nkichukia sana mbwa,na hasira juu ya mbwa ninazo hadi Leo nikiona mbwa koko natamani nimpige nimuue tu
Sawa...Aisee umenikumbisha kitu
Naaam mkuu...Bi mkubwa aliniomba nimnyooshee nguo yake kwa ajili ya sherehe
Wapinzani wanokosa adabu wanapotaka kujilinganisha na Rais Magufuli. Huyu JP Magufuli ana uwezo mkubwa sana ujue?Bi mkubwa aliniomba nimnyooshee nguo yake kwa ajili ya sherehe,nikaweka motoo mkubwa kwa material ya ile nguo ile naweka tu pasi ikachanika Kama pazia la hekaluni.Mother alirap wacha bwana kaenda kwenye sherehe karudi bado anarap ,kaamka bado anarap mpaka giza linaingia bado anarap tu .Nguo yangu naipenda umeiunguza Bora nisingekupa jamani.