Maisha ya ndoa ni kama pedeli ya baskeli

Maisha ya ndoa ni kama pedeli ya baskeli

mtalamu wa mapenz kutoka marekani bwana sir Henrik Finoh aliandika kwenye kitabu chake kiitwacho LOVE IS BLIND cha 1995 ukurasa wa 145 kuwa mapenzi yana formula... Formula yake imepatikana bwana...
1.pesa
2.pesa
3.pesa
4.pesa
 
Maisha ya ndoa ni mazuri Sana Kama mtaelewana,japo mapungufu yatakuwepo lakini ni kawaida. Yanafanana na pedeli ya baskeli.Siku mke akiwa juu,mume kubali kuwa chini na mume akiwa juu mke kubali kuwa chini.(ndivyo baskeli inavyoenda).

Kiburi,ujeuri,kisirani,dharau,ubabe haujengi ndoa Bali hubomoa. Tena Kuna wale wanaoshauriana na wake zao,akimaliza hapo anaenda kwa marafiki zake a.k.a washauri zake kuomba ushauri.Sasa uliomba ushauri kwa mkeo ili iweje!!!Sasa Bora washauri wakushauri vizuri,lakini hakuna.Ndoa nyingi zimekufa kwa sababu hii.

Maisha yanahitaji HESHIMA,UVUMILIVU,UPENDO,MTHAMINI MWENZA WAKO,MJALI,USIMFICHE.

KITU,MSHIRIKISHE,MUAMINI.

Nawatakia Ramadhan njema!!!!
Ungeyafahamu haya usingeachika
 
Back
Top Bottom