Dada zangu wa jf, inaniuma sana utakuta umempenda Mdada, ila moyo wa huyo mdada uko kwa mwanaume mwingine ambaye hamthamini huyo mdada, mdada Unamtongoza anakukataa anakuambia ana mchumba Na Wapo kwenye mahusiano Serious ya kuelekea ndoa, na ukichunguza ni kweli ana mchumba, ila mdada anasuka nywele za bei rahisi mno nyie mnaitaga Sijui twende kilioni, na smartphone yake ina crack za kutosha, Mwanaume hataki hata kuongozana na mdada in public, unajiuliza huyu mdada anaesema ana mchumba, ana mchumba wa aina gani? Mbona huyu mwanaume anayependwa na mdada mzuri hivi, hajali kuwa simu ya mpenziwe ina cracks? Shida ni kuwa hisia zote huyo mdada kawekeza kwa huyo mwanaume, na huwezi mfumbua macho huyu mdada Kuwa mwanaume alie nae anamchukulia kama sehemu ya kukojolea, Na si kama life partner na mke mtarajiwa, kwa hofu ya kuonekana snitch, kwa hiyo huwa nasikitika ndani kwa ndani [emoji24][emoji24][emoji24]
to yeye KateMiddleton Carleen financial services