Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Sasa nitawekaje link kwa kitu ambacho sikijui. Kwa maana information zake si common knowledge bado ni classified. Msipende ligi zisizo na tija

Sasa umewezaje kupinga kitu ambacho hukijui, na kusema ni stori za Abunuasi!? ya kwako ndio ligi kwasababu hauna fact...
 
Sasa umewezaje kupinga kitu ambacho hukijui, na kusema ni stori za Abunuasi!? ya kwako ndio ligi kwasababu hauna fact...
Unajua wewe ni mpuuzi sina muda wa kubishana na wewe. Unajua maana ya kitu kuwa classified kwenye intelligence services? Najua kwamba hii information ni classified ndo nilichokueleza. Kwa hiyo ikiwa classified maana yake hakuna anayejua outside wenye clearance level ya kufanya hivyo. Ndo maana hizi mnazopiga ni hadithi. ----- tu wewe acha ujuaji. Hebu kwanza soma hii article hapa chini kuhusu navy seals aliyetaka ku realase information na jinsi alivyopigwa mkwara kwamba details za operation nzima bado ni siri Pentagon warns Navy Seal who killed Osama Bin Laden to keep classified information secret | Daily Mail Online.
 
Mkuu wangu Eiyer hivi mtu kama huyu nikimtukana nitakuwa nimekosea!? mtu ananiita ---- eti kwa kuwa tumetofautiana...
 
Mkuu wangu Eiyer hivi mtu kama huyu nikimtukana nitakuwa nimekosea!? mtu ananiita ---- eti kwa kuwa tumetofautiana...
Tatizo mnapenda kuongea ujinga sana halafu mnategemea tuwaangalie tu. Ongeeni vitu kwa facts sio mnaweka weka tu vi opinion vyenu visivyo na mantiki.
 
Tatizo mnapenda kuongea ujinga sana halafu mnategemea tuwaangalie tu. Ongeeni vitu kwa facts sio mnaweka weka tu vi opinion vyenu visivyo na mantiki.

Fact ni kwamba Osama amekufa... Seal Team Six walifanya operation Abbottabad... Obama aliutangazia ulimwengu wamemwua Osama... Zawahir alichukua nafasi ya Osama... na mambo mengi zaidi... haya huu ni ujinga!? Wapi kwenye opinion!? Hizo ndio fact... watu wameweka vitabu hadi vya no easy day, we unasema opinion...

Halafu vitu vinavyoongelewa hapa vina mantiki zaidi ya Evolution... Haya ukitukana ndio utakuwa umechukua hatua haujatuangalia tu!?
 
Notre site en Français : mondialisation.ca
EspañolItalianoDeutschPortuguêssrpskiالعربية
Global Research
HomeAboutContactMembershipOnline StoreDonate
youtubetwitterfacebookrss
Syrian No-Fly-Zone: A Bid to Save Al QaedaThe Senate CIA Torture Report. Dick Cheney: “The Report is Full of Crap”God, Country and TortureWhy Is The US Treasury Quietly Ordering “Survival Kits” For US Bankers?The Globalization of NATO: Military Doctrine of Global WarfareThe US Senate Torture Report: “Crime Without Punishment”
ISIS Leader Abu Bakr Al Baghdadi Trained by Israeli Mossad, NSA Documents Reveal

By Gulf Daily News
Global Research, July 16, 2014
Gulf Daily News
Region: Middle East & North Africa
Theme: Intelligence, US NATO War Agenda
148K 12.9K 334 234K

The former employee at US National Security Agency (NSA), Edward Snowden, has revealed that the British and American intelligence and the Mossad worked together to create the Islamic State of Iraq and Syria (ISIS).
Snowden said intelligence services of three countries created a terrorist organisation that is able to attract all extremists of the world to one place, using a strategy called “the hornet’s nest”.
NSA documents refer to recent implementation of the hornet’s nest to protect the Zionist entity by creating religious and Islamic slogans.
According to documents released by Snowden, “The only solution for the protection of the Jewish state “is to create an enemy near its borders”.
Leaks revealed that ISIS leader and cleric Abu Bakr Al Baghdadi took intensive military training for a whole year in the hands of Mossad, besides courses in theology and the art of speech.
 
vile vile katika ripoti hiyo ya commission inamtaja afisa mmoja wa shirika la kijasusi la pakistani (isi) kuwa kuna uwezekano alihusika katika njama za marekani kumkamata osama kwa kuwa wiki moja kabla ya tukio la kumkamata osama, aliwatuma watu kukata miti mikubwa iliyokuwa inazunguka ile nyumba abbottabad ikiwa ni maandalizi ya helicopter kutua. Vile vile baada ya tukio la kukamatwa osama aliuza vitu vyake na kuondoka pakistani. Tofauti kati ya mashirika ya intelligence ya huku kwetu na nchi zilizoendelea ni kuwa wenzetu mashirika yao yanafanya mission zenye maslahi kwa taifa siyo kwa chama tawala. Ndio maana mission ikishakamilika wanatoa taarifa yote in detail kasoro baadhi tu ya tactics ambazo wanaona wataendelea kuzitumia kwenye mission nyingine. Huku kwetu mission zilizojaa tiss ni zile za kukandamiza upinzani kama kumuua kombe, kuua viongozi wa upinzani, kuwarushia mabomu chadema n.k hizi mission hauwezi kuja kujua ukweli mpaka mmoja wao awageuke aropoke. Wenzetu mission zao zinakuwa high classified, lakini ikishakamilika tu wana-disclose kila kitu. Kwa mfano mission ya kumkamata khaleed sheikh mohamed (ksm) the ring leader and mastermind wa 9/11 na akina ramzi yousef inajulikana ilifanywaje. Walifuatilia trail ya hela zote zilizokuwa wired kwenye account ya mohamed attar (kiongozi wa magaidi waliobamiza ndege wtc) walianzia dortimund ujerumani ambakao mohammed attar alikuwa anasoma master of science in urban planning katika chuo kikuu cha dortimund. Walifuatilia trail ya ufadhili wa hela, msikiti aliokuwa anaswali hadi wakajua cell yao ilikuwa na kina nani, safari zake pakistani na watu aliokuwa anakutana nao. Mohamed attar ndio alikuwa ana-distribute hela kwa wale wengine za kusomea u-pilot wa ndege marekani. Lakini hadi wanasomea upilot walikuwa hawajui mission yao itakuwaje. Aliekuwa anajua mission ni ksm na mohamed attar. Kuna gaidi mmoja ambaye alikuwa yupo kwenye kikosi cha kwanza lakini alinyimwa viza ya kuingia marekani ndio alimtaja ksm kuwa ndie aliekuwa anawafadhili. Tofauti na kina osama, ksm alikuwa anaishi maisha ya kifahari, anaingia kwenye club za usiku, anatumia vileo, anatumia simu, anachukua machangu, hakuwa anaishai maisha ya kiislamu. Kosa la kwanza na kubwa ambalo ksm na ramzi walilifanya ni kumualika mwandishi wa habari wa al-jazeera kwenda kuwahoji pakistani. Ikieleweka kuwa kabla ya 9/11, osama alikuwa anajulikana lakini hakuwa maarufu sana, hivyo kulikuwa na struggle kati ya magaidi kila mtu akitaka kupata umaarufu kuwa yeye ndio gaidi zaidi. Hiki ndicho kiliwasukuma ksm na ramzi kumualika yule mtangazaji wa al-jazeera kwenda kuwahoji. Yule mtangazaji alienda islamabad akafungwa kitambaa usoni akazungushwa kwenye gari kuanzia asubuhi hadi jioni ili asijue muelekeo, mwishowe akashushwa kwenye gari wakamuingiza kwenye nyumba ambayo ina bunker alipofunguliwa kitambaa akakutana uso kwa uso na ksm akiwa na ramzi yousef. Pale ksm aka-declare jihad against american na ku-confess yeye ndiye aliyepanga na ku-finance mission nzima ya kubamiza ndege wtc. Yule mtangazaji wa al-jazeera alipomaliza kuwahoji akaomba aondoke na video footage wakamkatalia ila wakamruhusu achukue audio record, hilo ndilo lilikuwa kosa kubwa sana maana ile audio iliporushwa tu al-jazeera, cia wakaenda kuichukua al-jazeera wakatenganisha voice print za kila mtu alieongea kwenye ule mkutano wakaingiza kwenye mashine yao inayo-identify voice print ya kila mtu kama finger print. Hapo ndio ukawa mwanzo wa drone attack pakistani. Mtu akiongea kwenye simu kabla hajakata simu anashangaa bomu limeshatua. Kuna tukio moja walikuwa wamewasiliana wahudhurie harusi na ayman al zawahil atakuwepo, machale yakawacheza zawahili hakwenda, ile harusi ilibutuliwa na drone walikufa watu ukoo mzima. Baada ya kukamatwa ramzi, ksm alistuka kuwa anafuatiliwa kwenye simu hivyo alikuwa hatumii simu yake, anaomba watu atumie simu zao ndio maana zoezi la kumkamata ksm lilishindikana zaidi ya mara 20, wakimtrace sehemu wakienda hawamkuti, alikuwa halali sehemu moja mara mbili mfululizo, mpaka walipoamua kumtengenezea ramani kwa kutumia simu anazotumia, waka-identify sehemu 14 ambazo kuna uwezekano mkubwa wa kumkuta. Hizo sehemu zote zikafanyiwa kitu kinaitwa "synchronized ambush", yaani vikatengenezwa vikosi 14 vya askari wa pakistani vikishirikisha maafisa wa cia katika kila kikosi ambavyo vita-ambush sehemu zote 14 kwa muda mmoja, hapo ndipo walipomkamata ksm lakini walichoshangaa ni kuwa kwenye location moja katika zile 14 walikuta kiwanja hakina nyumba. Walipofuatilia waya wa simu unaotumika kwa id ya kiwanja hicho uko kwenye nyumba ipi ndipo ofisa wa isi mtaalamu wa it akai-trace nyumba inayotumia id ya kile kiwanja humo ndipo walipomfurumusha na kumpiga risasi abu zubeida ambaye alipelekwa kutibiwa ujerumani akapona na kutoa siri kibao.

cc: REV KISOLO
 
Last edited by a moderator:
Fact ni kwamba Osama amekufa... Seal Team Six walifanya operation Abbottabad... Obama aliutangazia ulimwengu wamemwua Osama... Zawahir alichukua nafasi ya Osama... na mambo mengi zaidi... haya huu ni ujinga!? Wapi kwenye opinion!? Hizo ndio fact... watu wameweka vitabu hadi vya no easy day, we unasema opinion...

Halafu vitu vinavyoongelewa hapa vina mantiki zaidi ya Evolution... Haya ukitukana ndio utakuwa umechukua hatua haujatuangalia tu!?

Ushahidi wa kwanza tunaupata kutoka kwa wake za Osama! Km watu hawaoni hili Basi ujuie kuna shida!
 
Mara nyingine mimi uwa na mashaka juu ya uwezo wa huyu mtu aitwaye Osama. mara nyingine uwa nafikiria Amerika walikuwa wanamtumia kama kigezo cha kuvamia nchi za Kiarabu uwa nahisi ni mtu wao

Kwaiyo kwa mawazo yako wamarekani wakitaka kuvamia arab countries wanaripua kwanza majengo yao na kuua watu wao then wanatafuta mtu wao ( mfano osama) na kumsingizia ili waingie kirahisi arabuni?? Better be kidding
 
Mimi nadhani hoja ya mkuu ni kuwa administration inafanya kutengeneza public sympathy
 
Report ina ukweli mtupu nimeamini kumbukeni mwanzoni niliwahi kuandika hapa hapa ubaoni kuwa hawa watu wa Isis sio waislam kamili bali wamekuja kuuharibu na kuutokomeza uislam wa kweli,zote ni kampeni za kuudhalilisha uislam na kuufanya hata watu wenye nia nzuri wasijaribu kuufuata au kuwa waumini wake,hayo yote yameonekana hapa hapa kwa jinsi kila mtu alivyogeuka kuwa mtaalam wa masuala ya dini ya kiislam pamoja na matusi yaliyokuwa yakiporomoshwa dhidi ya uislam na waislam wote duniani,sasa upotoshaji wa namna hii ndio lengo lao kubwa ili kufukuza hata wale walioanza kufikiri kuhusu hii dini ya mwenyezi mungu,niliyasema yote haya zamani kuhusu hawa jamaa wanaojiita Isil ni wanafiki na wamekuja kutuvurugia dini yetu .M/Mpamba.
 
Mkuu MSHERWAMPAMBA hakuna anaeuponda au kupotosha uislam hapa. Lawama zako zielekeze kwa wala magaidi wanaotumia mwamvuli wa kiislamu (jihad) kuua watu. Hao ndio wanawaharibia nyie waislamu safi. Hahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MSHERWAMPAMBA hakuna anaeuponda au kupotosha uislam hapa. Lawama zako zielekeze kwa wala magaidi wanaotumia mwamvuli wa kiislamu (jihad) kuua watu. Hao ndio wanawaharibia nyie waislamu safi. Hahahahaaaa
Hao magaidi wenyewe ni hao hao wanaopigana vita dhidi ya magaidi ambayo ni kama game yaani ni smoked screen kuudanganya ulimwengu nasisi tunaandamwa bila sababu kwa ajili na usanii walioutengeneza.M/Mpamba.
 
Back
Top Bottom