Wanadamu wanapenda kudanganywa ilhali ukweli mchungu unawasubiri na machozi yako pale pale baada ya majira uongo kuisha. Ni bora umwambie mtu ukweli mchungu...ataumia leo lakini kesho atakushukuru mkuu.Dah mkuuu unajua kukatisha tamaaa.[emoji3]
Ila trust me si maisha wala mapenzi yanaenda kwa kanuni hii..!Wanadamu wanapenda kudanganywa ilhali ukweli mchungu unawasubiri na machozi yako pale pale baada ya majira uongo kuisha.
Ni bora umwambie mtu ukweli mchungu...ataumia leo lakini kesho atakushukuru mkuu.
Huwezi kuwa umechakatwa na kijiji kizima halafu kwenye maombi yako unataka mcha Mungu.
Hakika utspewa malaya staafu mwenzio ili mkaishi kwenye danguro lenu wawili mkiwa wastaafu wa uchataji na uchakwataji[emoji28]
Kweli usemavyo kumbuka anaweza asiwe malaya kama mkewe lakini akawa na tabia nyingine mbovu iliyojificha na itakuwa maumivu kwa bi dada.Ila trust me si maisha wala mapenzi yanaenda kwa kanuni hii..!
Kuna watu very saint wamepata vitu vya ajabu and vice versa..!!
Ila ipo siku utapata mtu sahihi mtakayekuwa mnapendana, vuta subra mkuuDada zangu wa jf, inaniuma sana utakuta umempenda Mdada, ila moyo wa huyo mdada uko kwa mwanaume mwingine ambaye hamthamini huyo mdada, mdada Unamtongoza anakukataa anakuambia ana mchumba Na Wapo kwenye mahusiano Serious ya kuelekea ndoa, na ukichunguza ni kweli ana mchumba, ila mdada anasuka nywele za bei rahisi mno nyie mnaitaga Sijui twende kilioni, na smartphone yake ina crack za kutosha, Mwanaume hataki hata kuongozana na mdada in public, unajiuliza huyu mdada anaesema ana mchumba, ana mchumba wa aina gani? Mbona huyu mwanaume anayependwa na mdada mzuri hivi, hajali kuwa simu ya mpenziwe ina cracks? Shida ni kuwa hisia zote huyo mdada kawekeza kwa huyo mwanaume, na huwezi mfumbua macho huyu mdada Kuwa mwanaume alie nae anamchukulia kama sehemu ya kukojolea, Na si kama life partner na mke mtarajiwa, kwa hofu ya kuonekana snitch, kwa hiyo huwa nasikitika ndani kwa ndani 😭😭😭 to yeye KateMiddleton Carleen financial services
Yaani mzee umemalizia na "kunywa bia"😂😂Vaa vizuri bro Suti sio utanashati.
Pangilia nguo zako mwilin zikae Fresh nunua Perfume Kali unukie vizuri.
Nunua viatu vikali vya kutosha nunua Sandles ,pensi Kali, saa yako mkononi Kali .
Utapata pisi Kali mbona
Afu usisahau kunywa bia na kutafta pesa .
Aiseee how i wish... hongera sana dear, mje mzeeke pamoja🙏Ukweli ni kwamba nilimuomba Mungu nilisali na kufunga anipe mwanaume atakayekua Mume wangu atakayenipenda kwa dhati. Ndo akaniletea huyu mjukuu wa Ibrahimu japo hapo mwanzoni sikumuelewa itikadi zake. Kuna siku niliumwa ghafla hadi nikashindwa kuinuka kitandani ndo nilipouona upendo wake. Miaka 8 sasa Mungu amuwekee huyu mwanaume kwa ajili yangu na watoto wangu.
Namimi hiyo miujiza ikiwa mingi😂Bas Mungu akikufanyia miujiza zaidi ya mimoja mingine utaielekezea huku😆😆😆maana maombi yako yanaweza yakawa konki
Aiseeeee kumbe tatizo ni kubwaNamimi hiyo miujiza ikiwa mingi😂
Carleen;Usisahau hakuna mtu utampata perfect Mswati..!
Duu Kama umeusoma una moyo najua Kuna madini sema mpaka tywe like minded Kama Niko against na wewe nadhani utanipinga Mana nitakuwa nimevunja beliefs zako. Jiulize why watu wenye mawazo yanayofanana wanakuwa marafiki Ila mkitofautiana kiimani sio za kidini mnakwepana Mana kila mtu anaona kitu Cha tofauti na mwenzake Mana maisha Ni kioo sio unachokiona namie nikionethank you so so much,
Umenifunza kitu kikubwa sana sana keisangora ubarikiwe..!
Wacha niendelee kujifanyia tathmini na kupambana ili kuzidi kuwa bora..!!
Amina[emoji120][emoji2535]Aiseee how i wish... hongera sana dear, mje mzeeke pamoja[emoji120]
Bado tu ufufuko?Tutaufufua huu uzi kwa kishindo
Mwakani pia ni mwaka wenye miezi 12Naona tushapigwa na kitu kizito mdogo wangu....
😕😕😕sio mwaka huu bana ulielewa vibaya me nlikua namaanisha mwakani dada yangu😁Sasa Sweetie ule mwaka mbona ndiyo huu na umefika ukingoni, itakuwaje..?