Maisha ya Rais Samia hapa Duniani yameleta Nuru kwa mamilioni ya Watanzania

Hiyo nuru ameileta kwako na kwa vichaa wenzako usigeneralize na kusema watanzania
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣aiseee! Mliosoma content tupeni summary mi nimesoma tittle nikaishia kucheka tu
 
Sijasoma hata ulichoandika nimesoma tu TITLE ya THREAD nikaamua ni-comment kwa kukwambia wewe ni mpuuzi tena wa kiwango cha PHD
 
Ni mtu mwenye tatizo la afya ya akili
Mm hua nikisoma content nkiona mbona kama uharo kimtindo, naenda kuchungulia joined lini nkiona ni mwenzetu wa 2020+ plus nasema labda Bado ni young killer ana nafasi ya kujifunza, ila nkiona ni 2014 kurudi nyuma aisee najua tuna hasara kama taifa
 
Sijasoma hata ulichoandika nimesoma tu TITLE ya THREAD nikaamua ni-comment kwa kukwambia wewe ni mpuuzi tena wa kiwango cha PHD
Wewe ndiye huna akila ambaye unaweza kufanya maamuzi ya kutukana bila kujuwa nini kimeandikwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…