Maisha ya Osama kabla hajakamatwa yafichuliwa

Sasa nitawekaje link kwa kitu ambacho sikijui. Kwa maana information zake si common knowledge bado ni classified. Msipende ligi zisizo na tija

Sasa umewezaje kupinga kitu ambacho hukijui, na kusema ni stori za Abunuasi!? ya kwako ndio ligi kwasababu hauna fact...
 
Sasa umewezaje kupinga kitu ambacho hukijui, na kusema ni stori za Abunuasi!? ya kwako ndio ligi kwasababu hauna fact...
Unajua wewe ni mpuuzi sina muda wa kubishana na wewe. Unajua maana ya kitu kuwa classified kwenye intelligence services? Najua kwamba hii information ni classified ndo nilichokueleza. Kwa hiyo ikiwa classified maana yake hakuna anayejua outside wenye clearance level ya kufanya hivyo. Ndo maana hizi mnazopiga ni hadithi. ----- tu wewe acha ujuaji. Hebu kwanza soma hii article hapa chini kuhusu navy seals aliyetaka ku realase information na jinsi alivyopigwa mkwara kwamba details za operation nzima bado ni siri Pentagon warns Navy Seal who killed Osama Bin Laden to keep classified information secret | Daily Mail Online.
 
Mkuu wangu Eiyer hivi mtu kama huyu nikimtukana nitakuwa nimekosea!? mtu ananiita ---- eti kwa kuwa tumetofautiana...
 
Mkuu wangu Eiyer hivi mtu kama huyu nikimtukana nitakuwa nimekosea!? mtu ananiita ---- eti kwa kuwa tumetofautiana...
Tatizo mnapenda kuongea ujinga sana halafu mnategemea tuwaangalie tu. Ongeeni vitu kwa facts sio mnaweka weka tu vi opinion vyenu visivyo na mantiki.
 
Tatizo mnapenda kuongea ujinga sana halafu mnategemea tuwaangalie tu. Ongeeni vitu kwa facts sio mnaweka weka tu vi opinion vyenu visivyo na mantiki.

Fact ni kwamba Osama amekufa... Seal Team Six walifanya operation Abbottabad... Obama aliutangazia ulimwengu wamemwua Osama... Zawahir alichukua nafasi ya Osama... na mambo mengi zaidi... haya huu ni ujinga!? Wapi kwenye opinion!? Hizo ndio fact... watu wameweka vitabu hadi vya no easy day, we unasema opinion...

Halafu vitu vinavyoongelewa hapa vina mantiki zaidi ya Evolution... Haya ukitukana ndio utakuwa umechukua hatua haujatuangalia tu!?
 
Notre site en Français : mondialisation.ca
EspañolItalianoDeutschPortuguêssrpskiالعربية
Global Research
HomeAboutContactMembershipOnline StoreDonate
youtubetwitterfacebookrss
Syrian No-Fly-Zone: A Bid to Save Al QaedaThe Senate CIA Torture Report. Dick Cheney: “The Report is Full of Crap”God, Country and TortureWhy Is The US Treasury Quietly Ordering “Survival Kits” For US Bankers?The Globalization of NATO: Military Doctrine of Global WarfareThe US Senate Torture Report: “Crime Without Punishment”
ISIS Leader Abu Bakr Al Baghdadi Trained by Israeli Mossad, NSA Documents Reveal

By Gulf Daily News
Global Research, July 16, 2014
Gulf Daily News
Region: Middle East & North Africa
Theme: Intelligence, US NATO War Agenda
148K 12.9K 334 234K


The former employee at US National Security Agency (NSA), Edward Snowden, has revealed that the British and American intelligence and the Mossad worked together to create the Islamic State of Iraq and Syria (ISIS).
Snowden said intelligence services of three countries created a terrorist organisation that is able to attract all extremists of the world to one place, using a strategy called “the hornet’s nest”.
NSA documents refer to recent implementation of the hornet’s nest to protect the Zionist entity by creating religious and Islamic slogans.
According to documents released by Snowden, “The only solution for the protection of the Jewish state “is to create an enemy near its borders”.
Leaks revealed that ISIS leader and cleric Abu Bakr Al Baghdadi took intensive military training for a whole year in the hands of Mossad, besides courses in theology and the art of speech.
 

cc: REV KISOLO
 
Last edited by a moderator:


Ushahidi wa kwanza tunaupata kutoka kwa wake za Osama! Km watu hawaoni hili Basi ujuie kuna shida!
 
Mara nyingine mimi uwa na mashaka juu ya uwezo wa huyu mtu aitwaye Osama. mara nyingine uwa nafikiria Amerika walikuwa wanamtumia kama kigezo cha kuvamia nchi za Kiarabu uwa nahisi ni mtu wao

Kwaiyo kwa mawazo yako wamarekani wakitaka kuvamia arab countries wanaripua kwanza majengo yao na kuua watu wao then wanatafuta mtu wao ( mfano osama) na kumsingizia ili waingie kirahisi arabuni?? Better be kidding
 
Kwaiyo kwa mawazo yako wamarekani wakitaka kuvamia arab countries wanaripua kwanza majengo yao na kuua watu wao then wanatafuta mtu wao ( mfano osama) na kumsingizia ili waingie kirahisi arabuni?? Better be kidding

Mimi nadhani hoja ya mkuu ni kuwa administration inafanya kutengeneza public sympathy
 
Report ina ukweli mtupu nimeamini kumbukeni mwanzoni niliwahi kuandika hapa hapa ubaoni kuwa hawa watu wa Isis sio waislam kamili bali wamekuja kuuharibu na kuutokomeza uislam wa kweli,zote ni kampeni za kuudhalilisha uislam na kuufanya hata watu wenye nia nzuri wasijaribu kuufuata au kuwa waumini wake,hayo yote yameonekana hapa hapa kwa jinsi kila mtu alivyogeuka kuwa mtaalam wa masuala ya dini ya kiislam pamoja na matusi yaliyokuwa yakiporomoshwa dhidi ya uislam na waislam wote duniani,sasa upotoshaji wa namna hii ndio lengo lao kubwa ili kufukuza hata wale walioanza kufikiri kuhusu hii dini ya mwenyezi mungu,niliyasema yote haya zamani kuhusu hawa jamaa wanaojiita Isil ni wanafiki na wamekuja kutuvurugia dini yetu .M/Mpamba.
 
Mkuu MSHERWAMPAMBA hakuna anaeuponda au kupotosha uislam hapa. Lawama zako zielekeze kwa wala magaidi wanaotumia mwamvuli wa kiislamu (jihad) kuua watu. Hao ndio wanawaharibia nyie waislamu safi. Hahahahaaaa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MSHERWAMPAMBA hakuna anaeuponda au kupotosha uislam hapa. Lawama zako zielekeze kwa wala magaidi wanaotumia mwamvuli wa kiislamu (jihad) kuua watu. Hao ndio wanawaharibia nyie waislamu safi. Hahahahaaaa
Hao magaidi wenyewe ni hao hao wanaopigana vita dhidi ya magaidi ambayo ni kama game yaani ni smoked screen kuudanganya ulimwengu nasisi tunaandamwa bila sababu kwa ajili na usanii walioutengeneza.M/Mpamba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…