Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

Maisha ya Zanzibar yapoje? Nataka kwenda kutafuta ridhiki

Status
Not open for further replies.
Hadi sasa nashukuru sana kwa wote wanaoendelea kuchangia mawazo ambayo ni positive,

lakini pia nawashangaa wote mnaotoa mawazo ambayo negative (hii ni kama mnaonyesha chuki zenu juu ya watu fulani), watu wa hivyo mnaharibu lengo la mada yangu, mwisho wa siku mada inabadilika na kuwa sehemu ya majibizano yasiofaa, haifai

Mimi ni mtu mwenye akili zangu timamu, thanks to Allah nimelelewa katika misingi mizuri ya dini na malezi bora ya wazazi, si kila mtu anaweza kutolewa katika uhalisia wa Maisha yake na kuishi kusipompendeza Mungu nz jamii

Tujikite katika kutoa mawazo ya kujenga kama Zanzibar-Nyamwezi
Kumbe uliuliza ili usipewe mawazo usiyoyataka? Punguza ujuaji. Kwa shobo hizo lazima watu huko Zanzibar wakupasue tu
 
Daah hoya. Zanzibar pagumu asee asikwambie mtu. Ila kwa deals za tours umelenga mdau. nenda katest zali. Uwe njema tu kichwani kutema ungenge mwingii. afu ka unamtaji mkubwa ukiwa na alfard ndio utafurahi. Vinginevyo nisikukatishe tamaa. wenye pesa ni wachache sana kule, wenzangu na mie kajamba nani.
 
Mpwayungu unafeli wapi mbona unamtisha mwenzio na unataja sifa mbaya kwa jamaa zetu anyway.

Mkuu wewe nenda Zanzibar ni watu wakarimu sana nenda Kapange Bububu au Fuoni zone tafuta mawakala wa kazi na vilevile tembeza bahasha mwenyewe Hotelini zipo nyingi sana kibaya hizo kazi Wazanzibar hawazitaki kazi za Hotel. Karibu Zanzibar N.B Ogopa wake zawatu.
. Karibu Zanzibar N.B Ogopa wake zawatu.
 
Habari za mihangaiko wanajamii,
Hivi karibuni nafikiria kwenda zanzibar kwaajili ya kuanza Maisha, pamoja na kutafuta kazi huko hasa zinazohusu tourism and hospitality,
Kwa wenyeji na wzoefu wa Maisha ya Zanzibar,
Je Maisha ya utafutaji yapo vipi huko (ugumu na wepesi wa kupata kazi) ?
Gharama za maisha (chalupa na kodi ya chumba) zinakutaka walau uwe na kiasi gani cha fedha kwa mwezi.?
Wewe bora ukabaki tu Tanganyika. Maana miaka siyo mingi huu muungano tutauvunjilia mbali, na kila watu watarejea kwenye nchi zao.
 
Si Kweli, nimewah kwenda Zanzibar na KUPOKELEWA Kwa ukarim wa hali ya juu ambao sijapata kuuona popote Tanzania bara.
Uongo wazanzibari wabaguzi tena kwenye sikukuu za kiislamu wakijua wewe mkristo hawakukalibishi ata ukiwa unaishi nao nyumba moja, wabaguzi sana kwa wakristo tofauti na jamii ya kiislamu ya bara, waislamu wa Bara tunaishi nao kindugu tunashirikiana kwenye misiba na sherehe, Wazanzibari wabaguzi sana yaani wanawasamini wazungu kuliko watanganyika, Kijana wa kizanzibari akipata mchumba wa kizungu familia inafurahia lakini kijana huyo huyo akipata mpenzi kutoka Tanganyika jina Janeth wanamuita kafili wana kataa wasioane.
 
Daah hoya. Zanzibar pagumu asee asikwambie mtu. Ila kwa deals za tours umelenga mdau. nenda katest zali. Uwe njema tu kichwani kutema ungenge mwingii. afu ka unamtaji mkubwa ukiwa na alfard ndio utafurahi. Vinginevyo nisikukatishe tamaa. wenye pesa ni wachache sana kule, wenzangu na mie kajamba nani.
Hapo kwenye kuwa na Alphard naomba ufafanuzi.
 
Guyz watz wapo depressed Sana wanawaza ngono 24/7 mtoa Mada Mimi Zanzibar nimekaa niseme ile nchi watu wapo humble na maadili Sana they believe in Allah /GOD

Issue ya ushoga ni overrated huo ushoga haupo at the high rate Kama wadau wanavosema ..niseme watz niwatu wa ovyo Sana wapo kukukkatisha tamaa
We hujui tabia za wazanzibari, Wazanzibari wanapenda starehe kama za Bara sema wanaogopa kuzifanya adharani na wanafanya kwa kificho sana, we unaweza kuamini kama mademu waki zanzibar wana vuta bangi na kunywa pombe tena KVANT? Tena vijana wakule Zanzibar wanauza unga na walevi sana, sema wanafanya kwa kujificha sana.
 
Uongo wazanzibari wabaguzi tena kwenye sikukuu za kiislamu wakijua wewe mkristo hawakukalibishi ata ukiwa unaishi nao nyumba moja, wabaguzi sana kwa wakristo tofauti na jamii ya kiislamu ya bara, waislamu wa Bara tunaishi nao kindugu tunashirikiana kwenye misiba na sherehe, Wazanzibari wabaguzi sana yaani wanawasamini wazungu kuliko watanganyika, Kijana wa kizanzibari akipata mchumba wa kizungu familia inafurahia lakini kijana huyo huyo akipata mpenzi kutoka Tanganyika jina Janeth wanamuita kafili wana kataa wasioane.
Kwani nyinyi c mnakwenu mnafata nini ZANZIBAR?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom