Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo uliyemtaja si fani yake iyo mzinguaji tuSometimes uwa nahisi clouds wanaonewa basi tu ni raia hawamwelewi msanii ingekuwa hivyo basi mchomvu nyimbo zake zingetusua
Ndio ujinga unaotufanya tushindwe kuwapenda wasanii pale wanapoongea ukweli juu ya hii radioWabongo wamecremu station ya redio ni clouds tu!
Kweli kabisa.Ndio ujinga unaotufanya tushindwe kuwapenda wasanii pale wanapoongea ukweli juu ya hii radio
Kuna wana hip hop ni mapaja wakuzaliwa na wanarapJamani nielewesheni kidogo hapo,ukisema MAPACHA ni mapacha watatu akina khalid chokoraa na jose mara au ni mapacha gani?..
kupendelea wasanii wanaowanyenyekea tuu ukijifanya unajua haki zako wanakuundia zengweKivipi?