Maisha ya ndoa anayo pitia ndugu yangu ni mateso, je amelogwa?

hvyo ndio inavyotakiwa,watu wenye uelewa mdogo kwenye mambo ya uchumi hawajui hilo.
Mtu anakopa mahela mengi kufurahisha watu siku moja bila kujua hatma ya maisha yake ya baadae.
Hakuwaza kwamba nikishakatwa deni nitakuwa nabakiwa na 140000 maisha yatakuwaje baada ya hapo alichowaza yeye ni kumfurahisha mwanamke amuone yeye ni wa level za juu.
Anakuja kushtuka leo wakati maji yapo shingoni.
 
Hajalogwa na yeyote, hajiamin tu huyo na Ni muoga wa maisha. Wanawake kibao wanaondokaga na watoto na mtaji wa 50k na wanainuka sembuse wewe mwanaume mzima? Ndo maana mke haoni future na wewe
Poleeee
 

Hahaha story yako ndio iliyonikuta mimi exactly
Yaan mtililiko wako nilipokuwa nasoma nikawa tu naona kama unaniomgelea mimi
Niliptia magumu kuliko hayo mpk siku aliyonifungia mlango nikalala nie ya mlango
Kesho yake nikabeba kabegi kangu ka mgongon nikapanda gari na kuja dar
Sitaki kusimulia kilichotokea ila ndo mwisho wangu huo kazin
Miaka kadhaa sasa niko dar na nimefanikiwa kwa kias chake( na biashara mikoa mitatu hapa nchini /nakaa kwangu namiliki asset kadhaa)
Sio kwamba nakushaur na wewe uache kazi uje mjini hapana! Kila mtu ana mibaraka yake unaweza kuja na usifanikiwe
But kuacha kazi ni lazima narudia acha kazi

Kwann nashaur uache kazi(hii always huwa nasema nataman kupata nafasi ya kutoa elim ya mikopo kwa walim maana imenikuta labda itakuwa fundisho)

Kwann uache kazi

1. Usidhan mateso yako yataisha baada ya miaka 7 bro haipo hiyo kwa sababu kila baada ya mwaka waliokukopesha kama ni bank au bayport watakuwa wanakufata na kukushawish ufanye top up na wewe utajikuta unashida na kuona hiyo pesa itakusaidia so utatop up so den lako hili utaendelea kulisogeza mbele atlast litadumu maisha(ndo maana walim wengi maisha yao ni ya shida tatizo ni mikopo mirefu)
Mkopo ni adui wa wafanyakaz basi tu hawajui(angalau serikali ingetunga sera ya kuwabana walim mkopo usizid mwaka ili ateseke mwaka tu)

2. Usha athiriwa kisaikolojia tayali so hayo mazingira uliyopo si rafik tena hata uende kupanga bado utaendelea ishi kwa shida na aibu sana mwisho frustration zitakuua

AACHA KAZI SERIKALI NDO DHAMANA YA MKOPO WAKO
TAFUTA NAMNA YA KUANZA MAISHA YAKO UPYA NDG MAISHA SIO KAZI TU


Mimi nilipoanza kupata mwanga mjini nilikuwa najikuta nasave laki au laki 2 kwa mwez but i was very happy sikuwa na stress kabisa

Kdg chako ni bora kuliko kikubwa cha kugawana na bank[emoji23][emoji23][emoji23]

Bro njoo dm ntakusaidia maana nimepitia hayo maisha
 
Wabongo tujifunze kutofanya sherehe kubwa za harusi. Usikope kwa ajili ya kulisha watu, hawatakuwepo wakati unakula msoto.
Mkuu binafsi nimekuelewa sana kwa huu ujumbe wako mzuri

Siwezi kufanya upumbavu wa kukopa hela au kitu chochote kile kwa ajili ya harusi

Ona jamaa anavyosota

Siwezi siwezi siwezi siwezi siwezi siwezi
 
Hujaweka 10 ya kubet
 
Ndoa yetu ina muda wa miaka mitatu sasa ingawa bado hatujabahatika kupata mtoto.

Miaka mitatu unalala na mke wako wa ndoa na unamugegeda vile kabisa asiweze kupata mtoto/watoto?

Huyo ndugu yako wa karibu hana uwezo wa kubebesha mwanamke mimba au mwanamke anatatizo kwenye mfumo mzima wa uzazi

Wangejariwa kupata mtoto/watoto ingekuwa ndo nguzo kuu ya kuendelea kuwaunganisha

Kungekuwa na ka ugumu fulani hivi ka kuachana

Ila sasa mwanamke anaona hakuna kitu hapa maana hawana mtoto/watoto

Pole yake kwa kweli
 
Mwanamke akikwambia hamia kwangu kataa kata kata hata kama kakushikia mtutu, kataa mmesikia wanaume?

Na dharau zilianzia hapa kuhamia kwake!

Nimemaliza
Umeongea kama mwenyekiti wa wanawake wote hongera kwa Hilo[emoji122][emoji122],nadhan wavulana wamekusikia
 
Yani unamgharamia sendoff kama mtoto yatima ambae hajui ndgu zake,alivyomjinga akili zake kashikiwa na ticha wa primary
Mwanamke hakumpenda mkaka toka day 1 ,alitaka shela tu na sio ndoa maana toka miaka hyo Bibie kagoma kuzaa na hazai tena huyo a ndoa inakufa.Mkaka luba tu aondoke akuna namna
 
Walimu wanakatabia kao fulani ka kulana walimu kwa walimu wa ofisi moja wanakulana sana.
140000 ni pesa ndefu ukiamua kujinyima utaangaika mwanzo tu lakini utakaa sawa subiri mwisho picha linaisha anakuja kulala na mwanaume wake ndani .
 
Kwanini unafikiria kurogwa?taabu unafukuzwa kwakua huna issue unalazimisha kubaki kwakua huna issue hujui uanzeje.pimbi we.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…