Maisha ya ubachela hadi raha!

Maisha ya ubachela hadi raha!

Ukiwa bachela ni zaidi ya familia..... Matumizi hayana mpangilio..
Pesa nyingi watakula mademu
 
Katika maisha yangu sijawahi kujinyima kwenye suala la chakula aisee.na kujipikia mwenyewe inategemea na ratiba ikoje.wengine muda mwingi tuko on the move.kujipikia labda wikiendi.alafu samtaimz kupika chakula cha mtu mmoja inatia uvivu, kutumia nusu saa kupika kitu nitachokula kwa dakika 5/10.bado hapohapo process za kuosha vyombo.wakati sehemu za kupata chakula kizuri kwa bei nzuri zipo kibao tu.
 
Mwanaume uko pekee bahil namna hiyo hata kwa afya yako, utakapooa si ndo itakuwa balaa. Rafiki zako wa kike huko nje unawahonga shs ngapi, elfu mbili mbili!
 
Wali asubuh mchana na jioni! Napata ukakasi kuamini kuwa demu uliyenae km unamtia fresh!
 
Kuishi mwenyewe raha sana, mpaka pale utapofikwa na ugonjwa wa kujiharishia Huku umelala tu kitandani ndipo utapotamani kuwa na mwenza wa kukusitiri. Ndoa ina umuhimu wake pia.
 
Kazi ngumu ni nini:-
-kufua
-kuosha vyombo
Hapo ndo utajua ubachera ni nn[emoji23]
 
Maisha ya bachela rahaa Sana, japo MI nimetoka home Lakin nimekoda kweli nilikuwa nimezoea kupikiwa. Na maisha ya kushinda ofisin ni magumu Sana
 
Hapo kweny kubeba hotpot kweny begi naimagine ikifika tym ya kula unalitoaje[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom