Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

tatizo lako bwana kahtaan we unadhani wewe mwenyewe ndio unafikirisha ubongo ngojea nikutoe hofu hata hao wengine unaowasema wanafikirisha ubongo pia...

halafu vitu unataka viende kama unavyofikiria hapana bwana kahtaan sio hivyo, vitu huwa vinaenda kutokana na facts wala sio kwa logic zako wala za mtu mwingine facts ndio zina creat logic...
 
Last edited by a moderator:

Hapo umenichanganya kabisa!
Lugha umeiparanganya miguu juu kichwa chini!
Kwenye FACTS hauhitaji LOGIC!!
sasa kama wewe una ushahidi 100% ambao ndio facts!) Hio Logic ya nini sasa!

Hizi habari HAZINA FACT HATA MOJA!

Ndio sababu watu wanajaribu kutumia (LOGIC) kuzipima hizo habari zao!
Na lau zingelikuwa na FACT (ukweli wenye ushahidi) basi mimi na wewe tusingelikuwa hapa tunalumbana!

Na sidhani kama (unavyo jiita) "ulamaa" au "mwana zuoni aliye fuzu" anaweza kuchanganya maneno namna hii!

Wewe cheo hicho bado hujapata bado!

Ngoja wakusifu wana jukwaa! Kama unastahili hizo sifa!,
kujisifu mwenyewe mara kadhaa kunaweza kukuponza!
Na kusema kuwa unawapenda wamarekani kwa sababu mambo yao yako wazi!! Hapo unajidanganya mwenyewe!
Hawa wauwaji hivi juzi tu wameahidi kumfunga jela na kumpa vitishi kedekede yule kijana wa kimarekani anaeitwa edward snowden kwa kusema kuwa wamarekani wana sikiliza maongezi na siri za mabalozi wa nchi nyingine pasina hiari yao!
Kwanza walikataa na kusema huo ni uongo lkn jamaa katoa ushahidi. Aibu imewaangukia!!
 
Last edited by a moderator:
Hapo umenichanganya kabisa!
Lugha umeiparanganya miguu juu kichwa chini!
Kwenye FACTS hauhitaji LOGIC!!
sasa kama wewe una ushahidi 100% ambao ndio facts!) Hio Logic ya nini sasa!
ngojea nikueleweshe kwa uzuri na kwa utulivu zaidi ili ya kwamba uweze kuelewa bwana kahtaan yaani hapo namaanisha ya kwamba ukweli ndio unaumba mantiki na wala mantiki haiumbi ukweli nadhani hapo tunaweza kwenda sawa....

Hizi habari HAZINA FACT HATA MOJA!
wewe unataka fact zipi sasa?, na una uhakika gani kwamba habari haina fact hata moja? unakataa kwamba Osama hakuuawa na operation ya wamarekani? je una mantiki gani hapo?

Ndio sababu watu wanajaribu kutumia (LOGIC) kuzipima hizo habari zao!
Na lau zingelikuwa na FACT (ukweli wenye ushahidi) basi mimi na wewe tusingelikuwa hapa tunalumbana!
watu wanajaribu kupima mantiki wakilinganisha na ukweli na sio wanapima kwa mtindo wa falak yaani wanalinganisha na uhalisia kwa mfano kama A+B=A+C hapo B=C nafikiri hapo umenisoma....

Na sidhani kama (unavyo jiita) "ulamaa" au "mwana zuoni aliye fuzu" anaweza kuchanganya maneno namna hii!
sijachanganya, sema maamuma ndio hajaelewa na mimi ndio jukumu langu kumuelekeza ni kama ndio ninavyofanya hapa...

Wewe cheo hicho bado hujapata bado!

Ngoja wakusifu wana jukwaa! Kama unastahili hizo sifa!,
kujisifu mwenyewe mara kadhaa kunaweza kukuponza!
okay, ni sawa bwana kahtaan lakini pia mimi ni Rector, hicho ni cheo tu sawa na Manager au Mkurugenzi sasa nisijiite kwa cheo changu sawa na Rais umwambie hasijiite rais mpaka wananchi wamuite... hapo umenifurahisha sana! 😛oa:
Muuaji ni muuaji tu haijalishi, lakini Wa Marekani wenyewe huwa wanajali maslahi yao... sasa hao Al Qaeda ni kwa maslahi yapi kama walivyolipuwa Ubalozi pale Dar es salaam 1998 pamoja na Nairobi...

kuhusiana na swala ya Edward Snowden alikuwa ni mfanyakazi wa CIA kwa hiyo kutoa siri za CIA wewe ulitaka wa Marekani wampigie makofi na kumpa tuzo wakati ame snitch...
 
Last edited by a moderator:
comrade FUHRER kuna mahali umeteleza.. zubayder alikamatwa pakistan na sio marekani akasafirishwa hadi afganistan na huko afganstan ndiko alipewa ''truth serum'' kisha maafisa wawili wenye asili ya kiarabu waliokuwa na sare za jeshi la saudi (kimsingi walikuwa ni maagent wa marekan) ndipo walimwambia zubayder kuwa yupo katika gereza la saudi ili kumtia hofu maana alijua mateso ya wasaudi (kama ulivyoeleza huko juu wewe)...so ile ndege iliyomsafirisha ilipofika afganstan ilizunguka weeee....na waliposhusha wakamwambia upo saudi maana mda wote alikuwa kafunwa kitambaa... lakini kilichofanya akatema kila kitu ni ''truth serum''


NB: truth serum is a psychoactive medication used to obtain information from the subject who are unable or unwilling to provide it otherwise.

Pamoja sana comrade!!
 
Mkuu wa chuo,

Mbona tena unaanza kukuna mabandiko uliyoyaleta humu ukumbini kwa mbwembe nyingi na majivuno.
ha haa haaaa, hizo sio stori zangu ila mimi nilileta report ya jopo la mahakama ya Pakistani zikiwemo habari za kusisimua
Hapa chini wewe ndiyo umeleta hii habari ngoja niweke kipande tena ulikiweka kwa mkwara, teh teh teh.
wakati tukisubiri kupata vilivyo pita kwenye chujio lako hebu chukua hicho...
JF kuna vituko...
Teh teh teh....
 
kama ungeniwekea habari yote niweze kuipitia ningeshukuru sana, kwa nini mpaka wakauwa watu wote hao yaani walikuwa wanatafuta nini?

au kwamba waliona harusi wakaamua kuua tu? inabidi tucheck in detail? hapo tunaweza kupima...
Mkuu wa chuo,

Ngoja nikuwekee bayana za hawa Wamarekani ambayo wewe unawatetea na kuwasifia kwa kila kitu.
ni kweli Marekani huwa wanafanya uchunguzi kabla ya kuvamia basi watu wengine wanadhani Marekani huwa wanakurupuka tu kama serikali ya Tanzania
Angalia hapa chini walivyovamia baada ya kufanya uchunguzi wao.
Soma na hapa chini Wamarekani walivyokurupuka ingawa wewe hautaki kuamini kama hawa jamaa huwa wanakurupuka na kuua raia wasiokuwa na hatia.
Soma na hii
Malizia na hii.
 
bwana Ritz hiyo ni report ndio imesema hivyo sasa wa kuchekwa ni waliounda hiyo report ambapo imeleza kwa uzuri kabisa ukiisoma, kuna habari ya kusisimua kama hiyo... hiyo ni ripoti ya jopo la mahakama Pakistan...

kwani bwana Ritz hapo cha ajabu ni nini? kwani Osama hawezi kuvaa kofia ya cowboy? hayo ni ya ripoti sijayayoa kichwani mwangu...
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma...
 
Mkuu wa chuo,

Wala siyo ajabu Osama kuvaa kofia ya cowboy mbona hapa chini kavaaa teh teh teh...


Ajabu ni haya maneno alivalia kofia aina ya cowboy ili kukwepa upelelezi wa setilaiti za Amerika.
 
bwana Ritz hilo suala la kofia ya cow boy a.k.a kofia ya mchunga ng'ombe unaweza soma pia kwenye bandiko la mada yaani bandiko la hii thread la bwana Shine hapo juu kabisa yaani bandiko liloanzisha hii thread...

Naona hiyo report imeelezewa na hapo kwa uzuri kwa hiyo unaweza ipitia usidhani labda hizo ni stori zangu nimezitoa vijiweni au kwenye movie hicho kitu kipo...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo,

Mie sina tatizo na hiyo kofia ya cowboy, tatizo langu labda nikuulize wewe na wenzako hivi kweli ukivaa kofia ya cowboy Satellite za Marekani hawakuoni? hebu tutumia akili alizotupa Mungu kwenye ili au kuna ushahidi wa kisayansi ambao unaonesha kuna uhusiano wowote kati ya Satellite na kofia ya cowboy?

Cc, kahtaan,
 
Mkuu wa chuo,

Wala siyo ajabu Osama kuvaa kofia ya cowboy mbona hapa chini kavaaa teh teh teh...


Ajabu ni haya maneno alivalia kofia aina ya cowboy ili kukwepa upelelezi wa setilaiti za Amerika.
bwana Ritz naona umeamua kuchekesha kijiwe na kuchangamsha jamvi kwa ujumla...

hiyo report ipo na inatambuliwa na serikali ya Pakistani unaweza kuisoma hapo juu kwa uzuri zaidi kwenye mada ya hii thread, inamaana walihojiwa watu wengi...

hebu pitia na hilo bandiko bwana Ritz ili ujiridhishe zaidi...
 
Last edited by a moderator:
Tatazo siyo ripoti tunachambua mambo kwa upeo aliyotupa Mungu ripoti haina tatizo, kuna vijaswali nimekuuliza ukipata wasaa naomba majibu Mkuu wa chuo,

Ripoti lazima ijadiliwe kwa mapana siyo kuisoma kwa mwembwe na mapambio wakati imejaa utata mwingi.
 
Last edited by a moderator:
bwana Ritz ukivaa kofia ya cow boy satellite za wa Marekani zinakuona ndio maana waliweza ku m trace na kumuona...

hapo mantiki labda wasiweze kugundua huyu ni Osama kwa sababu wamekwisha zoea Osama huwa havai cow boy...

yote kwa yote hiyo ni report na wala sio mawazo yangu na sio report ya Wa Marekani, ila ni report ya wa pakistan...

yamkini walipo wahoji watu ndio wakasema hivyo lakini hicho kitu hakipo eti ukivaa cow boy basi hauonekani kwenye satellite sifikiri kuna kitu kama hicho...
 
Last edited by a moderator:
bwana Ritz hiyo ni habari ya kusisimua, haya tuachane na habari ya cow boy, hakuna uhusiano kati ya kofia ya cow boy na satellite...

unapofanya kitu au hypothesis testing unakuwa na level of significance sasa level of significance mara nyingi inakuwa ndogo...

sasa significance level ikiwa ni kubwa unaachana na hicho haina haja tena

kwa namna nyingine namaanisha kwamba pumba zikizidi mchele basi huo mchele haufai tena ni kutupa gunia lote tu...

sasa vitu kama hivyo nafifananisha na level of significance katika ku test hypothesis...

si unajua tena bwana Ritz hauwezi kuwa perfect kwa 100%

kwa hiyo kama makosa ni madogo hauwezi kutupa report nzima vinginevyo makosa yakiwa mengi basi hiyo report haifai...
 
Last edited by a moderator:

Mkuu msamahe, inatosha.
 


teh teh teh ! amma kweli Ritz kuna binaadamu wamekataa kabisa kufikiri!!

halafu mtu kama huyo awe kiongozi wa nchi!! si ndio tumekwisha tena!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wa chuo,

Mbona tena unaanza kukuna mabandiko uliyoyaleta humu ukumbini kwa mbwembe nyingi na majivuno.

Hapa chini wewe ndiyo umeleta hii habari ngoja niweke kipande tena ulikiweka kwa mkwara, teh teh teh.

JF kuna vituko...

Teh teh teh....




teh teh teh teh! haki ya nani u,menichekesha vibaya hapo! kidogo niharibu udhu!!
 
teh teh teh ! amma kweli Ritz kuna binaadamu wamekataa kabisa kufikiri!!

halafu mtu kama huyo awe kiongozi wa nchi!! si ndio tumekwisha tena!
na kuna binadamu wanadhani kwamba wanafikiri kumbe hata hawafikiri

Yaani Kikwete amefanya kila mtu kuamini urais ni kazi rais sana, kila mtu anafikiri urais tu kama bwana kahtaan
 
Last edited by a moderator:
Zipo movie kibao kuhusu Osama killing but "Zero Dark Thirty" is best of them

Kati ya hizo naeza kuzipata wapi? Either kudownload ama cd?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…