Maisha ya ndoa ni kusaidiana

Maisha ya ndoa ni kusaidiana

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata sidhani kama anajua anachokifanya.
Huyu ukimuachia mtoto si atafanyiwa vitu vya ajabu 😂😂😂 hiyo staili ya kumuogesha mie hoi nmecheka
 
Mimi hizo kazi sio kwamba siwezi kuzifanya naziweza tena kupika ni fundi haswaa, ila nikiwa na mchuchu ndani hapana kwakweli siwezi kujipendekeza kwenye hizo kazi huwa sizipendi nafanya tu kulingana na mazingira nitakayokua kwa wakati huo. Kazi yangu itakua ni kuleta ridhiki, kuleta maendeleo mengine ya familia na huduma za kimwili za kuhakikisha wewe umefika kunako kibo na mawenzi basi.. In case unaumwa sana hapo sawa i can do hizo kazi kiasi chake..
Wow basi wewe ni responsible husband na ukitimiza wajibu wako hivo, mbona hakutakua na tatizo na wala hakutakua na zamu ya kupika,😂 baba akifika anapokelewa kwa bashasha kabisa na mke na hata watoto.
 
Mimi hizo kazi sio kwamba siwezi kuzifanya naziweza tena kupika ni fundi haswaa, ila nikiwa na mchuchu ndani hapana kwakweli siwezi kujipendekeza kwenye hizo kazi huwa sizipendi nafanya tu kulingana na mazingira nitakayokua kwa wakati huo. Kazi yangu itakua ni kuleta ridhiki, kuleta maendeleo mengine ya familia na huduma za kimwili za kuhakikisha wewe umefika kunako kibo na mawenzi basi.. In case unaumwa sana hapo sawa i can do hizo kazi kiasi chake..
Hahaha karibu ulimwengu wa Pythagoras
 
Hahaa hupendi hizo kazi za vyombo na kupika eeh, kiukweli mimi nimelelewa kwenye jamii ambayo mtoto wa kiume hata kugusa jikoni eti stories tu haikua ni sifa nzuri, mwanaume anaenda shamba na mikazi migumu gumu tu. Ila sisi wadada ndiyo tunapika tena tunawapikia wanaume walioenda huko shamba. So nikiona mkaka anaosha vyombo anapika kidogo nashangaa japo nishaanza kuzoea. So for me nenda katafute pesa baba, hayo mengine ntafanya labda nikiwa naumwa. Ila siyo unaleta stories badala ya pesa hatutaelewana humo ndani na ntakupangia zamu ya usafi tu huna faida😂
Tembelea uzi wangu wa Juzi kuhusu Mtoto wa miaka mitano na Tabia za wanaume
 
Kila mtu afanye majukumu yake, unisaidie kuosha vyombo, kwani mimi sina mikono, wewe nenda katafute pesa, hushindwi kutoa excuse kwamba hujatafuta pesa sababu ulibaki home kufua, kuosha vyombo. Hapana baba utakula kwa jasho, vyombo ntaosha na kupika😜🏃‍♀️
Ndio maana nasema wanaume tuwe serious. Huo muda wa kufanya hizo petty duties wanautoa wapi?
 
Vibaya mno. We tafuta pesa tu hayo mengine waachie wao.

Haya ya kuosha watoto na kupiga deki yanafanywa n wanaume wasio na hela au wanawake wanawazidi kipato. Ktk kubalance mambo wanajikuta wana over do wakidai eti wanafanya kwa mahaba kumbe sio kweli.
Assume mkeo anaumwa, wanachoka, wakat tukiwa watoto ni bora uende shamba kuliko kubak nyumban, vikaz vya ajabu lkn vinachosha balaa. Nikiwa mwanaume niliekamilika nitamsaidia mke wangu kazi nikiwa nyumban kama yeye anavonisaidia kutafta pesa.
HApa mwingne atasema mke ananizid sijui bla bla gan, mama wa nyumbani, ananiombea niwapo kwenye kazi zangu za kutafta pesa, anapanga bajet rafk kwangu, ananipikia chakula kinachonipa nguvu ya kutafta pesa. Wengne mnafikr mke kutafta pesa ni had aende naye kazin mnawachosha sana wenzenu.
 
whatever you have pointed is what i meant.

Ndio maana nampenda Mke wangu. Bila yeye mafanikio niliyonayo nisingeyafikia. She is my Chief Conforter
 
Hakuna kitu kama hicho. Kama una hela hizo kazi hamuonani?
kila mtu anatabia kutoka kwa alipolelewa, me kwetu kaz znafanywa na jinsia zote. Baba anapika na kaz nyngnezo za home anafanya awapo nyumbani, ingawa me n mkubwa lkn hilo halimfany baba kuacha kutupikia chakula kizurii tukipendacho.....ndyo maana nkasema hutegemea zaid na familia alikotokea muhuska.
 
Sawa ila sometimes yes
 
Kabisaaaa!
Apike bfast once in a while kama surprise lol
Kila mtu afanye majukumu yake, unisaidie kuosha vyombo, kwani mimi sina mikono, wewe nenda katafute pesa, hushindwi kutoa excuse kwamba hujatafuta pesa sababu ulibaki home kufua, kuosha vyombo. Hapana baba utakula kwa jasho, vyombo ntaosha na kupika[emoji12][emoji2088]

Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Hahaha nimecheka mpaka nikapaliwa.
Tunasaidiana na kushika remote.
Mi mambo ya kusaidiana sitaki, tafuta hela Mie ntapika na kukufulia mpaka teitei. Nasubiria vacations tu, akhuuu

Sent from my MI 8 Lite using JamiiForums mobile app
King'ast ngoja nikuchekeshe wiki mbili zilizopita tukikatiwa maji si unajua ukame tena na January makamba? Sasa Mvua ikanyesha sana ghafla Mke wangu akawa anakinga maji kwenye ndoo ya kuhifadhi na kufuria muda ule. Then nikatoka nje nimsaidie kukinga maji alinikimbiza kama vile nimekuwa kibaka.

Rudi ndani Pythagoras kwani nimekutuma unisaidie?? Kalale huko! Niliona aibu mimi.

Nikamwambia nilikuwa nakusaidia nakupenda My wife! Akasema we si umetoka kazini au hujachoka huko. Nikawa mpole.

Mwanamke anahitaji ujali hisia zake na umtunze kwa upendo. Hizo mbwembwe zingine ni additional tu.
 
ukisaidiwa kazi inaongeza mahaba baina yenu kwaiyo siku mojamoja unajitoa tu kwa mkeo
 
Back
Top Bottom