Action and Reaction
JF-Expert Member
- Oct 16, 2021
- 1,438
- 1,496
Siunajua maphone yetu... ukitype hiki inaleta hiki 😀😀Paragraph ya mwisho umesema huku kwetu Ukraine halafu bado unaulizia ubalozi uende?[emoji848][emoji848]
Bongo stress mtupuUmeshiba kande lako apo baada ya kuvuna mahindi yako kwenye shamba lako ambalo mungu kakubariki mvua bure sasa umeamua kuja na dhihaka?
Je wajua, Hapa hapa 'bongo' wapo wadau wasiojua kabisa habari za hawa ulio wataja.Huku bongo mara huyu katoka na huyu... Mara Steve sijui kafanyaje... Mara huyu katupia utupu wake.... usipotembelea gar utambia masikini, mara umefirisika....
Mara post kali zakina Mangekimambi na kigogo .... Mara Diamond na Harmonize ni full misuguano...
Sawasawa mdau... ngoja nichukue hatua!Je wajua, Hapa hapa 'bongo' wapo wadau wasiojua kabisa habari za hawa ulio wataja.
Je siri ni nini hasa?, Siri iko kwenye Their Daily Routeen, Badili Your daily route-en na acha kufuatili vitu/watu/matukio , ambavyo havina Tija kwako na kwa vizazi vijavyo.
Nakupa mifano miwili itakayosaidia kuelewa nini hasa unakosea.
Mfano.
- Badala kwenda kwenye kurasa za IG au Facebook, Tumia huo muda kusoma kitabu na kujiongezea maarifa.
- Badala ya kuangalia video TikTok za hao unao wafuatili, Ingia Youtube/Udemy tafuta video itakayokupa elimu ya kujiongezea kipato,
mfano: "How To Start A Business With No Capital " , Ukitumia muda wako kutafi vitu kama hivi hakika kuna manufaa utapa.
View attachment 2164658
- Hivyo tatizo ni wewe, ndiye mwenye kuamua Tanzania yako iweje, waweza kwenda mahala pendine popote duniani, ila wewe binafsi usipo badili mwenendo wako katika matumizi ya muda wako, utakuwa hujafanya kitu.
- Chukua hatua sasa.
huu sio ujinga nina akili timamu pamoja na mshahara ninaolipwa ni bora kupigana Ukraine kuliko kuishi Bongo!UJINGA
Kujinyongq ni dhambi pia kisheria ni kosaKama umechoka kuishi bora ujinyonge tu