Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

Mlishindwaje kupata mtto kwa kipind chote umedumu naye[emoji848][emoji848] hapa si bure huenda kuna game ulikua unachezewa bila kujua
 
Baada ya harusi mke wangu alinishawishi nihame nilipo kuwa naishi ili niende anapo ishi yeye (KOTA) ili niweze kusave pia gharama za kupanga. Nilikataa sana kufanya hivo lakini aliweza kulazimisha.
Hapo underlined nimependa sana aiseee
 
Ndugu pole...nadhani umeshajua nini maana ya mwanamke. Ondoka na kaanze maisha upya.
 
Nimeandika nyuzi nying sn humu ndan kuhusu hawa viumbe wanaitwa wanawake nimekuwa nikitukanwa na kupewa majibu ya maudh na hawa hawa viumbe mnaowaita wanawake

NANUKUU na haya maneno umpelekee ndugu yko
1.Mwanamke sio kiumbe wa kumpenda na kumuamini ni kiumbe wa kumtaman daima ukimtamania itapelekea uwe una mchezea na ukiwa unqmchezea utasababisha akupende daima na ata akikuacha huumii kwanza humpend pili ushamchezea sn tu huna hamu nae lkn ukimpenda utakuwa humli ipasavyo ambapo itapelekea yy akuchukie na akikuacha unaumia sababu unampenda pili ata ujamchezea sn

2.PESA . Pesa ndio sabun ya koo kwa mwanamke lkn hii pia ikukae akilin mwako mwanamke akijua ww pesa huna ila unajitutumua kumpa ili yu aridhike anakudharau na hilo kosa la kukopa benk ufanye harus na sendof ukaonekana ww ndio unalazimisha io ndoa na mwenzako hana time nayo na bahat yko mm sio kaka ako ningekuwa mm ningekuzaba makofi ili akili ikukae sawa maana nahic kuna nati hazimo humo na nimamilizie km ifuatavyo mwanamke akijua ww pesa unazo nying na yy pesa umazompa no sawa na umemtupia atakuheshimu daima hata km anajua unamtupia

NOTE :Km unajua ww bado pesa unatafuta kwa tabu na kipato chako ni kidogo please usimpe pesa mwanamke atakudharau

Mwambie ndugu yko atoke hapo maana kafel mitihan yote na demu sasa anamdharau mtihan pekee aliotakiwa kuucheza vyema ni ule wa mimba na kwa bahat mbaya uo nao pia kapata zero

By renamaizo
 
Hapo kuna mambo matatu:-
1.Sababu umeshindwa kumzalisha/kumtia mimba
2. Wewe ni mwanaume usiyejiamini (Muoga) nina imani hujawahi kumnasa hata kofi huyo mkeo
3.Unaona aibu kwa watu watakuonaje watakaposikia umeachana na mkeo

Ushauri wangu piga chini huyo mwanamke utaumia zaidi ya unavoumia huko mbeleni endapo utaendelea kuishi nae..

Suka au Nyoa uamuzi ni wako...
 
isipo kuwa tuna kiwanja pekee. lakini kila nikitafakari naona sitoweza kusimama kwa huu mshahara wangu mdogo hasa kumudu gharama za maisha.
Uza kiwanja lipia mkopo kwasababu nusu ya mkopo yako na nusu ni yake, mwambie mdogo wako aliwezaji kusimama mwanzo hata sasahivi awe na hofu ya kutojiamini? Au ndio sababu mwanamke akamfukuza amemuona hana muelekeo(mwanaume kuwa mtegemezi kwa mwanamke).


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Nipe namba ya huyo mke nikajipigie
 
Darasa la saba nahisi wanakaribia kufanya mtihani, mkuu jiongeze uanzishe pre form one mapema, jipange kisawasawa kufundisha watoto viuzuri pre form one cheza nao imba nao watajazana kwa wingi, kipato utakacho kipata unaweza kutumia kupanga room moja ya 30,40 au 50, jaribu kuwa agressive kwenye kusaka mshiko njee ya mshahara wako eg tuitions kwa wingi. All in All huyo mwanamke ni pepo achana nae,it better to move on rather than being slave
 
140,000 mbona kubwa sana! Kuteleza sio kuanguka... Songa mbele mzee... Kapange chuma cha 20,000/ kikubwa vitu vya ndani tayari unavyo maisha yana sifa ya kubadilika so huo sio mwsho wako mambo yatakaa sawa tu
 
Amekuambia chukua vitu vyako uondoke. Sasa tatizo Ni nini? Tafuta chumba kimoja kaishi huko. Una angalau vya kuanzia. 140 si tatizo tatizo Ni uoga wako. Wewe mwenyewe umekiri hamna future. Sasa wataka kubaki kufanya nini. Kwa nini uteseke kwa mawili wakati unaweza kupunguza moja. Ondoka na uwe na msimamo wako. Kabla hamjawa pamoja ulikua unaishi. Inaweza chukua muda Ila angalia furaha yako. Life is all about finding happiness. Go for that.
 
Wabongo tujifunze kutofanya sherehe kubwa za harusi. Usikope kwa ajili ya kulisha watu, hawatakuwepo wakati unakula msoto.
Kabisa, this was very big mistake, unakopa pesa ya kulipa 7 yrs kwa ajili ya harusi?
 
Aliponikera jamaa yako ni kukopa pesa na kufanya sherehe akajua amepata kumbe amepatikana kumbe alikuwa anajipalia kaa la moto, wabongo tunapenda sana misifa kwani kuoa lazima ufanye sherehe kubwa, tubadilikeni ndugu zangu tuwe tuna angalia na maisha ya mbele. Kuhusu uyo mwanamke aondoke tu jamaa kwa maana no way out kikubwa bado ana akili na viungo vyote akapambane tu day one atatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…