lee Vladimir cleef
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 9,571
- 35,475
Nape inabidi aishi kwa kujipeneekeza tu ndani ya CCM.
Akina Nape na vijana wengine hawawezi maisha nje ya CCM.
Ni watu dhaifu sana.kwa kifupi sana,maisha ya Nape yako hivi.
Hajiamini,hajui anatakaga kufanya Nini CCM.
Alijaribu kumbugudhi fisadi Lowassa,Katibu Mkuu wa CCM wakati huo Makamba akamzuia uongozi wa UVCCM,akamwambia,
"umefungiwa duniani hata mbinguni"
Kikwete akamwokoa na kumpa ukuu wa Wilaya.
Akajifanya kuungana na kundi la akina Sita kuanzisha chama kipya ndani ya chama wakakiita CCJ,Nape na wenzake wakashughulikiwa. Na karipio Kali wakapewa.
Nape akajidai kupambana na jambazi Bashite,baada ya Bashite kuvamia Clouds Redio,Nape akaTumbuliwa uwaziri.
Siku chache baadae Nape akaelekezewa Mdomo wa Bastola alipokua akitaka kwenda kufanya mazungumzo na Vyombo vya habari juu ya kutumbuliwa kwake.
Nape nae Kama Lissu akaanza kulalamika kuwa anafuatiliwa na wasiojulikana.
Nape Bado hakuwa salama,Nape alidukuliwa akimsema vibaya Raisi wetu mpendwa,mtetezi wa sisi wanyonge na kiboko ya Korona na Mabeberu.
Nape maisha ya mtaani wanayoishi akina Mbowe,lissu,Lema,Sugu hayawezi,akaona aende kuungama,kutubu na kujuta dhambi zake kwa kipenzi Cha Watanzania JPM.
Mimi mwenyewe nilishudia video ya Nape akitembea umbali mrefu huku jasho likimtoka naye akawa anajifuta kwa kitambaa akielekea ndani ya nyumba ya Taifa.
Leo hi nape anaomba apewe ruhusa ya kupiga mabuti wenzie.
Maisha ya Nape Ni kama ya digidigi polini,anaishi kwa kuogopa kuliwa.
Nape Ni bingwa wa kuandika tweet za mafumbo ambayo anayaelewaga yeye mwenyewe tu.Na juzikati hapa kaandika fumbo Kama hivi,
"wewe piga kelele tu ukiona unempigia kelele hajibu jiulize Mara mbili"
Sijui hapa alimlenga Nani.
Nape haeleweki Kama anapenda Haki au haramu.