Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

Maisha yako ya Ndoa yamekuwaje baada ya kutofanikiwa kuoa/kuolewa na 'your dream man/woman?

We penseli vipi mbona umetia dislike 😑 kila comment kwenye hii thread??
 
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Penseli ntakuchapa usinimention
Haya nimeacha nilitaka tu ujue zamani kulikua na unaniliiu... 😜😜😜.

Kama umeona moyo wangu umetulia sasa
 
Kaa chonjo usijepinduliwa na hawa mashankupe πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Penseli utakua lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Emu waache wadada wa watu km wamekukataa kunywa mengi
 
Penseli utakua lini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Emu waache wadada wa watu km wamekukataa kunywa mengi
πŸ˜πŸ˜†πŸ˜† Nani akataliwe? Sijawahi mtongoza mwanamke humu!!

Mapenzi yenyewe siyajui na sijayaanza. Hapa nachukua notes tu kama chuoni vile.!!.

Ntayaanza nikifika 45+ huko.

πŸ˜΅β€πŸ’«πŸ˜΅πŸ˜œπŸ€ͺπŸ€ͺ.
 
Nilikuwa najiuliza hili swali, hasa kwa walioko kwenye Ndoa tayari.

Je, kwako imekuwa baraka ama tofauti pale ambapo mume/mke unayeishi naye siye yule hasa ulikuwa unamuota every now and then?
 
Hela tena aweeee real love haihusianishi pesa.

Tena Depal ana pesa chafu mkuu trip kila week nimemuomba anilee na aninyonyeshe pia nisije nikafa mimi.

Boom lenyewe halisomeki πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.

Mke wanvu Depal nipo tiyari kufa kwa ajili yako. My babe 😘.

Waseme ntaomba usimamie hii ndoa. 😚
πŸ˜†πŸ˜† Depal
 
Nina kastory katamu kukasimulia hapa ila mpaka may be nipate Smirnoff Black Ace πŸ–€ nifungue padlock za moyoni 😊😊☺️☺️ japo mm ni mlokole pombe ni haramu kama ilivyo Kwa waislamu....

All in all Mimi ni bukheri wa afya naendeleaa vyema na majukumu ya kulijenga taifa😊☺️☺️😊
 
Back
Top Bottom