Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

Status
Not open for further replies.
Malizia maelezo ogopa wake za watu alafu nini ?

404: Page Not Found
Atapotezwa mkuu akiendekeza wake za watu kuna jamaa alitiwa Panya Buku kwenye tumbo akienda chooni kwa ajili ya haja kubwa anatoka kwenye kinyeo panya buku anakaa pembeni akimaliza haja zake panya buku anaingia kwenye Tigo yake kwaspeed zote jamaa alichukua mke wamtu [emoji23][emoji2][emoji2]. Mwisho kabisa wazee waliingilia kati jamaa akamsemehe N.B Aogope wake za watu.
 
Mkuu karibu Zanzibar! Utajiri upo hadharani Zanzibar lakini usithubutu kuishi mjini Zanzibar, huko ni njaa tupu na kupigana vikumbo na mashekhe usiku wakiwa na ngazi kwenda kupiga chabo madirishani maana ndio ugonjwa wetu huku.
FANYA YAFUATAYO USIPOTAJIRIKA KWA MIAKA 3 NJOO NIDAI MIMI.
Shukrani sana, huu ni mwongozo mzuri sana, Mwenyezi Mungu akubariki
 
Hadi sasa nashukuru sana kwa wote wanaoendelea kuchangia mawazo ambayo ni positive,

lakini pia nawashangaa wote mnaotoa mawazo ambayo negative (hii ni kama mnaonyesha chuki zenu juu ya watu fulani), watu wa hivyo mnaharibu lengo la mada yangu, mwisho wa siku mada inabadilika na kuwa sehemu ya majibizano yasiofaa, haifai

Mimi ni mtu mwenye akili zangu timamu, thanks to Allah nimelelewa katika misingi mizuri ya dini na malezi bora ya wazazi, si kila mtu anaweza kutolewa katika uhalisia wa Maisha yake na kuishi kusipompendeza Mungu nz jamii

Tujikite katika kutoa mawazo ya kujenga kama Zanzibar-Nyamwezi
 
Zege km zege wanaume hawabebi zegi lile zege ambalo kuna mwamba humu alisimulia huku akasema kazi iliyomshinda ni kubeba zege

404: Page Not Found
Ndio hilo Zege hiyo kazi hufanywa wanawake tena usiku sio mchana. Ila nilichogundua kama linamwagwa kwenye ghorofa za juu sana wanatumia mashine kupandishia.
 
Hadi sasa nashukuru sana kwa wote wanaoendelea kuchangia mawazo ambayo ni positive,

lakini pia nawashangaa wote mnaotoa mawazo ambayo negative (hii ni kama mnaonyesha chuki zenu juu ya watu fulani), watu wa hivyo mnaharibu lengo la mada yangu, mwisho wa siku mada inabadilika na kuwa sehemu ya majibizano yasiofaa, haifai

Mimi ni mtu mwenye akili zangu timamu, thanks to Allah nimelelewa katika misingi mizuri ya dini na malezi bora ya wazazi, si kila mtu anaweza kutolewa katika uhalisia wa Maisha yake na kuishi kusipompendeza Mungu nz jamii

Tujikite katika kutoa mawazo ya kujenga kama Zanzibar-Nyamwezi
Wewe umetaka mawazo, sasa unaanza kubagua aina ya mawazo unayopewa.
Hatujakataa akili timamu unazo lakini tunakwambia ukweli wapo watu waliokuwa timamu kiakili na kimwili kuliko hata wewe lakini walitolewa marinda tena kwa hiari yao, waulize masai wa zanzibar katika 10 basi 1p hawana marinda.
 
Tatizo kubwa hizi hoja zenu zinaelekea pabaya, mfano Kuna mtu kataka kuleta udini baada ya comment ya Faiza
 
Si Kweli, nimewah kwenda Zanzibar na KUPOKELEWA Kwa ukarim wa hali ya juu ambao sijapata kuuona popote Tanzania bara.
Mkuu ulienda kutembea ungeishi hata mwaka mmoja hakuna la uongo hapo sio wanzanzibar wote lakini wengi wabaguzi,kipindi Cha uamsho 2015 wakati mapadri wanauwawa na makanisa wanachoma moto na watu wa Bara kufanyiwa vitendo vya unyanyasaji ndio ungeelewa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom