Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

Status
Not open for further replies.
Bwana
Jiandae kuambiwa una chogo, mshamba hujui kula urojo, mchuzi wa chuku chuku na boflo ukipewa kula ukikataa utaambiwa mijitu ya bara itajuaje vitu hivi.

Udini, ubaguzi wa rangi na kunyanyapaliwa kimwonekano jipange kisaikolojia

N. B. hawanaga bikra ya nyuma
Mzee leo umeamka salama salumini ????!!!!!😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Habari za mihangaiko wanajamii,
Hivi karibuni nafikiria kwenda zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality,
Kwa wenyeji na wzoefu wa Maisha ya Zanzibar,
Je Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi) ?
Gharama za maisha (chalupa na kodi ya chumba) zinakutaka walau uwe na kiasi gani cha fedha kwa mwezi.?
Mkuu karibu Zanzibar! Utajiri upo hadharani Zanzibar lakini usithubutu kuishi mjini Zanzibar, huko ni njaa tupu na kupigana vikumbo na mashekhe usiku wakiwa na ngazi kwenda kupiga chabo madirishani maana ndio ugonjwa wetu huku.
FANYA YAFUATAYO USIPOTAJIRIKA KWA MIAKA 3 NJOO NIDAI MIMI.

1. Kwanza nenda kwa Mtendaji wako Bara akupe barua ya serikali za mitaa ya kukutambulisha kama raia wake, itakusaidia endapo ukifika tu ukapata neema halafu wakosaji wakijaribu kukutafutia mizengwe kama mtu labda hatari asojulikana antokea wapi. Hivyo hii mara nyingine huulizwa na Masheha (sheha = Mtendaji).
2. Kata tiketi ya Boti Ferry hadi Zanzibar kwa bei 30 elfu.
Jaribu boti za asubuhi au saa sita ili huku ufikwe saa nane upate kuwa Daladala za shamba (Znz shamba = Fukwe za mbali ya mji tuseme uzunguni mfano NUNGWI, PAJE, JAMBIANI, MICHAMVI, KIWENGWA, KENDWA, UROA, MARUMBI, MATEMWE, PWANI MCHANGANI, PONGWE, BWEJUU, DONGWE, MUYUNI NA KIZIMKAZI.) Na hapa nimekutajia zile zenye pesa tu.
Narudia usikae mjini kabisa ni njaa na hakuna pesa mjini.
3. Tembea bandarini hadi mtaa mkuu wa kati unaitwa DARAJANI mita 300(kama Posta Mpya huko) au boda ni buku hadi mbili; Panda Daladala za kijiji cha shamba (shamba ni maeneo ya utalii) yoyote ulioichagua mfano umeamua ni NUNGWI, waulize wauza njugu wote ni WAMAKONDE.

4. Ukifika NUNGWI au shamba yoyote utakayofikia shuka halafu nenda kapumzike sehemu ya kuanza kuulizia chochote mfano chumba cha kukodi, lodge ya bei nafuu, nyumba ya kukodi, nafasi za kazi mfano kwenye ujenzi, mahotelini au kilimo.
Nimesema kapumzike ukishuka ili upate kuuliza, iko hivi... wewe unaaamua research yako unaanzia wapi, ujue mgeni anapendwa kwa sababu huenda una vijipesa au huenda ukaja kupata hivyo kila mtu atataka awe wa kwanza kuwa rafiki yako.
Kwa hio amua wapi unaenda unaposhuka uanzie na ujue huenda wasikuachie tena ukawa rafiki yao na hata pesa ukipata usiwasahau maana washakuwa ndugu zako visiwani.
Baadhi ya sehemu za kuanza kwenda ukifika na unaweza ukamuomba konda wa chai Maharagwe yeye mwenyewe akushushe hapo hapo. Akushushe uanze kusaka uenyeji akushushe sehemu zifuatazo uende kuwasalimia na kujitambulisha:
itatokana wewe ni mbabe wa sehemu zipi za social life. Shuka nenda:
KANISANI, MASJID, TAWI LA CCM, TAWI LA ACT, BAR KUBWA, KITUO CHA BODABODA UWAULIZE KABILA LAKO WAKO WAPI HAPO, (amini Mungu kila kabila lipo na wanabebana) OFISI AU NYUMBA YA SHEHA AU KWA SHEHA, MAHOTELI MAKUBWA, SITE KUBWA ZA UJENZI.

5. Hapo jitambulishe na waeleze ukweli kuwa upo teyari kujituma atakaekupeleka kunako kazi utamsaidia na yeye. Watakugombania.

Mwaka ujao kila mtu wa bara anaeishi Zanzibar atapewa bure na haraka kitambuilisho cha Uzanzibar kama Mzanzibari rasmi, ili mwaka 2025 wawe na uwezo wa kupiga kura Zanzibar, kura za wabara zinagombaniwa hasa na chama kijani ili hata wakiiba ni kidogo, wawe japo na mtaji wa kura za wabara waishio Zanzibar, maana wazanzibar wa kuzaliwa kijani hawatowi kura labda asilimia ndogo.

Kesho nitatoa muongozo kuhusu neema nyingi zilizopo ila si haba nimeshakufikisha.
Usitishike na maneno, Zanzibar ukifika kuna upendo hadi utashangaa, ila kuwa makini kwa sababu ni rahisi wageni kupata pesa, ni kama mashetani ya Unguja yalivyo, amini Mungu wenyeji wanakufa njaa, ila mbongo hamalizi miezi 2 ana milioni 10, sasa hapa ndio chuki zinaanza maana wenyeji wananuna umepataje wao hawapati???
 
Zanzibar hakuna maisha rahisi acheni kuandamana mwenzenu

Yeye aje kwa ajili ya kutafuta ila sio kusema maisha rahisi

Km umeshindwa kutoboa uko bara ambako kuna mchanganyiko wa watu usitarajie sana uku

Sawa na masai anayeacha kufuga ili auze nyama uku Zanzibar anakuja kuuza shanga
Hata hizo shanga wakifika huku hawauzi tena mwishowe wanavaa wenyewe kiunoni na wazungu wanampelekea MSUMARI. Unaweza amini masai ananyonya mshedede huku anaulilia kabisa?
NB: Nilishangaa sana masai kugombea mabwana wa kizungu asee
 
Mkuu joshua_Ok sasa watu wakasake wapi fursa za kazi za tourism na hospitality? Hata Arusha matour guide na porters nao hawana marinda.

Serikali iingilie kati hili swala lasivyo taifa litakuwa na watu ambao hawana marinda
 
Mkuu karibu Zanzibar! Utajiri upo hadharani Zanzibar lakini usithubutu kuishi mjini Zanzibar, huko ni njaa tupu na kupigana vikumbo na mashekhe usiku wakiwa na ngazi kwenda kupiga chabo madirishani maana ndio ugonjwa wetu huku.
FANYA YAFUATAYO USIPOTAJIRIKA KWA MIAKA 3 NJOO NIDAI MIMI.

1. Kwanza nenda kwa Mtendaji wako Bara akupe barua ya serikali za mitaa ya kukutambulisha kama raia wake, itakusaidia endapo ukifika tu ukapata neema halafu wakosaji wakijaribu kukutafutia mizengwe kama mtu labda hatari asojulikana antokea wapi. Hivyo hii mara nyingine huulizwa na Masheha (sheha = Mtendaji).
2. Kata tiketi ya Boti Ferry hadi Zanzibar kwa bei 30 elfu.
Jaribu boti za asubuhi au saa sita ili huku ufikwe saa nane upate kuwa Daladala za shamba (Znz shamba = Fukwe za mbali ya mji tuseme uzunguni mfano NUNGWI, PAJE, JAMBIANI, MICHAMVI, KIWENGWA, KENDWA, UROA, MARUMBI, MATEMWE, PWANI MCHANGANI, PONGWE, BWEJUU, DONGWE, MUYUNI NA KIZIMKAZI.) Na hapa nimekutajia zile zenye pesa tu.
Narudia usikae mjini kabisa ni njaa na hakuna pesa mjini.
3. Tembea bandarini hadi mtaa mkuu wa kati unaitwa DARAJANI mita 300(kama Posta Mpya huko) au boda ni buku hadi mbili; Panda Daladala za kijiji cha shamba (shamba ni maeneo ya utalii) yoyote ulioichagua mfano umeamua ni NUNGWI, waulize wauza njugu wote ni WAMAKONDE.

4. Ukifika NUNGWI au shamba yoyote utakayofikia shuka halafu nenda kapumzike sehemu ya kuanza kuulizia chochote mfano chumba cha kukodi, lodge ya bei nafuu, nyumba ya kukodi, nafasi za kazi mfano kwenye ujenzi, mahotelini au kilimo.
Nimesema kapumzike ukishuka ili upate kuuliza, iko hivi... wewe unaaamua research yako unaanzia wapi, ujue mgeni anapendwa kwa sababu huenda una vijipesa au huenda ukaja kupata hivyo kila mtu atataka awe wa kwanza kuwa rafiki yako.
Kwa hio amua wapi unaenda unaposhuka uanzie na ujue huenda wasikuachie tena ukawa rafiki yao na hata pesa ukipata usiwasahau maana washakuwa ndugu zako visiwani.
Baadhi ya sehemu za kuanza kwenda ukifika na unaweza ukamuomba konda wa chai Maharagwe yeye mwenyewe akushushe hapo hapo. Akushushe uanze kusaka uenyeji akushushe sehemu zifuatazo uende kuwasalimia na kujitambulisha:
itatokana wewe ni mbabe wa sehemu zipi za social life. Shuka nenda:
KANISANI, MASJID, TAWI LA CCM, TAWI LA ACT, BAR KUBWA, KITUO CHA BODABODA UWAULIZE KABILA LAKO WAKO WAPI HAPO, (amini Mungu kila kabila lipo na wanabebana) OFISI AU NYUMBA YA SHEHA AU KWA SHEHA, MAHOTELI MAKUBWA, SITE KUBWA ZA UJENZI.

5. Hapo jitambulishe na waeleze ukweli kuwa upo teyari kujituma atakaekupeleka kunako kazi utamsaidia na yeye. Watakugombania.

Mwaka ujao kila mtu wa bara anaeishi Zanzibar atapewa bure na haraka kitambuilisho cha Uzanzibar kama Mzanzibari rasmi, ili mwaka 2025 wawe na uwezo wa kupiga kura Zanzibar, kura za wabara zinagombaniwa hasa na chama kijani ili hata wakiiba ni kidogo, wawe japo na mtaji wa kura za wabara waishio Zanzibar, maana wazanzibar wa kuzaliwa kijani hawatowi kura labda asilimia ndogo.

Kesho nitatoa muongozo kuhusu neema nyingi zilizopo ila si haba nimeshakufikisha.
Usitishike na maneno, Zanzibar ukifika kuna upendo hadi utashangaa, ila kuwa makini kwa sababu ni rahisi wageni kupata pesa, ni kama mashetani ya Unguja yalivyo, amini Mungu wenyeji wanakufa njaa, ila mbongo hamalizi miezi 2 ana milioni 10, sasa hapa ndio chuki zinaanza maana wenyeji wananuna umepataje wao hawapati???
Hivi ndio watu wanahitaji kusoma, hongera mkuu. Utakuwa umempa hints za kutosha kabisa.

Niliishi unguja miaka ya nyuma sana, mwanakwerekwe na kwa mchina zikiwa ni nje ya mji. Well, naamini sasa ni katikati ya mji.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom