Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Hii habari ya Osama kuvaa kofia kuogopa satellite za Marekani umezileta wewe.No comment, hapa imebidi nicheke tu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii habari ya Osama kuvaa kofia kuogopa satellite za Marekani umezileta wewe.No comment, hapa imebidi nicheke tu...
utata wa ile mission ulitokana na kwamba hakuna aliyekuwa anajua hicho kitu hata ISI ili kuwa haijui yaani CIA waliendesha uchunguzi baada ya kubaini ikaanza kupigwa tizi kukamilisha hiyo missionMkuu wa chuo hilo swali umeuliza mara nyingi mno!
Mimi wala Ritz hatuwezi kutoa conclusive report kuwa osama aliuwawa na hii inatokana na utata wa ile mission na pia maswali mengi mno yasio na majibu!
Kwa upande wako wewe umeamini 100% kuwa aliuwawa na uko tayari hata kwenda mahakamani kuapa! Au sio?
Tumekuonyesha hata hao wamarekani wenyewe wanapinga na kukana lkn wewe uko upande wa obama and co ltd?
Umekazania hapohapo!
Ungeamua kufikiri kidogo basi naamini hata wewe ungekuwa na mashaka!
Lkn umeamua kufuata 100% tv na magazeti yalivyo sema!
Unakumbuka yule jamaa aliye tabiri kiyama (siku ya mwisho duniani itakuwa 21/12/2012 ??)
Je! Nikuulize Mkuu wa chuo !
Manake huyo jamaa pia alipata wafuasi mamilioni!
I just wonder kama na wewe ulikuwa miongoni mwao!
ha haa haaaa, hizo sio stori zangu ila mimi nilileta report ya jopo la mahakama ya Pakistani zikiwemo habari za kusisimua kama hizo, nafikiri nili i quote somewhere ipo ukurasa wa tisa katika huu uzi hebu rudi usome kama ni maneno yangu...Hii habari ya Osama kuvaa kofia kuogopa satellite za Marekani umezileta wewe.
kama ungeniwekea habari yote niweze kuipitia ningeshukuru sana, kwa nini mpaka wakauwa watu wote hao yaani walikuwa wanatafuta nini?Mkuu wa chuo,
Hivi huwa unafuatilia habari za kidunia kweli?
Jitahidi kuwa unafuatilia habari, unasema Marekani huwa hawakurupuki kwenye kuvamia, nikuwekee orodha ya matukio yao waliokurupuka na kuuawa watu wasiokuwa na hatia kisha wanaomba misamaha.
1 Jul 2002 ndege za Marekani zimewaua watu 40 huko Afghanistan kuchunguza kumbe watu walikuwa harusini, serikali ya Marekani wakaomba msamaha huku siyo kukurupuka?
ha haa haaaa, hizo sio stori zangu ila mimi nilileta report ya jopo la mahakama ya Pakistani zikiwemo habari za kusisimua kama hizo, nafikiri nili i quote somewhere ipo ukurasa wa tisa katika huu uzi hebu rudi usome kama ni maneno yangu...
basi bwana Ritz umekomalia na kuona ndio sehemu ya kuchomokea na kuamua kuchekesha wana jamvi...
Osama bin laden death announcement date 1 May 2011
Adolf hitler death announcement date 1 May 1945
unganisha Dots....
kama ungeniwekea habari yote niweze kuipitia ningeshukuru sana, kwa nini mpaka wakauwa watu wote hao yaani walikuwa wanatafuta nini?
au kwamba waliona harusi wakaamua kuua tu? inabidi tucheck in detail? hapo tunaweza kupima...
Mkuu wa chuo,
Marekani kuna watu more than 315 milion, wewe unafanya reference kwenye youtube kama wamerekani walikuwa wanashangilia kufa kwa Osoma.
View attachment 102557
hii ni nyumba aliyokuwa amefichwa Osama huko Abbottabad Pakistan na Al Kuwaiti
View attachment 102558
hiyo ndiyo ramani ya nyumba yote
utata wa ile mission ulitokana na kwamba hakuna aliyekuwa anajua hicho kitu hata ISI ili kuwa haijui yaani CIA waliendesha uchunguzi baada ya kubaini ikaanza kupigwa tizi kukamilisha hiyo mission
hata wale jamaa wa seal team six walikuwa wanapiga tizi bila ya kujua wanaenda kupiga operation ipi mwishoni wanaambiwa ni kwa ajili ya Osama
yaani ile mission ilikuwa ni ya kushtukiza sio kwamba eti naamini 100% kiasi kwamba naweza simama mbele ya mahakama kushudia kama mmoja wa mashaidi...
Lakini ukicheck fact zinajipa na kujipanga zenyewe ubongoni, sasa unategemea hata hao waamerica unaowasema watakuwa vipi hawana mashaka kama hawakujua mwanzo walikuja kushtukia operation imekwisha fanyika
lakini tunaona wa Marekani wengi siku hiyo walishangilia sana kwa sababu zipo video hata youtube zikionyesha hilo pia hata picha zinapatikana...
kuhusiana na yule jamaa aliyesema na kutabiri siku ya kiyama mimi ninamuita mpuuzi na wafuasi wake ni wajinga na si unajua tena wajinga ndio waliwao kwa hiyo mi siwezi kuwa mfuasi wa upuuzi hiyo inanikumbusha akina William Miller walivyotabiri Yesu atarudi mwaka 1844 na atashukia Texas lakini waliwapata wajinga si unajua tena wajinga ndio waliwao alivyoacha kutokea wafuasi wakahasi kwasababu wengine waliuza vitu vyao kwa ajili ya kumpokea masihi sasa akutokea eti akaja Hellen G White akawaambia nyie hamukumuelewa William Miller mwaka huo Yesu alikuwa anaingia patakatifu pa patakatifu huko mbinguni dah! ndio kama hivyo, sasa watu kama hao lazima wapo katika jamii lakini mimi la hasha siwezi kuwa mfuasi wa hivyo vitu... hata ukirudi kwa akina Kibwetere hakukosa wafuasi pia...
labda nikuulize swali bwana kahtaan, je wewe ulikuwa ni mfuasi wa Osama?
kama ungeniwekea habari yote niweze kuipitia ningeshukuru sana, kwa nini mpaka wakauwa watu wote hao yaani walikuwa wanatafuta nini?
au kwamba waliona harusi wakaamua kuua tu? inabidi tucheck in detail? hapo tunaweza kupima...
duh! Osama kuvaa kofia ya cowboy hiyo mimi sijazungumzia, ila na hata mtu aliyezungumzia ina maana ana sababu hebu zifatilieni sababu...
yamkini inawezekana alivaa hiyo kofia kwani cha ajabu ni kipi bwana kahtaan
Hv kweli kuna logic kwa jinsi jina la usama lilivyosumbua mwishowe wamuue na sio kumkamata? Kama ni kweli walimzingira wangemkamata kwa ajili ya taarifa zaidi za ugaidi na hata kama wangemuua wasingempa heshima waliodai kumpa eti wamemzika kwa misingi ya dini yake kweli? Hizo mnazoandika hamna tofaut na hadihi za shigongo?usama asingezikwa haraka na kwa kuwa marekani ni wapenda sifa maiti ingeonyeshwa hapa no logic at all
kwani hilo dish ni kwa ajili ya Internet au simu? yeah hizo comments zimo lakini haujaona comments kwamba halikua haangalii tv!Kuna comments humu zinasema ati Osama alikuwa hatumii simu wala internet Lakini hapo kwenye ramani kunaonekana dish au sio???
kwa hiyo hapa unamaanisha kwamba hawakumuua wala hawakumkamata ila waliamua kuandika na kutunga hadithi kama za kina Shigongo tu?Hv kweli kuna logic kwa jinsi jina la usama lilivyosumbua mwishowe wamuue na sio kumkamata? Kama ni kweli walimzingira wangemkamata kwa ajili ya taarifa zaidi za ugaidi na hata kama wangemuua wasingempa heshima waliodai kumpa eti wamemzika kwa misingi ya dini yake kweli? Hizo mnazoandika hamna tofaut na hadihi za shigongo?usama asingezikwa haraka na kwa kuwa marekani ni wapenda sifa maiti ingeonyeshwa hapa no logic at all
bwana kahtaan ni kweli kwamba wakoloni waliwadanganya sana lakini wakoloni tunaangalia wote wawe waarab au wazungu wote kwa pamoja tunasema ni wakoloni tu...hapo naomba ruhusa kucheka kwanza!
teh teh teh teh tehe he he!
Mkuu wa chuo wewe nimesha gundua tatizo lako!
unaangalia sana action movies! Yaani maneno yako na ya kwenye movie! daaaaah! utafikiri umetoa photocopy !
We unasema nina kunukuu "ukicheck fact zinajipa na kujipanga zenyewe ubongoni," !!
kwani Mkuu wa chuo hizo movies za kina RAMBO na VAN DAME huwa hazipangiliki na zikaingia kwenye ubongo??
we chukulia lile tukio liko kwenye movie! wewe utasema "" aahh hapo wame ekti vibaya hapo! usama hapendezi na hio kofia!""
we utakuwa wa kwanza kusema " duuuuh aisee hilo bonge la movie! yaani wazee wameingia wakafanya vitu vyao dakika 3 tu! osama pindu!!
unajua hawa wakoloni wametudanganya miaka mingi sana! na sisi waafrica tulio kwenda shule tumechoka kudanganywa au kufanyiwa mambo kwa kifichoficho!
wee kama umeamua kuridhika na story zao basi hio ni juu yako! mimi mkuu wanahitaji a lot more than that ku ni convince kuwa wayafanyayo ni kweli!!
we usipo angalia utajikuta sasa hivi unaanza kuweka stock ya maharage ya kopo na unga wa sembe kwa kuamini kuwa ALIENS WANAKUJA KUTAWALA ULIMWENGU! na kutakuwa na uhaba wa chakula kwa miaka 3 mpaka 5!!
Na je una habari NASA wanaimani kuwa kuna ALIENS?? Na wakiamua kukupata mtu kama wewe wanakutengenezea ka action kadogo tu! wamekumaliza!
Na swali lako la mwisho kuhusu mimi kuwa ni mfuasi wa osama au la!
jibu langu ni hili!
kama wewe unaniuliza hili swali kunitisha kwa kunifanya niogope kujibu, ni kuwa mimi siogopi paka yoyote na mimi AMERICANS NA MATAIFA RAFIKI NI MAADUI WA HAKI NA NI ADUI ZANGU PIA! KWA SABABU MIMI NI MPENDA HAKI.
bahati mbaya OSAMA NI ZAO LA FBI NA CIA otherwise ASINGELIKUWA KAMA ALIVYOKUWA NA MIMI SIKO NA WATU WAOVU!
Wewe kama ni rafiki ya hao wauwaji wa halaiki ya watu kila leo wakiwemo ma alfu ya watoto wasiokuwa na hatia yoyote!
Basi kaa mbali na mimi kabisa! manake mwenye kupenda muuwaji na yeye ni ........!
utamalizia mwenyewe hapo.
kuhusiana na Osama kuishi Mbagala kwani haiwezekani? mtu akija jukwaani inawezekana amejipanga ukitegemea hii ni jamii intelligence wala sio jukwaa la jokes na utani...Huku kupimapima kwako ndio kunako kusababishia uingie mkenge mpaka Jamaa_Mbishi alipo kwambia OSAMA ALIISHI MBAGALA! wewe ukamwambia alete uthibitisho wa hilo!! Yaani kama jamaa mbishi angekutolea picha tu ya osama yuko sokoni pale mbagala anamenya machungwa ! tayari ingekuwa stori imegeukia mbagala!!
Vitu vingine viko waaaazi kabisa wala wewe huna haja ya kurefusha story! eti unataka kupima!!!
kupima nini sasa?? kama hio story ya americans kuuwa watu 40 kwenye msafara unaenda harusi! unataka kupima nini
hapo??]
Hii habari hata magazeti ya majira na dar leo yaliandika!! uki google kidogo tu! habari mwaaaaaa!
basi alimuradi uandike tu !?
mi naona hiki cheo cha Mkuu wa chuo kitakushinda!
inabidi wakurudishe kwenye chuo cha mafunzo morogoro kwanza ndipo utazamwe kama unafaa!
au we mkuu Ritz unasemaje!
ha ha haaa, bwana kahtaan hiyo ni report ilitolewa sasa wewe unataka mimi nichakachue report tena...Hii habari ya OSAMA ALIVAA KOFIA YA COWBOY ILI ASIONEKANE NA SATELITE! UMETULETEA WEWE bwana Mkuu wa chuo ! TENA BILA KUICHUJA!! UMEIPOKEA UKATUMWAGIA KAMA ILIVYO!!
Hayo ndio matatizo yako! UNALETA NZIMA NZIMA!
Hebu siku nyingine ukipasiwa habari ! weka kwanza kifuani! halafu teremsha mguuni! angalia kushoto na kulia ! halafu ukiwa na hakika ndio unatoa pasi!!
SASA WE UKIPIGIWA TU! NA WEWE UNAPIGA OVYO?? USIPOANGALIA UATJIFUNGA BURE!! HALAFU MENEJA WA TIMU YAKO {OBAMA} ATAKUFUKUZA KAZI!
we haya tu!