Daah pole yake huyo mwamba Tena namwonea huruma Sana .
Kwanza mm nilishakataa kata kata kufunga harusi ili kufurahisha umma wakat najijua kipato changu Ni Cha kawaida tu ,na wanawake wengi wanapenda Sana harusi lengo tu wawaringishie wenzao kuwa waliolewa kwa harusi.
Mpaka Sasa Nina miaka 31 sijaoa maana kila ninae mkuta anataka harusi tu ,ukimwambia kwann tusiende kubarikiwa tu kanisan lengo tupate chet anakwambia mm harusi Ni ndoto ya maisha yangu lazima nivae shera ,Basi kidume mm naishia kumega tu na kusepa mbali kabisa.
Ila ninachoshukuru mungu Ni watoto wawil first born wakiume na lastborn binti ,mama tofaut ,so hao ndio wanaonipa jeur ya kutowazia ndoa za maonyesho kabisa ,na hata niliozaa nao pia walitaka Mambo hayo hayo tukaishia kuzaa tu saiz wapo wapo tu alaf Sina mpango nao kabisa.
Pia nipende kumshaur huyo jamaa aache uzuzu hiyo 140k inamtosha Sana kuanza life upya na bahat nzur anafundisha shule ambayo hapaswi kusafir kwa nauli ,achukue room ya 40k per month ambayo Ni single room najua itakuwa nzur Sana Tena kwa hapa nilipo hiyo Ni single room alaf master. Hiyo laki inamtosha Sana kusavaiv vzr Sana Ila awe anapika asile mgahawani.
Kitu kingine nikichogundua jamaa alioa kwa hisia za mapenz tu hakupima uelewa wa huyo manz, Sasa jamaa alimpenda Dem just for sex na hakuangalia na mengine ya ziada ya huyo Dem.
Mapaka hapo huyo Dem Ana mtu anayempa kibur na anamkaza vzr kuliko huyo jamaa pia anamhudumia vzr Sana ,Sasa ukiona hiyo Hali huna bud kukubaliana na matokeo kuwa mm hapa Ni mnyonge so asiogope kuonekana mnyonge mbele ya Wana staff wenzie na nadhan hicho tu ndicho kinazid mkarisha hapo anaogopa aibu ya wananzengo na staffmates wake kuwa ataonekaneje .
Alaf apunguze uoga ya mungu mengi humo Kat Kati ya hiyo miaka iliyobakiza kulipa Deni lake anaweza shushiwa neema ya kupanda daraja na akapata nafuu ya maisha ingawa sio ya kuitegemea Sana hii.
Ushaur wa mwisho Kama alikuwa mtu wa Bata akubaliane na hali awe mtu wa kushinda ndani tu geto anafanya Mambo yake mengine Kama Ana laptop au tv akomae na movie itamsaidia kusahau baadhi ya maumivu had siku anakaa fresh kabisa nankumaliza loan yake ambayo aliikopea kwa ajili ya harusi .
Mwisho kabisa jamaa akubal kuwa amepoteza pesa milion kadhaa bure bure pia nadhan hii itampa akil Sana kwa hapo baadae kutumia pesa kwa akil Sana na hii itamfanya awe imara Zaid ya Jana .Na huyo manz nakuapia walai Hana muda wa kishaine kiivo miaka minne Ni mingi tu atakuwa kashapoteana vibaya Sana maana anayemtumia saiz soon tu atamdamp maana umri alio nao Ni wa jion Sana.