Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maisha hatufanani kabisa baada ya shule kila moja anao ya kwake, mimi binafsi tangu nimalize chuo zijawahi kukosa ajira au basic requirement ijawahi kua chagamoto kwangu,.......ndoa ndo imekua chagamoto yangu kuu mpaka sasa ndoa tatu tayari.Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika.
Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea familia?
#ElimikaWikiendi
DuuuhMaisha hatufanani kabisa baada ya shule kila moja anao ya kwake, mimi binafsi tangu nimalize chuo zijawahi kukosa ajira au basic requirement ijawahi kua chagamoto kwangu,.......ndoa ndo imekua chagamoto yangu kuu mpaka sasa ndoa tatu tayari.
Ndoa tatu (and counting)? [emoji15][emoji15][emoji15]Maisha hatufanani kabisa baada ya shule kila moja anao ya kwake, mimi binafsi tangu nimalize chuo zijawahi kukosa ajira au basic requirement ijawahi kua chagamoto kwangu,.......ndoa ndo imekua chagamoto yangu kuu mpaka sasa ndoa tatu tayari.
Mkuu mimi sina bahati na wanawake wa bongo, kwasbb mimi sikukulia uswazi nimekulia nje ya nchi. Hata ndoa ya sasa naogopa kusemwa tu ila hapo hamna ndoa tangu mwaka juzi.Ndoa tatu (and counting)? [emoji15][emoji15][emoji15]
Tatizo ni wewe au una bahati mbaya huwa unachagua wanawake wasioendana nawe?
Toa uzoefu wako kidogo vijana wajifunze mkuu
Aiseee....achana na ndoa fanya mambo mengineMkuu mimi sina bahati na wanawake wa bongo, kwasbb mimi sikukulia uswazi nimekulia nje ya nchi. Hata ndoa ya sasa naogopa kusemwa tu ila hapo hamna ndoa tangu mwaka juzi.
Huo ndo mpago mzima subiri miaka isogee kdgo, ila sitaki kuzini kabisa.Aiseee....achana na ndoa fanya mambo mengine