Maisha ya ufungwani/ mahabusu ni machungu ndugu zanguni

Namba 2 hiyo [emoji28][emoji28]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] makubwaaa tenaaa uwiiiih
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamani mbna inaogopeshaa mnooo huko jelaa, duuh
 
Kuna Mtu namnukuu JELA UKIINGIA FATA KILICHOKUPELEKA KUA UMEENDA KUTUMIA KIFUNGO TU KIKIISHA UTOKE
 
Asante kwa andiko hili mkuu, mwenye sikio na asikie pale mahali ni hatare kuliko maelezo, nimeshuhudia juzi pale Karanga tulienda kumuona aliyekuwa mtumishi mwenzetu mmoja aisee hakuna ambaye hakulia alikuwa amedhoofu mnoo na kichwani nako kama hazimo anaongea mambo kibao hata hayaeleweki. Tukauliza wale Maafande wakasema akizoea hali atakaa sawa ni kama hakuwa vizuri kichwani. Mimi binafsi nilisikia uchungu mkubwa mnoo na hana hata miezi miwili na amehukumiwa kifungo cha miaka 20.
 
So sad! Ukiingia pale mwenye akili timamu na hasa kama kosa ni lakubambikiwa, akili lazma ichetuke!!
Uhuru tulionao tuutumie vizuri, uhuru raha hata kama huna mia mfukoni
 
Hawana pesa za kununua UHURU wao.Ukimuona tajiri jela kalichokoza kajiingiza 18 za wenyewe au anakomolewa.
Kuna mtu alikua na hela km Rugemalira hapo na mcheza deal kubwa kubwa huko juu.
Singh kwa Rugemalira alikua km kindergaten wa madeal.
Ila Jiwe alimuotea kala nae kwata mpaka kaokoka alipotoka huko.
mzee wa watu kaamua kukaa kimya tu amwombe Mungu.
 
hajakata rufaa?! akate rufaa atatoka
 
Malaika mlinzi unilinde katika hatari zote za roho na za mwili...Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…