Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ni mapacha wawili wanafanya mziki wa hip hop wanakundi lao la maujanjasaplayaJamani nielewesheni kidogo hapo,ukisema MAPACHA ni mapacha watatu akina khalid chokoraa na jose mara au ni mapacha gani?..
Alidandia ugomvi wa ruge na sugu bila kujua chanzo cha ugomvi wao na kuegemea upande wa sugu sasa sugu na ruge walivyo patana yeye na genge la wahuni wenzake wakaonekana ni wanafiki!Rama dee na clouds waligombana nn ila Rama dee mpk leo anaendelea vzr napenda nyimbo zake mbili huwezi na jide na kuwa na subira ft mapacha
KR NA TID MNYAMA PERFECT COMBO YA WABWIA NGADA.
ni mapacha wa rap,ila wao walirudi clouds na kuomba msamaha na yakaisha,wakatoa ngoma ya ajabu,clouds wakajitahid kuipiga lakin haikuhitJamani nielewesheni kidogo hapo,ukisema MAPACHA ni mapacha watatu akina khalid chokoraa na jose mara au ni mapacha gani?..
Katika tuzo kili nayo unaita tuzoUmemtaja rama dee au sijaona vizuri..!we hufatilii mziki rama dee ameshinda had tuzo ya kili na wimbo wake wa subira na ngoma hazichezwi clounds ile power yao ya zaman kwa sasa imeshuka sana kina man fongo wamtolewa EFM zaman isingekuwa rahisi
CLOUDS WANAUA MZIKIKatika tuzo kili nayo unaita tuzo
Kivipi?CLOUDS WANAUA MZIKI
wewe chinga unaishi wapi? mapacha na clouds walisha maliza tofauti zao ni mwaka wa pili sasa...Nimekaa nikiwaza yani msanii akigombana na clouds kwanini inakua ngumu sana kusimama tena kimuziki? angalia
Jay dee karudi na ndindindi katamba kidogo tu kaja na ngoma yake mpya jiiiiiii imebuma haskiki tena.na ameanza kusahaulika tena
Wagosi wa kaya wakina mkoloni chaaliiiii
Mapacha nao hamna kitu kaaabisaaaaa
Dudu baya nae kuleee
Dan Msimamo kapuni
Rama D kajaribu kufulukuta wapiii
Rubby hata wimbo wake mpya haujulikani tu
Hawa jamaa wana hila gani wanafanya? daah kazi kweli kweli kwa mtindo huu wasanii acha waendelee kua watumwa tu maana njaa haina adabu......ila Ruge na wewe malipo ni hapa hapa duniani japokua mi siichukii clouds maana ndo Radio station bora kwa sasa Tanzania.
hakuna mkuu mtoa mada kakurupukaHivi Jide amefulia vipi na anapiga show mikoani za jeshi la mtu mmoja? hebu niambie kati ya hao unaowasifia wako juu ukimtoa Diamond na Kiba nani anaweza shindana kupiga show na jide ?
udaku special ndo nani kwani? mbona huwa anakopi sred za watu jf na kuhamishia kwenye peji yke insta bila ku aknoleji?
Mi sio chizi wewe ingia page ya udaku special utaona hii sred imekopiwa km ilivyo....that z why nikaja hpa hapa kuandika ulicho quote.makuu umechanganya thread , sio hii inayozungumzia copy & paste
Apo apo ishia baba weka na nuktaUkiangalia wote uliowataja hawabadiliki kimelody , sauti aliotoa wimbo wa kwanza ndio hiyo hiyo anaitumia nyimbo nyingine zifuatazo , anachokifanya ni kubadilisha mashairi tuu,kama wewe unafahamu vizuri muziki ona tune za dadu bovu anajiongelesha tuu na kuimba off key, kadhalika mabasi ya kale staili ya kufoka foka tuu haina nafasi kwa sasa , huyu land jaida yeye anachokua mamelody ya nyimbo za asili za kijita na kuweka maneno sio zote zinavutia. Kifupi mtamlaumu huyo mawingo lakini issue ni kwa wasanii wenyewe hawasomi alama za nyakati
kawapeleke mahakamaniMi sio chizi wewe ingia page ya udaku special utaona hii sred imekopiwa km ilivyo....that z why nikaja hpa hapa kuandika ulicho quote.
Sorry lakini, naona umemvunjia heshima MillardWe utakua dada millarday tu sio bure,nani anasikiliza hiyo redio?na inaonekana we hujui mziki unalazimisha kuujua,yaani JD unasema hasikiki?rama d? we hamnazo aisee