Gemini_man
Member
- May 15, 2023
- 17
- 44
Usipende kuhadithiwa ingia field uyaone mwenyewe maana mengine hata ukiambiwa hutoamini mpaka uyaone kwa macho.Habari za mihangaiko wanajamii,
Hivi karibuni nafikiria kwenda zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality,
Kwa wenyeji na wzoefu wa Maisha ya Zanzibar,
Je Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi) ?
Gharama za maisha (chalupa na kodi ya chumba) zinakutaka walau uwe na kiasi gani cha fedha kwa mwezi.?
Shukrani sanaUsipende kuhadithiwa ingia field uyaone mwenyewe maana mengine hata ukiambiwa hutoamini mpaka uyaone kwa macho.
Karibu Zanzibar mkuu sehemu ambayo wamasai tuliowazoea kwa kuua Simba Leo wanaojiuza kwa wazungu.
Shukrani kwa nenoJiandae kuambiwa una chogo, mshamba hujui kula urojo, mchuzi wa chuku chuku na boflo ukipewa kula ukikataa utaambiwa mijitu ya bara itajuaje vitu hivi.
Udini, ubaguzi wa rangi na kunyanyapaliwa kimwonekano jipange kisaikolojia
Asante Sana, Nina mpango hasa wa kwenda Zanzibar, na hizo changamoto hata kama Zipp haziwezivkuwepo Zanzibar yoteUsimsikilize huyo nenda zanzibar watu wa kareem
Na hutojuta
Epuka tamaa. Una kitu, utafanikiwa mbeleniAsante Sana, Nina mpango hasa wa kwenda Zanzibar, na hizo changamoto hata kama Zipp haziwezivkuwepo Zanzibar yote
Hakika, nami naliona hili, asante sana kwa nenoHapa Tanzania. Hakuna Sehemu nzuri Kama Zanzibar katika utafutaji na kutoboa Maisha watu wakarimu hamna rate kubwa ya umasikini ni Akili zako na kumuomba Mungu akuvushe kila hatua dua
Astakhafirullah...!Jiandae kuambiwa una chogo, mshamba hujui kula urojo, mchuzi wa chuku chuku na boflo ukipewa kula ukikataa utaambiwa mijitu ya bara itajuaje vitu hivi.
Udini, ubaguzi wa rangi na kunyanyapaliwa kimwonekano jipange kisaikolojia
Mleta mada naomba uchukue huu ushauri asikufiche mtu ukijiheshimu zanzibar unatoboa ww jitahidi upige kaziHapa Tanzania. Hakuna Sehemu nzuri Kama Zanzibar katika utafutaji na kutoboa Maisha watu wakarimu hamna rate kubwa ya umasikini ni Akili zako na kumuomba Mungu akuvushe kila hatua dua
Asante sanaMleta mada naomba uchukue huu ushauri asikufiche mtu ukijiheshimu zanzibar unatoboa ww jitahidi upige kazi
Asante sana kwa mwongozo wako nduguPesa ni rahisi sana kupata Zanzibar kuliko huku kwetu.
Na kuhusu kazi wanatabia flani ya ubaguzi kwa mtu alietokea Bara wanapaita, lakini Kama utakua refferd katika ofisi na mtu kazi unapata tu bila shaka.
Kuhusu Kodi na misosi sio bei sana na inatofautiana na misimu tu.
Kama unajua lugha za kigeni vizuri na una mtaji wako unaweza anzisha kampuni yako ya utali.
Unaijua Zanzibar gani mwenzetu!! eti chakula sio bei chakula gani hicho urojo ama. Zanzibar hapafai wabaguzi sana kuanzia kuingia mpaka kutoka.Pesa ni rahisi sana kupata Zanzibar kuliko huku kwetu.
Na kuhusu kazi wanatabia flani ya ubaguzi kwa mtu alietokea Bara wanapaita, lakini Kama utakua refferd katika ofisi na mtu kazi unapata tu bila shaka.
Kuhusu Kodi na misosi sio bei sana na inatofautiana na misimu tu.
Kama unajua lugha za kigeni vizuri na una mtaji wako unaweza anzisha kampuni yako ya utali.
Vyote ni used hakuna unafuu.Nilisikia maisha yapo juu sana na wanakula mikate usiku.
vitu rahisi ni vya electronics tu kama Tv, blender ila vyakula vipo juu sana.