Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Niliingia Central ya Mkoa Ijumaa saa 12 jioni, J3 mahakamani na kupata dhamana na kutoka.

Siku 2 na nusu hizo tayar nshavurugwa na vilivyonivuruga ni

1. Kutokujua nje ni saa ngapi! Yani unaona mwanga unajua kumekucha kisha unaona giza unajua kumbe usiku tayari (hili ndio lililo nikonfuzi zaidi akili).

2. Kutokujua nn kinaendelea Duniani, yan ukitoka mle unaelezwa huku nje kulitokea hivi, yule vile hiki vile unatoa macho tu! Unakuwa formated kabisa [emoji3]

3. Kumuona askari kama ndio ndugu, mwokozi na Mungu wako, muda huo huo askari anakuchukulia kama limtu libaya sana kuwahi tokea duniani,

Na vinginevyo vingi
Namba 2 hiyo [emoji28][emoji28]
 
Asikuongopee mtu jela/mahabusu mpaka leo watu wanabanduliwa
ukiwa mnyonge fastaa wanakufanya demu wao. na akishaanza mmoja wanaambizana msururu watakugombania sana kila mmoja atataka kuchovya

jela/mahabusu unavuliwa ubingwa pale tu unapoingia ,vijana watakuvamia kukusachi kama una chochote kitu wakupore ,watakusachi kila kona wakikosa watakuvua hata boksa wavae wao wakikuona bado mnyonge mnyonge wanakupelekea moto.

jela usiwe na tamaa na vitu vya watu
chakula jela ni mara moja tu kwa siku na tonge moja tu ukipenda vyakula vya watu wanakukaribisha ila usiku jiandae kuliwa utaliwa utaliwa tena utaliwa tena na tena
kuna dogo alikuwa anajifanya muhuni sana mtaani kapelekwa jela wamemla sana mpaka kahamishwa selo maana nyuma papo wazi sana .

Epuka kupelekwa jela epuka makosa ya kijinga jinga kupeleka jela jela hakufai
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaa tenaaa uwiiiih
 
Mkuu umefungwa lini na wapi!?? Ulichokisema umejaza snaa CHUMVI mkuu nani yaan hadi uvuliwe nguo Gerezaa wapi hadi wanakuvua boksa upo tu!?? Wanakusachi yaan upite wasikupekuwe askari sasa wanaenda kusachi nini hao mahabusu au wafungwa!??

Suala la kuliwa ni unatongozwa na sio eti kinguvu yaan jamaa anakuimbisha kama anavyoimbisha Demu ukilegea anakula

Ulichogusia tena ndio nawasisitiza humu Mwanaume usipende kula kula sana na vyabule utafi.rwa kule!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu me nilihukumiwa kifungo cha miaka nane jela,nikakaa miaka miwili nikatoka...
Kwenye hiyo miwili nimefanyiwa escoter gereza 4...ninauzoefu na jela na nimeshatoa ushuhuda humu mara kadhaa...

Jela ukiwa mnyonge unafirwa,unapigwa,unanyang'anywa,unalizwa,unatumwa,unaolewa na hauna kwa kushtaki.

Labda kama mnafungwa gereza zenu za town ila huko mabush, wewe jela isikiage tu...

Nimekaa MAWENI(Muuweni),MPECHI,SONGWE,ISISI...Kama hapo mpechi kazi kubwa ni kuhamisa kinyesi(mavi) mnaenda kuyamwaga kwenye mashamba ya kabechi...asikwambie mtu kitu..

wakati nipo ISISI nimewahi kumwangushi mti wa miiba(mpogoro) jamaa yangu wa maskani alikua SHOGA....Mara leo atombwe na cleaner,kesho atombwe na kiongozi wa selo nikaona njia ya kumsaidia ni KUMUUA Tu,ila nilipigwa sana na mabwana zake...

jela ni "ROHO YAKO ILA MWILI WETU" Na wanautumia kweli....
Jamani mbna inaogopeshaa mnooo huko jelaa, duuh
 
Kuna Mtu namnukuu JELA UKIINGIA FATA KILICHOKUPELEKA KUA UMEENDA KUTUMIA KIFUNGO TU KIKIISHA UTOKE
 
Asante kwa andiko hili mkuu, mwenye sikio na asikie pale mahali ni hatare kuliko maelezo, nimeshuhudia juzi pale Karanga tulienda kumuona aliyekuwa mtumishi mwenzetu mmoja aisee hakuna ambaye hakulia alikuwa amedhoofu mnoo na kichwani nako kama hazimo anaongea mambo kibao hata hayaeleweki. Tukauliza wale Maafande wakasema akizoea hali atakaa sawa ni kama hakuwa vizuri kichwani. Mimi binafsi nilisikia uchungu mkubwa mnoo na hana hata miezi miwili na amehukumiwa kifungo cha miaka 20.
 
So sad! Ukiingia pale mwenye akili timamu na hasa kama kosa ni lakubambikiwa, akili lazma ichetuke!!
Uhuru tulionao tuutumie vizuri, uhuru raha hata kama huna mia mfukoni
 
Hawana pesa za kununua UHURU wao.Ukimuona tajiri jela kalichokoza kajiingiza 18 za wenyewe au anakomolewa.
Kuna mtu alikua na hela km Rugemalira hapo na mcheza deal kubwa kubwa huko juu.
Singh kwa Rugemalira alikua km kindergaten wa madeal.
Ila Jiwe alimuotea kala nae kwata mpaka kaokoka alipotoka huko.
mzee wa watu kaamua kukaa kimya tu amwombe Mungu.
 
Asante kwa andiko hili mkuu, mwenye sikio na asikie pale mahali ni hatare kuliko maelezo, nimeshuhudia juzi pale Karanga tulienda kumuona aliyekuwa mtumishi mwenzetu mmoja aisee hakuna ambaye hakulia alikuwa amedhoofu mnoo na kichwani nako kama hazimo anaongea mambo kibao hata hayaeleweki. Tukauliza wale Maafande wakasema akizoea hali atakaa sawa ni kama hakuwa vizuri kichwani. Mimi binafsi nilisikia uchungu mkubwa mnoo na hana hata miezi miwili na amehukumiwa kifungo cha miaka 20.
hajakata rufaa?! akate rufaa atatoka
 
Malaika mlinzi unilinde katika hatari zote za roho na za mwili...Amina
 
Back
Top Bottom