Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Kama ni bango nishushie PM tafadhali, Mimi nachukia aibu mbele za watu always,
😆😆😆😆😆embu mwambie tuu asije akakuharibia bango lako nataka mpaka mwakani tuwe tushakucheza
 
Mungu ni wa haki atakukutanisha na wa aina yako na aliyepiga goti kama wewe lkn mzuri au mbovu kama wewe[emoji2957]
akiwa kama Mimi I swear I'll be blessed kwa hakika..!!
Darlin akiwa kama wewe will you be happy..??
 
Bas Mungu akikufanyia miujiza zaidi ya mimoja mingine utaielekezea huku😆😆😆maana maombi yako yanaweza yakawa konki
Hahaaa....
Na Mimi ni wa moto darlings, muulize shetty shughuli zangu anazijua..!
 
Back
Top Bottom