Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kuna msemo unasema kwamba usimuamushe aliyelala ukimuasha utalala wewe.
Na hawa watanzania waliolala leo hii hawajui haki zao ipo siku wataamka. Hawatataka upuuzi. Hawatataka ujinga unaoendele sasa hivi. Maana wanasisa wanaotafuna kodi zao wanaona wao ni wajinga.
Maisha yamekuwa magumu. Bidhaa muhimu zimepanda bei. Chakula kimepanda bei. Wanasiasa wa CCM wapo Bungeni Dodoma wanajadili masuala yasiyo na tija. Wanajadili juu ya mambo yao tu huku wananchi wakiwa hoi taabani kimaisha.
Husikii juu ya anayejali kuwa sasa hata mlo mmoja ni tabu kuupata. Maana Unga ni sh 2000, sukari sh 3000, mafuta ya kupikia hayanunuliki. Watu wanakula kwa manati kujaza matumbo. Biashara zimekuwa ngumu.
Bungeni ni ngonjera za ajabu ajabu tu. Sababu wananchi ni wajinga na hata iweje bunge litakuwa la CCM tu kupitia Wakurugenzi wanaotangaza matokeo.