Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

We penseli vipi mbona umetia dislike 😑 kila comment kwenye hii thread??
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Penseli ntakuchapa usinimention
Haya nimeacha nilitaka tu ujue zamani kulikua na unaniliiu... 😜😜😜.

Kama umeona moyo wangu umetulia sasa
 
Kaa chonjo usijepinduliwa na hawa mashankupe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Penseli utakua lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Emu waache wadada wa watu km wamekukataa kunywa mengi
 
Penseli utakua lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Emu waache wadada wa watu km wamekukataa kunywa mengi
πŸ˜πŸ˜†πŸ˜† Nani akataliwe? Sijawahi mtongoza mwanamke humu!!

Mapenzi yenyewe siyajui na sijayaanza. Hapa nachukua notes tu kama chuoni vile.!!.

Ntayaanza nikifika 45+ huko.

πŸ˜΅β€πŸ’«πŸ˜΅πŸ˜œπŸ€ͺπŸ€ͺ.
 
Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.

Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?
Your browser is not able to display this video.
 
πŸ˜†πŸ˜† Depal
 
Nina kastory katamu kukasimulia hapa ila mpaka may be nipate Smirnoff Black Ace πŸ–€ nifungue padlock za moyoni 😊😊☺️☺️ japo mm ni mlokole pombe ni haramu kama ilivyo Kwa waislamu....

All in all Mimi ni bukheri wa afya naendeleaa vyema na majukumu ya kulijenga taifa😊☺️☺️😊
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…