mliverpool
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 1,565
- 2,944
yy kaandika vya Nigeria, ww andika vya Namtumbo , mbona simple tu??Hapa kwetu hakuna vya kuandika. Kila kitu kiko sawa. Makala ndeefu kuhusu Naijeria sisi inatusaidia nini. Ungeandika haya kuhusu serikali yetu ya hovyo ingesaidia kidogo
Sikupingi.Ukweli uswahilini kuzuri kwa namna yake ila siku ukikaa sehemu iliyotulia utaona furaha na nafsi na akili kutulia.
Mazingira yakiyotulia yana umuhimu wake sana
Wabongo wanataka wasifiwe kwa ujuaji, eti reference... Mambo ya kukariri chuo tu.Aweke reference umesikia hio ni scientific writing usipende kuchukulia kila kitu serious yeye kupitia observation yake ameona aandike kile alichokiona usipende kuwa complicated
Uswahilini ni kuzuri kipindi cha maisha ya utoto mpaka barehe, ila unapoanza kuchuma mali na kuwaza uishi vipi uswahilini hapafai.Ukweli uswahilini kuzuri kwa namna yake ila siku ukikaa sehemu iliyotulia utaona furaha na nafsi na akili kutulia.
Mazingira yakiyotulia yana umuhimu wake sana