Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,620
- 5,335
tatizo lako bwana kahtaan we unadhani wewe mwenyewe ndio unafikirisha ubongo ngojea nikutoe hofu hata hao wengine unaowasema wanafikirisha ubongo pia...Mkuu beco Hakuna logic yoyote hapo kwa mtu anaependa kuifanyisha kazi akili yake lkn kuna watu humu wanapokea habari nzima halafu wanatuletea kama walivyo pokea na juu ya hivyo wakaitetea kuwa ni ya kweli!
Hebu tumuulize Mkuu wa chuo kama kuna LOGIC hapa!! manake nadhani alisha kaa kidogo pakistani! wakati ule ameenda kuchukua mafunzo ya kuwa Mkuu wa chuo
halafu vitu unataka viende kama unavyofikiria hapana bwana kahtaan sio hivyo, vitu huwa vinaenda kutokana na facts wala sio kwa logic zako wala za mtu mwingine facts ndio zina creat logic...
Last edited by a moderator: