Hajaleta kabisa habari za Yanga na mechi ya mpira yaani alienda na jambo lake kichwani.
Ndio kazi ya mwandishi wa habari safi. Ila namuambia tu hawezi kuijua na kuielezea Nigeria kwa three days 2nights.
Halafu inajustify sie wabongo tulivyo wavivu na watu wa kuridhika kuwaa nchi yetu imetulia hatuna shida. Hizo kelele na kutotulia ndio catalyst, eddo aende kibera na the likes Nairobi, Eddo aende hata huko wanakochenjua dhahabu kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini apambane na kelele za makarasha. Hata mgeni ukimfikishia hotel iliyo nyuma na Manzese atapata tabu sana.
Yanga walipigwa mind game
Sent from my SM-G9350 using
JamiiForums mobile app