Maisha ya Ukraine kwasasa ni bora kuliko maisha ya bongo!

Maisha ya Ukraine kwasasa ni bora kuliko maisha ya bongo!

Natamani kuishi Ukraine kwenye vita mana kule hakuna umbeya umbeya mitandaoni....
Huku bongo mara huyu katoka na huyu... Mara Steve sijui kafanyaje... Mara huyu katupia utupu wake.... usipotembelea gar utambia masikini, mara umefirisika....
Mara post kali zakina Mangekimambi na kigogo .... Mara Diamond na Harmonize ni full misuguano...
Gharama za maisha ndousiseme Bongo mambo ni mengi usipokaa sawa utapata Mastress, magonjwa ya moyo sababu tu ya wanadamu

Sasa kule kwetu Ukraine tunawaza jinsi ya kishinda vita na kulinda familia zetu! Misaada kama yote, mishahara mnalipwa... Jaman nauliza kamabongo kuna ubalozi wa Ukraine niende... nina uwezo wa kitumia Kombeyo kwenye vita kama Daudi!

View attachment 2164565
Maake kwanza apa nichekee 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sasa kuna haja gani kama huyo jamaa anatamani akafie vitani ilihali atatumia gharama kusafiri na kuiacha familia bila kipato huku akijua kujilazimisha kufa ni dhambi na ni kosa kisheria. Si bora afe kwa bei chee
Sio poa mkuu ubalozi utsnisaidia tyuu
 
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

[/QUOTE
Aisee 😀😀
 
Je wajua, Hapa hapa 'bongo' wapo wadau wasiojua kabisa habari za hawa ulio wataja.

Je siri ni nini hasa?, Siri iko kwenye Their Daily Routeen, Badili Your daily route-en na acha kufuatili vitu/watu/matukio , ambavyo havina Tija kwako na kwa vizazi vijavyo.

Nakupa mifano miwili itakayosaidia kuelewa nini hasa unakosea.
Mfano.
- Badala kwenda kwenye kurasa za IG au Facebook, Tumia huo muda kusoma kitabu na kujiongezea maarifa.

- Badala ya kuangalia video TikTok za hao unao wafuatili, Ingia Youtube/Udemy tafuta video itakayokupa elimu ya kujiongezea kipato,

mfano: "How To Start A Business With No Capital " , Ukitumia muda wako kutafi vitu kama hivi hakika kuna manufaa utapa.
View attachment 2164658
- Hivyo tatizo ni wewe, ndiye mwenye kuamua Tanzania yako iweje, waweza kwenda mahala pendine popote duniani, ila wewe binafsi usipo badili mwenendo wako katika matumizi ya muda wako, utakuwa hujafanya kitu.

- Chukua hatua sasa.
Huu ushauri nitauchukua kabisaa... umenikuna
 
Wewe unafuatilia hayo mambo ya "umbea umbea" uliyomention,

Tunaishi katika ulimwengu wa Taarifa na teknolojia. Taarifa zipo nyingi,na utazipata nyingii .. ni juu yako kuchuja au kufuatilia ni taarifa ganinni za msingi kwako!

Ukifollow up ... wambea watakupa habari za umbea...

Bafo kunataarifa nyingi za kuelimisha
 
Back
Top Bottom