Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Mambo ya ndoto ayaache ndotoni sio Kwa wazungu. Ingekuwa kila unachoota ndio uhalisia, basi tungeongea mengine.
Msichoelewa na mzabzab hapa ni kimoja, sizungumzii ndoto za kuota ukiwa umelala nazungumzia ile namna, kuna mdada mmoja uliona kabisa huyu ndiyo ana fit kwa vigezo vyako kuwa life partner ila haikuwa,
Ninyi habari sijui za kuwaachia wazungu mnatoa wapi, smdh..!!
 
Nahisi wengi hawajaolewa wala kuoawa watu waliokua na features walilizozitaka. Binafsi nkikumbuka huwa naishia tu kumshukuru Mungu. Picha nlizokua nazo kichwani mwangu na nlichokuja pewa ni tofauti. Sasa yule unaetamani ndo akuoe wala hakuoi, yule unaeona hafai ndo anakujali mpaka unaogopa. Mi ilifika kipindi mpaka nikisali namwambia Mungu huyu mtu kama sio wangu naomba umuondoe kwa namna yoyote ile, lakini wapi ndo kwanza ananogesha penzi mpaka huoni sababu ya kumwacha. Mwisho wa siku unakubali yaishe ukimaliza kujifunza ndo unajikuta unapenda mpaka basi.
 
Ila nyie wanaume dah, kwamba uwe na gari mbili yard. Wakati huo mwanamke akiweka zake mbili itakua sawa?
Katiba ya ndoa inasema asiachwe mwanamke ila endapo atazini nje ama kuvunja uaminifu na kiapo cha ndoa.

Sasa we jichanganye ukutwe na bwana Pepsi ili uone mchepuko anavyoingia mjengoni bila kelele huku ukiwa umefungasha virago vyako.
 
Shukuru mungu roho mtakatifu yuko pamoja na wewe, wenzio macho ya rohoni hawana unamkuta demu anamkatalia professor kijana smart anamkubalia Hemedy PhD
 
Shukuru mungu roho mtakatifu yuko pamoja na wewe, wenzio macho ya rohoni hawana unamkuta demu anamkatalia professor kijana smart anamkubalia Hemedy PhD
Acha tu nimshukuru Mungu. Yani hadi mama huwa ananiambia nimepata mtu manake yeye na aunt walikua mwanzoni hawana imani nae coz ametoka ile kanda maalumu. Walikua wananiambia yani "M" umeacha wanaume wote hawa umeamua kwenda huko kwenye watu wana bendera yao. Ngoja niishie hapa asije soma hii topic.
 
Hahaa..
I knew it..!
Lazima uje tu hapa unibishie, how far are you sure Extro eti..??
My guts never lie for sho! Don't get me started cause i know when a chic want somn she missin for a dead while 😍
 
Ntaboreshaje? Kama mdada ananiona sokwe, hata nikivaa suti, ataendelea kuniona sokwe nlievaa suti, mm kwenye vaa yangu nahakikisha tu i'm clean, usharo sina KateMiddleton
Vaa vizuri bro Suti sio utanashati.
Pangilia nguo zako mwilin zikae Fresh nunua Perfume Kali unukie vizuri.
Nunua viatu vikali vya kutosha nunua Sandles ,pensi Kali, saa yako mkononi Kali .
Utapata pisi Kali mbona

Afu usisahau kunywa bia na kutafta pesa .
 

Mmhh pole sana mkuu
 
Uliye nae ndie dream wako thus upo nae hata sasa.
Bora msitu uliouzoea kuliko msitu mpya.
 
Kwa kweli namshukuru Mungu kwa huyu mtoto wa mama mkwe na sitaacha kumtolea sadaka kwa kweli. Ni mwanaume wa shoka kila idara hakika Mungu amenipa wa kufanana na mm.
 
Mm mwenyewe niliambiwa hivyo hivyo kwasababu ametoka huko[emoji23]
 
Kwa kweli namshukuru Mungu kwa huyu mtoto wa mama mkwe na sitaacha kumtolea sadaka kwa kweli. Ni mwanaume wa shoka kila idara hakika Mungu amenipa wa kufanana na mm.
Jamani,
Hongera sana dear..!
Mnazitoa wapi hizo baraka.?? Mbona wengine tunaishia kukutana na magumegume.??.
Extrovert akiona hapa ataongea jamani.!!
Haha.!
 
My guts never lie for sho! Don't get me started cause i know when a chic want somn she missin for a dead while 😍
Haha..
Am speechless, ukogo kama kachawi walaqhi'...!
anyways, am doing good, ahsante kwa kujali.!
 
Hongera sana mwaya dear..!
Mungu aendelee kuwatunza daima..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…