Osama hakuwahi kuishi Mbagala na haijawahi kuripotiwa kwamba aliwahi ishi Mbagala
Vinginevyo kama unayo report ya Osama kuishi Mbagala basi iweke pamoja na vithibitisho kabla hajarudi Afghanistan
Teh teh teh teh!
Yaani we Mkuu wa chuo kama ni samaki basi ushavuliwa looong time!
Huyu Jamaa_Mbishi katupa ndoano halafu wewe umekuja speed ukaila!
Hata jokes hujui!
Duhhh kaa mimi ni mwanafunzi wa chuo chako lzm nihame!
Teh teh teh tehe!
okay haina tatizo lakini kuna jukwaa la jokes na utani ila haina mbaya tukipisha wadhamini kidogo na washereheshaji...Mkuu nilikuwa nafurahisha wana jamvini.
duh! bwana kahtaan kumbe hizi stori zinapatikana kwenye gazeti la sani, sijui toleo la liniSasa na we RealMan mi nilidhani jina lako linafanana na tabia zako!
Kumbe hamna lolote!
We mtu akuandikie alicho kiona kwenye gazeti la sani!
Halafu we unaskia raaaaaha!
Na kumsifia juu!
Be real ma man! For real!
Not following the croud!
Teh teh teh teh!
Yaani we Mkuu wa chuo kama ni samaki basi ushavuliwa looong time!
Huyu Jamaa_Mbishi katupa ndoano halafu wewe umekuja speed ukaila!
Hata jokes hujui!
Duhhh kaa mimi ni mwanafunzi wa chuo chako lzm nihame!
Teh teh teh tehe!
sio mahali pake kuna jukwaa la matangazo madogo madogo, au jukwaa la science ungepost hukuNani mwenye samsung tab 10 inch aniuzie namba yangu 0719242024
Mkuu kahtaan umeniacha hoi ila nimependa your humour. Kama ulivyosema, all I did was to throw that ndoano ili nisikie jamaa wanasemaje, mkuu wa chuo kaja juu na kutokwa na povu. Hivi vitu vingine jamani lazima tuviangalie siyo kila lisemwalo humu ni la msingi, kuna jokes pia.
Mkuu wa chuo unajua mtu anapokujibu hoja, yale makosa ya kuandika au ya lugha mtu anakuwa hakusudii!!Ni kweli usemayo japokuwa umekosea kutamka lakini nimekuelewa...
Duh! hichi kiswahili ulichotumia sidhani hata kama wewe mwenyewe umejielewa, lakini nadhani utakuwa ume translate kutoka kingereza kwenda kiswahili inaweza kuwa kwenye google... kwa hiyo kwa kifupi hapo hujaeleweka
acha uongo.. hebu chukua hichi kipande hapa chini
Hebu soma hicho kiswahili umeelewa nini sasa hapo kwa kweli mimi hapo sijakuelewa nadhani pia na wewe hapo hujajielewa, unaweza nifafanulia zaidi... au ukaandika kwa uzuri zaidi na mimi bila ya hiyana nitakujibu tu...
Japokuwa kiswahili ni kibovu lakini nimekuelewa hebu angalia hapa chini ni kwanini hawaku expose mwili sababu ni hizi hapa chini zimetolewa
Sasa na we RealMan mi nilidhani jina lako linafanana na tabia zako!
Kumbe hamna lolote!
We mtu akuandikie alicho kiona kwenye gazeti la sani!
Halafu we unaskia raaaaaha!
Na kumsifia juu!
Be real ma man! For real!
Not following the croud!
kahtaan
mimi kama mwanazuoni niliyekomaa nilikuwa nimekwisha muelewa Jamaa_Mbishi sema nikampima kidogo kwa logic...
ok mkuu nimekuelewa ila samahani kama nimekukwaza ila hilo nililobold halikuwa lengo langu!! nimeshindwa kuendelea kusoma maana umeanza na mashambulizi wakati sikuwa na intention ya kuanzisha ubishi ila njilikuwa interested na report kama unadhani kuzificha hizo report na kuja na mutsari ndicho sahihi its ok! ila dont take it personal kila lakheri mkuu!!!
Mkuu wa chuo unajua mtu anapokujibu hoja, yale makosa ya kuandika au ya lugha mtu anakuwa hakusudii!!
Bali ni makosa ya kibinaadamu! Na unazidi kuurefusha uzi kama utakuwa una tafuta tafuta makosa km hayo!
Sababu ya pili ni kuwa, unajua mimi na Ritz ni waislamu! na sisi ni wapenzi wa halua na vyakula lain lain! (Si unajua tena mapishi ya peponi peponi!)
Hii inatuponza hata kwenye lugha yetu tunatereza kila mara!
Mwenye kula mihogo mikavu na kiti moto mara nyingi anakuwa na ulimi mkavu na maneno yanakuwa makavu makavu!
Itabidi tusameheyane kwa hilo!
Na la kumalizia hapa ni kuwa hizi habari sio sisi tu tunao zitilia mashaka! Maelfu ya Wamarekani wenyewe wameandika articles chungu mzima kuhusu huo utata wa kifo cha usama! (You can google that yourself! ).
Kwa hiyo usitushangae mimi na Ritz tukifanya hivyo!
Ahsant saaaana!
sasa kahtaan we unaweza ukawa umekielewa alichoandika bwana Ritz ukifafanue vizuri yaani alichoandika sidhani hata kama we mwenyewe umekielewa!
Au ndio halua nyingi zimezidi! Lakini bwana Ritz ni mpenzi pia wa kashata na kahawa kwa hiyo akilainisha kwa halua anakazia kwa kashata na kahawa, hapo ali translate aka copy na ku paste bila ku proof read for errors sidhani kama ameandika yeye mwenyewe kwa sababu hata yeye mwenyewe nina uhakika akisoma alicho post hajielewi...
Kwani bwana kahtaan we umeelewa nini hapo...
Halafu hizo habari ambazo hata wa Marekani wana mashaka nazo ungezipost tungeona zingechambuliwa, au ungeweka link moja kwa moja nadhani unatumia computer kwa hiyo moja kwa moja inakuwa siyo vigumu ku post link... Kuliko kunipa homework ya kwenda google mwenyewe
Osama bin Laden death conspiracy theories
The-death of Osama bin Laden-gave rise to various-conspiracy theories,-hoaxes, and rumors.
[1]-These include the ideas that bin Laden had been dead for years, or is still alive. Doubts about bin Laden's death were fueled by the U.S. military's disposal of his body at sea,
[2]-the decision to not release any photographic or DNA evidence of bin Laden's death to the public,
[3]-the contradicting accounts of the incident (with the official story on the raid appearing to change or directly contradict previous assertions),
[4]-and the 25-minute blackout during the raid on bin Laden's compound during which a live feed from cameras mounted on the helmets of the U.S. special forces was cut off.[5]
[6]On May 2, 2011, an image purporting to show a dead bin Laden was broadcast on Pakistani television. Though the story was picked up by much of the British press, as well the-Associated Press, it was swiftly removed from websites after it was exposed as a fake on-Twitter.[7]
[8]On May 4, the-Obama administration-announced it would not release any images of bin Laden's dead body.
[9]-The administration had considered releasing the photos to dispel rumors of a hoax, at the risks of perhaps prompting another attack byal Qaeda-and of releasing very graphic images to people who might find them disturbing.[1]
[10]Several photos of the aftermath of the raid were given to-Reuters-by an anonymous Pakistani security official, but though all appeared to be authentic, they were taken after the U.S. forces had left and none of them included evidence regarding bin Laden's fate.-[11]
[12]On May 6, it was reported that an al-Qaeda website acknowledged bin Laden's death.
[13]-On May 11,-Republican-senator and-Senate Armed Services Committee-member-Jim Inhofe-stated he had viewed "gruesome" photographs of bin Laden's corpse, and later confirmed that the body "was him", adding, "He's history".
[14]
Lack of physical evidence!!!
Burial at sea!!!
Something dodgy is going on!!
Mkuu kahtaan,
Ngoja tumsubiri Mkuu wa chuo, mie nipo pembeni naandaa faluda kwa ajili futari, teh teh the.
Huwa nacheka sana kuna jamaa humu kaandika eti Osama alikuwa analima mchicha pembeni ya nyumba yake, wake zake wakishiwa pesa wakaanza kuuza dhahabu zao mikufu na pete.
Osama alikuwa anajificha kwa kuvaa kofia ya cow boy.
hizo ni assumptions ambazo zilikuwepo tu kati ya hizo kwamba alikufa miaka mingi au bado yupo hai si za kweli kwa sababu kati ya hizo hazipo ambazo rais wa USA alitangaza, lakini katika ile operation ambayo ilifanikiwa moja kwa moja rais wa USA Obama aliutangazia ulimwengu bin Laden ameuawa, kuhusiana na mwili kutupwa baharini kama unavyosema sababu uliniambia baharini hawaziki, sababu zilikwisha tolewa na kwenye mabandiko yangu huko nyuma nimeonyesha. sababu zilitolewa...Osama bin Laden death conspiracy theories
The-death of Osama bin Laden-gave rise to various-conspiracy theories,-hoaxes, and rumors.
[1]-These include the ideas that bin Laden had been dead for years, or is still alive. Doubts about bin Laden's death were fueled by the U.S. military's disposal of his body at sea,
nafikiri kwa hilo pia sababu zilikwisha tolewa, au unaamini kwamba waki release ndio utaamini ndio ukweli? kwa sababu haya mambo yametendeka hata kule Abbottabad watu wanajua hivyo...[2]-the decision to not release any photographic or DNA evidence of bin Laden's death to the public,
labda hapo ungeonyesha zaidi ili tuzame in detail...[3]-the contradicting accounts of the incident (with the official story on the raid appearing to change or directly contradict previous assertions),
duh! kwa hiyo ni moja ya kuamini hizi ni story za kina Rambo kama unavyosema wewe na bwana Ritz, hapo issue ni kwamba Operation ilifanyika.[4]-and the 25-minute blackout during the raid on bin Laden's compound during which a live feed from cameras mounted on the helmets of the U.S. special forces was cut off.[5]
kuhusiana na image hazijawahi wekwa wala hazikuwahi kutolewa na USA na Obama alisema hawatazitoa kama sijakosea, vinginevyo uniambie image alivyofariki muda mrefu kama inavyodhaniwa na wengine. na zile image walizokuwa wanaweka ilikuwa ni photoshop...[6]On May 2, 2011, an image purporting to show a dead bin Laden was broadcast on Pakistani television. Though the story was picked up by much of the British press, as well the-Associated Press, it was swiftly removed from websites after it was exposed as a fake on-Twitter.[7]
hewala, hapo tunaenda sawa na mimi ndicho nilichokuwa naongea hicho...[8]On May 4, the-Obama administration-announced it would not release any images of bin Laden's dead body.
Yeah, na hizo taarifa ndizo zilizotolewa labda uje na hoja kupinga hapo...[9]-The administration had considered releasing the photos to dispel rumors of a hoax, at the risks of perhaps prompting another attack byal Qaeda-and of releasing very graphic images to people who might find them disturbing.[1]
hapo inatakiwa citation zaidi...[10]Several photos of the aftermath of the raid were given to-Reuters-by an anonymous Pakistani security official, but though all appeared to be authentic, they were taken after the U.S. forces had left and none of them included evidence regarding bin Laden's fate.-[11]
sasa hapo unachopinga ni kipi haswa? maana unaleta ushahidi wa kujipinga mwenyewe kumbe hata Al Qaeda walikubali, ukirudi kwenye mabandiko yangu tar 16 June 2011 Al Zawahiri aliweza kuwa kiongozi wa Al Qaeda hapo ni baada ya Osama kuuawa...[12]On May 6, it was reported that an al-Qaeda website acknowledged bin Laden's death.
yeah, hapo kumbe ndio unazidi kuthibitisha wewe mwenyewe, what more can i say![13]-On May 11,-Republican-senator and-Senate Armed Services Committee-member-Jim Inhofe-stated he had viewed "gruesome" photographs of bin Laden's corpse, and later confirmed that the body "was him", adding, "He's history".
kumbe physical evidence mpaka kuona mwili wake? vipi kuhusiana na ile operation iliyoendeshwa pale Abbottabad na ikafanikiwa vipi na kuhusu mke wake kuthibitisha...[14]
Lack of physical evidence!!!
Burial at sea!!!
Something dodgy is going on!!