Wewe wa kike kamwe siwezi kukudhalilisha bali ntakupa ka uhalisia tuKama ni bango nishushie PM tafadhali, Mimi nachukia aibu mbele za watu always,
๐๐๐๐๐embu mwambie tuu asije akakuharibia bango lako nataka mpaka mwakani tuwe tushakuchezaKama ni bango nishushie PM tafadhali, Mimi nachukia aibu mbele za watu always,
Achana na hao watumishi bana wababaishaji tuu. Wacha tusali kwa namna zetu watakuja tuu nakwambiaHaha,
Haya mambo yanaweza fanya ukawajua watumishi wote mjini..
Nyieeeeeh'....!
Neno moja kwenu;Haha,
Haya mambo yanaweza fanya ukawajua watumishi wote mjini..
Nyieeeeeh'....!
Naomba tukucheze wewe kwanza me nikiwa namalizia maliziaHaha..
Girlie...!!
Siyo tuanze na wewe eti..!!
Tutaufufua huu uzi kwa kishindoYes,
Watakuja na lazima tuje ku confess hapa..!!
Dah mkuuu unajua kukatisha tamaaa.๐Mnajifariji ninyi mabinti.
Mungu atakupa unachostahili na sio unachokipenda wewe.
Huwezi kuwa mcharuko ukapewa mcha Mungu thubutu yako.
Utapewa wakufanana nawe mark my words...hakuna cha dream wife wala dream husband bali utaoewa lori lako la mkaa lililotumika kila nati
Asante studio naomba sasa wakulete na kanyimbo ka taratibu ๐๐Hahaaa....
Na Mimi ni wa moto darlings, muulize shetty shughuli zangu anazijua..!
Bana wewe๐๐๐๐๐๐Hahaa
Unashangaa moyo umekuwa kaukau nyieeeeh'...!
Mimi nilidhani hata sitapona eti..
Nitajitahidi sitalia maana ntakua maid pale mbeleโฆ mpokea zawadi๐๐Haha,
Ukianza kulia kwenye harusi yangu je...?