Maisha ya Nigeria

Hapo kwenye idadi ya watu kazingua,wako takribani mil.220 na zaidi
 
Kingine ni kuwa naijiria haijawahi kuwa na published data za census maana Sensa yao huathirika na suala la dini na ukabila! Hii inatokana na inji hii kuwa na rushwa isiyo na mfano! Pole sana Mzee Mrema kwa kufiwa na nke yako kipenzi
Ukisikia shit hole and failed state basi Nigeria ni miongoni mwayo.
 
Jiji la lagos Lina influence ya wayoruba kwa sababu traditional yale ni maeneo ya wayoruba kama ilivyo dar ilikua maeneo ya wazaramo
 
Jiji la Yoruba Lina influence ya wayoruba kwa sababu traditional yale ni maeneo ya wayoruba kama ilivyo dar ilikua maeneo ya wazaramo
Ahsante,Ila sio Yoruba ni Lagos na nimesema lipo kusini wanapotokea Wayoruba. Nashukuru kwa kusstiza.
 
kwa census ya 2020 Nigeria ni ya 7 duniani ina watu mil 200 +
Ethiopia Ina watu mil 174+
Nadhani hata hama hama za watu inachangizwa na population yao ,maana hata Ethiopians kila siku wanakamatwa wakihama
 
Hivi Naijeria si inamuundo wa state so ukiona Mji fulani umechoka ni viongozi state hiyo na si ya federal government kama wanavyotanabaisha wao!!!
 
Huku Port Harcourt si ndipo alipouwawa yule jamaa Ken Saro Wiwa?,sikumbuki ulikuwa utawala wa rais yupi.
 
ASANTE SANA Edo kumwembe, umetutendea stahili zuri kwa makala hii, endelea kutupa mrejesho popote pale unspoenda...sio akina pascal mayalla kutwa nzima kujikomba ssiem
 
Ila Edo anajua sana kuchambua kwa kuandika kuliko kuchambua kwa kuongea
Hajaleta kabisa habari za Yanga na mechi ya mpira yaani alienda na jambo lake kichwani.
Ndio kazi ya mwandishi wa habari safi. Ila namuambia tu hawezi kuijua na kuielezea Nigeria kwa three days 2nights.

Halafu inajustify sie wabongo tulivyo wavivu na watu wa kuridhika kuwaa nchi yetu imetulia hatuna shida. Hizo kelele na kutotulia ndio catalyst, eddo aende kibera na the likes Nairobi, Eddo aende hata huko wanakochenjua dhahabu kanda ya ziwa na nyanda za juu kusini apambane na kelele za makarasha. Hata mgeni ukimfikishia hotel iliyo nyuma na Manzese atapata tabu sana.
Yanga walipigwa mind game

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
una uhakika hajaleta au ww ndio hujaona?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…