Maisha ya uswahili kama hujayazoea unaweza pata shida

Kama wewe ni mwanaume basi wa mchongo ongea na mama apokee maharii ushakuwa mkubwa uolewe sasa.

Narudia kuwa mwanaume ni kuwa tayari kufa kwa ajili ya wengine.
Kuwa tayari kupambana na chatu simba mamba na kuibuka mshindi.
Kulia lia ni tabia za kike. Siwezi kabisa kuwa karibu na mtu kama wewe naweza kukuuwa pasipo sababu maalumu
 
Hash
 
Hahaha
 
😄😄 Kazi ipo
 
Naam
Gily Gru watu washaanza kumshtukia mtoa mada 🤣
 
Uswaz watu wana pesa acha kabisa. Na kila sherehe mabinti wanapga vijora vipya. Hawawazi kujenga sijui mijumba mikubwa, sijui wanunue magari. Life simple na wako happy tu... Eti laana 🤣🤣
Chai
 
Ukiridhika na maisha ya uswahilini..you're done..unaukaribisha umasikini

Uswahilini iwe kama stepping stone kipindi cha kujitafuta ili mambo yakikaa fresh unahamia sehemu zilizotulia lakini kamwe usiridhike na kuishi uswazi
Asanteee!
 
Duuh
 
Hakuna mwanamke mgumu ndugu yangu, hata huko kwenu, uzunguni, sema tu wewe ndiyo hujui, ukienda telgram masaki wanajiuza kama manzese tu.
Na wa hili, shuda ni yule jamaa wa wanawake 400.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…